maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Benjamini Netanyahu

    JamiiForums Tanzania MJADALA HURU: Nini kimeshusha Maadili kwa Viongozi wa Kuteuliwa?

    Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada. Je, nini kimechangia kushusha maandali? Je, ni upatikanaji wao? Kutokuandaliwa vizuri kuja kuongoza ama ni kuteuliwa kwa kujuana...
  2. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa wazungu mambokale kuhusu maadili asilia

    Mchoro wa mtu anayefanya udadavuzi wa fikira Na Dkt. Ada LOVELACE, Pambazuko Toleo Na. 0031 1. Usuli Maadili asilia ni kanuni za kuongoza tabia za watu zinazopatikana kutokana na kuangalia maumbile ya watu wenyewe yanataka wafanye nini kusudi waweze kubaki wazima na kustawi hadi ukomo wa juu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maasai hawana habari za Yesu wala Mohamad ila wamenyooka kwenye misingi yao na maadili mazuri

    Nikiwaambiaga watu ya kwamba Afrika tamaduni zetu na dini zetu za asili ni bora kuliko hizi dini zilizoletwa kwa ajili ya biashara ambazo ni ukristu na uislamu huwa wanabisha. Hebu tazama maasai, hawa jamaa wanaweza ishi na mtu yeyote. Hawana tabia za ajabu ajabu na za kishenzi kama hawa jamaa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Miiko na Maadili ya Mtanzania

    Nimesoma pahala maneno mazito ya kufikirisha, yakisema hivi: "Utawala usiokuwa na Miiko wala Maadili ni sawa na nyumba isokuwa na mume" Je, unakubaliana na maneno haya? Tujadili...
  5. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani muhimu zaidi katika maisha?

    Kuna wakati mmoja katika kijiji kimoja, kulikuwa na bwana mmoja tajiri sana. Aliishi katika nyumba kubwa, alikuwa na magari mengi na alikuwa na kila kitu alichotaka. Lakini, hakuwa na furaha. Alikuwa na watoto wawili na mke, lakini hakuwa na muda wa kuwasiliana nao na kushirikiana nao kwa sababu...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye Ubepari siyo jukumu la Serikali kulinda maadili ya mtoto wako

    KWENYE UBEPARI SIO JUKUMU LA SERIKALI KULINDA MAADILI YA MTOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel. Akiwa teja shauri yako. Akiwa Shoga utajua mwenyewe na toto lako. Akiwa litoto lilevi na linaloshinda vijiweni haiwahusu serikali. Ilimradi serikali haidhuriki, na Yale mapapa na mabepari hawapata...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Dunia la Maadili katika michezo

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Vijana na Michezo wa nchini Seychelles, Ralph Kelvin Jean-Louis (wa pili kulia) tarehe 21 Februari, 2023 jijini Riyadh, Saud Arabia katika Kongamano la Dunia la Maadili katika...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Watumishi wasiozingatia Maadili Kuchunguzwa

    Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama ameiagiza Tume ya Utumishi wa Umma nchini kufuatilia kwa karibu Halmashauri zote nchini na kubainisha Halmashauri ambazo hazizingatii maadili ya utendaji kazi katika utumishi wa umma ili waweze...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maadili kufanyika kipaumbele na kiunganishi cha raia ni ufinyu wa fikra na kukosa maono

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na kelele na harakati nyingi sana kutoka kwa wenye mamlaka na raia wengi kuhusu suala la maadili katika nchi hii. Kujali huku madili kumefikia kiwango cha ajabu na sasa tunaona hata midoli inayowekwa kwenye maduka ya nguo kuonyesha fashion (mannequin) ikipigwa...
  10. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwape motisha waandaaji wa maudhui waandae vitabu vyenye maudhui ya Kitanzania

    Baada ya kushuhudia vitabu vilivyopigwa marufuku kwa kweli ipo haja ya serikali kuanzisha kampeni kuwapa motisha wasanii hawa, vijana wa IT watutengenezee katuni za Kitanzania na pia magazine nzuri za rangi rangi kama miaka ile magezeti ya Sani. Ili kupambana na vitabu hivi ni lazima kuingiza...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Imani na maadili

    Naamini ukikatazwa dhambi fulani, consequently utakatazwa kushiriki matunda ya dhambi hiyo. Mfano kama wizi ni dhambi, kushiriki manufaa ya mali ya wizi ni dhambi pia. Sasa swali ni: Kama kunywa pombe ni dhambi, kwa nini uenjoy benefits zake, kama udhamini, miradi inayotokana kodi za...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mashirika yasiyo ya Kiserikali 4,879 yafutwa na Serikali

    Serikali imeyafuta mashirika yasiyo ya kiserikali 4,898 kati ya hayo yapo yaliyoomba kuacha shughuli zao kwa hiari. Taarifa ya kufutwa kwa mashirika hayo imetolewa Januari 24, 2022 na Kaimu Kitengo cha Mawasiliano Serikali, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Unaruhusuje Mitaala ya nchi za magharibi itumike nchini halafu unayakataa Maadili yao?

    Hali waliyofikia wazungu katika maswala ya Jinsia kiukweli inatisha. Kwa sasa Watoto wa kizungu wanafundishwa kujitambua kama "Mtu" na siyo kama Mvulana au Msichana Serikali lazima iachane na Mitaala ya Magharibi vinginevyo hakuna namna ya kuwaokoa Watoto wa Matajiri na Viongozi wanaosoma...
  14. Ndigwa

    JamiiForums Tanzania Ni basi gani zuri linaloweka video za maadili kwa safari?

    Nimekuwa nikipata taabu niwapo safarini, hasa nikiwa na familia pale unakuta njia nzima anawekwa Harmonize, Diamondi n.k., ni kama mumeingia mtandaoni mnaangalia picha za ngono. Yakipatikana mabasi yanayojali maadili na kuweka picha za heshima kwenye video zao itapendeza zaidi.
  15. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

    Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi Umri ni miaka 21,20,18, Elimu kidato cha nne, Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani. Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni wadogo zake. Mshahara utategemea na ukubwa wa familia yako, kati ya 70,000/ mpaka 100,000/. Wapo...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iran: Wakati maandamano yakiendelea, Polisi wa Maadili waondolewa mtaani

    Wanausalama hao ambao jukumu lao kubwa ni kuangalia aina ya mavazi yanayotakiwa kuvaliwa na raia wake wanaondolewa ikiwa ni miezi kadhaa tangu wawe chanzo cha maandamano yanayoendelea. Mwanasheria Mkuu wa Iran, Mohammad Jafar Montazeri ametoa kauli hiyo licha ya kuwa bado haijathibitishwa na...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Badala ya kujali kuporomoka kwa maadili tunajali kuvujishwa siri za watu wa ovyo

    Nashangaa sana kiongozi anaposema siri zisivujishwe. Kama kiongozi hataki siri zake zisemwe wapo henchmen wake watahakikisha kwamba siri zake hazisemwi. Lakini haifai kiongozi kwa matatizo yake binafsi, kwa matatizo ya udhaifu wake wa maadili, ashawishike kutunga amri ya jumla, ya kuihusisha...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mmomonyoko wa maadili chanzo ni wazazi na walezi kwa 99.9%

    Habari! Kuna vitu vinatokea tunaanza kumsingizia shetani au makundi. Hayo makundi mabaya yanaundwa na wanyama? Ni watu ambao wazazi na walezi wao wameshindwa kuwaonyesha njia. Kitaalamu tunasema tabia ya mtoto inajengwa shule, nyumbani na barabarani. Tone la bahari ukitia kwenye mto wa maji...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Qatar ni taifa la kuigwa kwa kusimamia maadili na misingi ya nchi yao. Kwanini tusiwaige?

    Pamoja na mgao wa umeme, nafuatilia kombe la dunia, na moja kati ya vitu nilivyofurahishwa navyo, ni namna hawa wenyeji Quatar walivyosimama kidete kutetea utamaduni na mila za nchi yake. Hili ni jambo zuri na huenda katika vitu vilivyosababisha nchi hiyo kuwa juu sana kimaendeleo ni misingi...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Maadili kuhakiki Vigogo 658 wakiwemo Mawaziri na Makatibu Wakuu

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania imewataka viongozi 658 waliochaguliwa kwa ajili ya uhakiki, kufanya maandalizi ya uhakiki huo. Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 2, 2022 na Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu Sivangilwa Mwangesi wakati akizungumzia kuhusiana na...
Back
Top Bottom