Misingi mikuu ya maadili ya viongozi wa umma

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
IMG_20210512_024942_171.jpg


MISINGI MIKUU YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

i) Kufanya kazi kwa uadilifu, uaminifu na kujali;
ii) Kujizuia na tamaa na kujiheshimu;
iii) Kujituma na kutekeleza majukumu kwa umahiri kufuatana na misingi ya kitaaluma;
iv) Kufanya kazi bila upendeleo;
v) Kutoa Tamko la Rasilimali na Madeni;
vi) Kuepuka Mgongano wa Maslahi
vii) Kuepuka kupokea zawadi, fadhila au Maslahi ya kiuchumi yaliyokatazwa;
viii) Kutotoa, Kutopokea au kuomba rushwa;

IMG_20210512_025250_149.jpg


ix) Kutotumia mali ya Umma kwa Maslahi binafsi;
x) Kuepuka matumizi mabaya ya madaraka;
xi) Matumizi sahihi ya taarifa za umma; na
xii) Uwajibikaji na kufanya maamuzi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom