maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Urusi: Twitter yapigwa faini kwa kuweka maudhui yasiyoendana na Maadili ya Nchi hiyo

    Mahakama ya mji mkuu wa Moscow nchini Urusi, imeitoza Twitter faini ya fedha ruble milioni 3.2 kwa ukiukaji wa kiutawala. Kesi iliyowasilishwa na Idara ya Teknolojia ya Habari ya Serikali ya Urusi na Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano ya Umma (Roskomnadzor) dhidi ya Twitter ilisikilizwa katika...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kanuni za maadili kwa wapiga picha za magazeti

    Muongozo uliotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhusu kanuni za maadili kwa wanataaluma wa habari zinaeleza kanuni za maadili kwa Mpiga picha za magazeti kama ifuatavyo:- Wapiga picha wa magazeti wanatakiwa kutoa picha zinazoonesha usahihi wa hali ya tukio husika. Wawe makini wakati...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania asema maadili ya Uislamu yanataka marehemu wote wakumbukwe kwa mazuri

    Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021. Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu marehemu anatakiwa kukumbukwa kwa mazuri. Hivyo ametoa wito kwa watanzania kukumbuka mazuri ya Rais...
  4. sammosses

    JamiiForums Tanzania Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

    Niliwahi kuandika kwa kuonya juu ya mmomonyoko wa maadili katika jamii tunayoishi, watu walipuuza lakini leo tunaishi matokeo ya mmomonyoko huo. Baada ya mihimili mitatu ya kikatiba, muhimili unao fuatia ni media na taasisi za dini. Unapokuwa na mihimili hususani inayo simamia maadili ya umma...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Online Tv zinazofanya mahojiano ya kudhalilishana na kukiuka Maadili ya Nchi kufungiwa

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile, amesema kuwa online TV zote ambazo zinafanya mahojiano ya kudhalilishana na zile zinazokiuka maadili na utamaduni wa nchi zitafungiwa na wamiliki wake kuchukuliwa hatua za kisheria. Submitted by Agnes Kibona on Jumanne, 9th...
  6. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa, Vijana waaswa kwenda kujifunza Maadili na Uzalendo katika Chuo cha Uongozi cha Mwl. Nyerere

    Wajumbe wa Baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi ,(CCM) limewataka viongozi wa vyama vya upinzani nchini kujiunga na Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere ,kilichopo Kwamfipa,Kibaha,mkoani Pwani, ili kujiongezea uwezo na kujifunza maadili na uzalendo wa nchi yao. Walizungumza...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

    Habari, Kuna clip moja nimeiona kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha mtu mmoja ambaye bila shaka alikuwa ni kiongozi wa tour ya jana ya WCB ya tumewasha na tigo waliofanya jijini Dododma akiomba radhi ya jambo linaloonesha sio la kiungwana na lisilokuwa na stahala lililofanya na "Msanii"...
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Bado kuna watu wazima wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili. Siku ya sherehe ya mwaka mpya nilikutana na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli leo anamuapisha Kamishna wa Maadili Jaji Mwangesi

    Hafla hiyo itafanyika Ikulu , Chamwino jijini Dodoma saa 4 kamili asubuhi. Tukio litarushwa mubashara TBC, Channel ten na ITV. Updates; ====== Rais Magufuli ameingia ukumbini na zoezi la kiapo limeanza. Kiapo kimekamilipa na sasa Naibu waziri wa Utumishi mh Ndejembi anatoa salamu za wizara...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Jaji Sivangilwa Mwangesi kuwa Kamshina wa Maadili

    Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili. Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia. Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24...
  11. Jensen salamone

    JamiiForums Tanzania Kama kuvaa nusu uchi ni kinyume na maadili ya Kitanzania mbona wamasai wanavaa lakini hawakamatwi?

    Awali kabla ya ujio wa wazungu Waafrika hatukuwahi kujua kitu kinachoitwa nguo. Na haya mavazi tunayovaa kufunika mwili mzima ni utamaduni tumeiga toka kwa wazungu. Sisi Waafrika mavazi yetu makuu yalikuwa ni magome ya miti, majani na ngozi za wanyama tena katika uvaaji tulikuwa tunastiri...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, kutakuwa na uchelewesho wa kuapisha Baraza la Mawaziri kufuatia kifo cha Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji mstaafu Nsekela?

    Wengi wetu tulitegemea mawaziri wataapishwa kesho lakini kwa bahati mbaya Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Halord Nsekela amefariki dunia leo. Kwa ratiba niliyonayo marehemu Nsekela aliyefia jijini Dodoma mwili wake utasafirishwa siku ya Jumanne kuelekea Tukuyu Mbeya ambako atazikwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo

    Ni imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza Wanachama Waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda Katiba ya chama. Hakika leo itakuwa ni siku ya historia kwa CHADEMA na...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bagonza: Tanzania ina tatizo la mmomonyoko wa Maadili. Watu wanaheshimu matokeo kuliko mchakato uliotumika kupata matokeo husika

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, alipohojiwa na MwanaHALISI Online juu ya maoni yake kuhusu sakata la CHADEMA. Sakata hilo liliibuka baada ya wanachama 19 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Zile Kamati za Amani na Maadili, na Viongozi wa Dini hawaoni yanayoendelea Zanzibar?

    Kipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake kubwa ilikuwa kutoa adhabu kwa wagombea wa Vyama vya Upinzani. Hizi kamati mbona hatuzioni wakati...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili ya Taifa: Tumekuwa wakali kipindi hiki kutokana na aina ya Wagombea waliopo

    "Sisi tumekuwa wakali kutokana na aina ya wagombea tulionao kwa sasa, ndiyo wamesababisha watu waone mbona adhabu zimekuwa nyingi na kamati imekuwa kali hivi" - Katibu wa Kamati ya Maadili ya Taifa, Emmanuel Kawishe "Vyama vya siasa ni vile vile, adhabu ni zile zile tofauti ni wagombea, unakuta...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini wagombea wa CHADEMA ndio wanaongoza kwa kukiuka maadili ya uchaguzi? Ni malezi mabovu ndani ya chama au?

    Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi. Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi. Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

    Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020. Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

    Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja ikifungwa....tunafungua nyingine.- H Mdee. ----- Kamati ya Maadili NEC imemfungia kuendesha...
  20. FYATU

    JamiiForums Tanzania Je, Mume na Mke kushirikiana kwenye ugomvi wa ndugu wa upande mmoja ni Mapenzi au ni ukosefu tu wa maadili?.

    Unakuta Mume au Mke anahitilafiana na ndugu au hata Wazazi wake, lakini unakuta Mume au Mke bila kujali kama kosa ni la mwenza wake basi nae anaunga tela na kukosana na hao Wakwe/Shemeji zake. Hivi haiwezekani Mume au Mke kuonyesha msimamo tofauti haswa kama tatizo lililopo chanzo ni huyo...
Back
Top Bottom