maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika ni wepesi kubadilika na kuacha maadili ya asili kulingana na mazingira kuliko wanawake wa Kichina au Wahindi

    Katika mafundisho ya jamii, jamii za zetu zote zinamtaarisha mtoto wa kike kuwa mlezi wa familia. Kuondoka nyumbani kwa mtoto wa kike ni kukabidhiwa kwa mume. Mume huyu anakua ndiyo mtu wa kukulinda na wewe unategemewa umlee. Ujue chakula chake, usingizi wake na afya yake. Katika familia...
  2. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Maadili ya viongozi wa umma ni nguzo muhimu kwa ustawi wa taifa hili, viongozi wetu lazima wajitafakari na hili

    Maadili ni nyenzo muhimu na nguzo kwa viongozi wa Umma katika kuleta ufanisi katika utendaji wa kazi zao kwa manufaa ya wananchi na kwa taifa kwa ujumla. Hakuna maendeleo yoyote katika nchi ambayo yanaweza kupatikana iwapo viongozi ambao ndio watendaji wa kazi watashindwa kufuata maadili ya kazi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa sasa hawana busara na maadili mema, hawajieshimu, hawaoni ukweli na hawajui historia yetu

    Ukiambiwa Dr Salim Ahmed Salim aliteuliwa balozi nchini Misri akiwa na miaka 22 halafu ukalinganisha na vijana wetu wa leo wenye elimu na umri huo utaona km vile tunarudi nyuma badala kwenda mbele. Na ukiambiwa miaka ya 70 hadi 90 nchi yetu ilikuwa na vyama vya ushirika kila mko vyenye nguvu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwita Waitara ahoji kwanini Naibu Spika Dr. Tulia hajaitwa kwenye kamati ya maadili?

    Kheri ya Pasaka kwa Watanzania wenzangu. Kama tunavyojua mwaka huu kuna harakati za Uchaguzi Mkuu na tayari wanasiasa wameanza kuzunguka hapa na pale katika kutafuta kuungwa mkono. Na kila chama kina taratibu, miiko, makatazo na kanuni katika kuelekea katika uchaguzi huo. Chama Cha Mapinduzi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara afikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM mkoa wa Mara

    Naibu waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za serikali za mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mwita Waitara amefika mbele ya kamati ya Maadili ya chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mara kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Mara Samweli Kiboye kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Zikiwemo za...
  6. C

    JamiiForums Tanzania OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

    Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. Serikali kupitia waziri wa...
  7. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

    Mwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM. Ngoma bado mbichi kabisa hii. Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February. , Pia Gazeti la Mwananchi, Februari 29, 2020 limeandika: ======= Dar...
  8. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Mauno mkeo watoto: Uswahilini na maadili

    Kwa wale ambao hawajui maisha ya uswahilini, kuna vigoma vingi Sana watu wanapita wakiwa Na Madera (ndani chupi hakuna) wanacheza Na kujifunua uchi uchi. Kuna siku nilipita nikaona uchi Wa Malaya wanacheza aisee walikuwa uchi wa mnyama, zile nuksi nilizozipata mana nilikoswakoswa na magari...
Back
Top Bottom