lugha

  1. JamiiForums Tanzania Utani wa Rais Samia na Ruto kuhusu lugha ya Kiswahili na Kingereza

    Wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na Kingereza Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mwizi ni mwizi hakuna lugha ya kiungwana ya kumuita mwizi

    Mwabukusi amesema mwizi ni mwizi hakuna lugha ya kiungana ya kumuita mwizi, akisema kama mtu anataka heshima ya kinafiki atoke kwenye ofisi za umma akakae nyumbani kwake ambako atasifiwa wakati wote. Akaongeza kuwa kama ukikaa kwenye ofisi za umma hauna faragha unayoitaka, ukiiba au ukiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Oparesheni 255 yaingia Busega. Mbowe abadilisha lugha ya Katiba Mpya, aanza kuongea kikakamavu

    Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi. Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza. Hii ni kata ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwenye Lugha kuna mother tongue, kwenye mapenzi kuna First love, tunaita Main Base ya Mahusiano

    KWENYE LUGHA KUNA MOTHER TONGUE, KWENYE MAPENZI KUNA FIRST LOVE, TUNAITA MAIN BASE YA MAHUSIANO. Na, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu duniani kina msingi wake. Ipo misingi imara na Ipo misingi dhaifu. Lakini msingi ni msingi tuu. Unapoenda kuomba kazi watahitaji CV yako ili wapate kuuona...
  5. JamiiForums Tanzania Elimu Yetu na Lugha

    Mengi yamesemwa kuhusu nini kinarudisha elimu yetu nyuma. Ukweli ni kuwa lugha inamchango mkubwa kwani ndio msingi wa mawasiliano. Kwa hapa kwetu kuna lugha tatu za msingi: kingereza, kiswahili na hesabu/hisabati. Sisi wengi wetu ni wabovu katika hayo pamoja na kiswahili. Kingereza ni lugha ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Rais Xi Jinping kuhusu “Utawala wa China” toleo la lugha ya Kiswahili chatolewa

    Kitabu cha Rais Xi Jinping chenye jina la “The Governance of China” toleo la Kiswahili, kimetolewa kwa wasomaji kwenye hafla fupi iliyofanyika Agosti 14 mjini Nairobi. Hii ni juzuu ya kwanza ya mfululizo wa juzuu nne, kikiwa na mkusanyiko wa hotuba na maagizo mbalimbali ya Rais Xi Jinping katika...
  7. JamiiForums Tanzania Kulikoni kukamatwa na kupewa kesi kina Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa wakati Lissu ndiye anaupinga mkataba kwa lugha kali zaidi?

    Peace, Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali. Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV za majaji waliohusika kesi ya DP World naomba please; naona wametumia zaidi kiingereza cha Google. Lugha rahisi wameifanya ngumu

    Watanzania tuna safari ndefu sana kufikia maendeleo ya fikra; majaji waliohusika katika hukumu hii wamefanya mambo mepesi kuwa magumu. Wameandika maamuzi yaliyojaa maneno ya kiingereza magumu bila hata sababu ya msingi. Nikisoma hii hukumu nabaini hata maneno baadhi yaliyoandikwa wao wenyewe...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

    Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama...
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni Mtanganyika kweli kweli, hakuwahi kwenda Ulaya. Alisalimia kwa lugha 27 kila alipohutubia

    Mwamba kweli kweli, Mtanganyika kweli kweli na Mtanzania halisi, hakuwahi kumuita mzungu au mwarabu wajomba zake. Safari zake zilikuwa kuzunguka Tanzania na uko alisalimu kila kabila alilokutana nalo njiani kwa lugha ya hiyo kabila, wanasema alijua lugha hizo wakati akizunguka Tanzania kujenga...
  11. JamiiForums Tanzania Lugha ya Taifa ya Tanganyika iwe Kiingereza

    Baada ya Tanganyika kuhuishwa kwenye katiba mpya, lugha ya taifa iwe Kiingereza, Kiswahili kimetuchelewesha sana, ona sasa kila nchi unayoomba kwenda kusoma au kufanya kazi wanataka ufanye English test simply because lugha ya taifa lako si kiingereza. Tukirejesha Tanganyika yetu, Lugha ni...
  12. JamiiForums Tanzania CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna nini kuhusiana na herufi A na lugha ya kiswahili?

    Lugha ya kiswahili imetawaliwa.na herufi A tazama. Uganda. Tanzania. Kenya.Botswana. Kaka. Dada. Mama. Baba. Chakula. Maisha.... Yaani karibia kila.kitu kimeishia na herufi a.
  14. JamiiForums Tanzania Mali: Katiba Mpya yaondoa Kifaransa kama lugha rasmi

    Katiba mpya ya Mali imeondoa Kifaransa, ambacho kimekuwa lugha rasmi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu mwaka 1960. Chini ya Katiba Mpya iliyopitishwa kwa wingi wa asilimia 96.91 ya kura katika kura ya maoni ya Juni 18, Kifaransa si lugha rasmi tena. Kifaransa itakuwa lugha ya kazi kuanzia...
  15. JamiiForums Tanzania Hata siku moja usikubali kuhojiwa kwa lugha ya watu. Utashindwa tu

    Siku zote ukitaka kuhojiwa hakikisha unatumia lugha yako mama. Usijidai kutumia lugha usiyozaliwa nayo. Utashindwa na kuabika. Ndiyo yaliyompata Mruma.
  16. JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi anatumia Lugha za kutisha Watu, jua huyo ni dhulmati" mdhalimu", mashetani ndio hufanya hivyo

    UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Saikolojia ya mtu mwovu anapokabiliana na Mijadala hukimbilia Vitisho. Yupo mwovu hutoa vitisho Kwa sababu ya kuficha Maovu yake...
  17. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Lugha yasababisha Mahakama kuamuru kesi ya aliyehukumiwa kunyongwa isikilizwe tena

    Mahakama ya Rufani Kanda ya Shinyanga, imeamuru kesi ya mauaji inayomkabili, Juma Ndodi, aliyehukumiwa kunyongwa, ianze kusikilizwa upya kwa sababu hoja za awali na maelezo ya mashahidi yalisomwa kwa Lugha ya Kiswahili wakati yeye anaelewa Kisukuma. Uamuzi huo ulitolewa juzi mbele ya jopo la...
  18. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Ziba pengo katika mawasiliano

    Katika kutafuta huduma mbalimbali toka sehemu tofauti-tofauti, Lugha ni nyenzo muhimu sana. Ili uweze kueleweka unachotaka, ni lazima utumie lugha inayoeleweka kwa atakaye kuhudumia. Mfanyo, mgonjwa anatakiwa kutoa maelezo kiasi Fulani kabla ya daktari kuagiza aina ya vipimo vitakavyomsaidia...
  20. JamiiForums Tanzania Leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu

    Ndugu zangu kama itawapendeza leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu. Mimi ni mnyiramba natoka kule singidani Inye mbii kate.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…