maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

    Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers? Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na wanaume wasio na mbwembwe, majivuno, waongo, masharobaro, wale wa show offs n.k? Nafikiri...
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wakili ajitoa kesi ya Sabaya, asema analinda maadili yake

    Wakili wa mmoja wa watu wanoshtakiwa pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha amejiondoa kumtetea mteja wake. Wakili Fridoline Bwemelo amesema ameamua kujiondoa kumtetea mshtakiwa wa tatu katika kesi hiyo, Watson Mwahomange kwa kile...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makonda aliweka nidhamu jiji la Dar na kusafisha uchafu wa maadili uliokuwa umekithiri. Sasa hivi Dar ni kama Jahanamu

    Paul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mashoga. Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick. Wavuta bangi na...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa matukio ya mauaji na mmonyoko wa maadili ni kielelezo cha kushindwa kwa taasisi za dini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kidini na kimila kuwa chanzo cha kudhibiti mauaji yanayotokea mara kwa mara nchini, kwa kutoa mafunzo ya maadili yatakayosaidia kurejesha utu na hofu ya Mungu. Ameyasema hayo leo Februari 22 alipohutunia katika maadhimisho ya miaka 25 ya Jubilee ya...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Balozi Mohammed Mzale ateuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

    Rais Hussein Ali Mwinyi amemteua Balozi Mohammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi ya Rais; Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Uteuzi wa Balozi Mzale umeanza leo Februari 18, 2022
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Matukio ya mauaji nchini yananinyima usingizi

    Picha: Mhandisi Hamad Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii pamoja na baadhi ya askari kufanya vitendo kinyume na maadili...
  8. evangelical

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa maadili (unethical conduct) na professionalism kati ya DCI Boaz na Luteni Urio kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua...
  9. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kamati ya Maadili ya Bunge haiwashughulikii hawa watu?

    Hapo nyuma tumeona jinsi Kamati ya Maadili ya Bunge ilivyokuwa na nguvu. Baadhi ya Wahanga wake ni Pascal Mayalla, Zitto, CAG aliyepita, Gwajima na wengine wengi. Hapo nyuma tuliona jinsi watu walivyoitwa kwa mkwara, kuadhibiwa na kuonywa. Ninachoshangaa ni jinsi Spika anavyoshambuliwa...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Askari aliyempiga picha "Binti" amevunja maadili ya kazi yake, ashtakiwe!

    Mwaka juzi kuliwahi kuibuka "upuuzi" wa Askari kukamata Watu/Watuhumiwa na kuwavalisha mabango yenye "tuhuma" Kisha kuwapiga picha na kusambaza mtandaoni. Leo hii Binti mdogo aliyejirekodi mambo yasiyo ya staha, amekamatwa na kupelekwa kituoni, akiwa kituoni Tena ofisini kabisa, anapigwa picha...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndugai hawezi kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge?

    Nadhani ni wakati muafaka kwa Jobo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge ili aeleze kwa nini awamu ya tano hakuwahi kuhoji kuhusu serikali kukopa? Awamu ya tano ilikopa takribani trillion 29, leo anahoji serikali ya mama kukopa
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi (JWTZ) Wasaidie kufundisha maadili na Uzalendo Majeshi mengine ya Tanzania

    Salaam Wakuu, 1. Kipindi cha Kikwete, Wanasiasa walipelekwa JKT kujifunza Uzalendo na Maadili. Hii napendekeza iendelee kwa Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu wakuu, Wakuu wa Wilaya na Mikoa. 2. Polisi, Usalama wa Taifa na Askari wa amani, Waende JWTZ kujifunza kwanini Wanaogopwa lakini JWTZ ni...
  14. luangalila

    JamiiForums Tanzania BASATA imulike tamthilia za Bongo hazina maadili

    Baraza la sanaa Tanzania niwaombe mzitazame kwa jicho la.umakini ktk muktadha wa maadili ya taifa letu, izi tamthilia za bongo ambazo zina rushwa ktk Pay tv hasa hasa za Dstv, Zile.tamthilia naona zipo nje ya maadili yetu,. Izi story message zao ni MAPENZI MAPENZ . Mavazi yao hasa ya...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kheri iwaendee wazazi wa watoto hawa wanaokuzwa katika maadili na hofu ya Mungu

  16. guojr

    JamiiForums Tanzania Wazazi na Serikali tuangalie maadili ya watoto wetu Vyuo vya Kati

    Kama wazazi au walezi tunapenda watoto wetu wapate elimu ili iwasaidie maishani mwao. Ila kuna hili jambo la wazazi na walezi kupeleka watoto wao kusoma kwenye hivi vyuo vya kati hasa hivi vinavyotambulika kama vyuo vya mipango ambavyo vipo mikoa mbalimbali. Watoto hawa wengine wakiwa chini ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi huwa wanakisoma vema hiki kiapo cha maadili?

    Siku zote mara baada ya uteuzi, viongozi huwa wanaapisha. Na wakishaapishwa mmoja mmoja kuna kiapo kingine, wenyewe huita ahadi ya maadili huwa wanakiimba wote. Lakini ukiisoma ahadi hiyo kifungu kwa kifungu utagundua kuwa huenda viongozi wengi huwa hawafuata wala kuzingatia yaliyomo. Serikali...
  18. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Machinga, Tulikosea, Tunakosea, Tutaendelea kukosea!

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna sehemu tulikosea, tunakosea na tutaendelea kukosea. Wimbo wa Machinga kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi kama yupo anayefikiri ni wimbo wa juzi basi ana upungufu wa akili. Nani hapa ambaye anaweza kukataa kuwa kwa mfano mitaa ya Kongo ilivyo leo pako hivyo miaka...
  19. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushairi: Kulinda maadili na kupinga udhalilishaji

    Kutokana na kukithiri kwa udhalilishaji na kuyasahau maadili yetu . Nimeamua kuja na makala ya ushairi yashajihishayo kulinda maadili na kupinga udhalilishaji TUYALINDE MAADILI KUPINGA UDHALILISHAJI Bismillahi awali ninaandika shairi Naandika bila ukali maneno yangu mazuri Naituliza akili...
  20. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Spika na Bunge lake; ni maadili au hasira ya kutotaka kulipa kodi? Mwigulu aliyeshauri tuhamie Burundi je?

    Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema anachohisi ni ukwepaji kodi kwa wabunge! Sasa kinachoendelea ni muendelezo wa kuhojiwa na kamati baada ya...
Back
Top Bottom