lugha

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Akili Bandia ya 'Bard AI' sasa inakubali lugha ya Kiswahili

    Akili Bandia ya Bard ambayo inamilikiwa na Google ili kushindana na Akili Bandia ya ChatGPT imefanya mabadiliko. Google Bard imeongeza upatikanaji wake kwa lugha zaidi ya 40 ikiwemo lugha ya Kiswahili. Sasa hivi unaweza kuuliza akili bandia ya Google maswali yoyote kwa lugha ya kiswahili na...
  2. Kakira

    JamiiForums Tanzania Matamshi ya alama

    Katika matumizi ya simu tunakuta alama: * inatamkwa nyota. # inatamkwa alama ya reli. Kwanini * isitamkwe alama ya nyota sababu sio nyota kihalisia.
  3. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Lugha gongana, Naombeni tafsiri ya “Received from” na “Issued to”

    Good afternoon members (sijui kama nimepatia 😂 ) Kuna sehemu imeandikwa Received from / issued to. hapa unaweza kuandika bidhaa flani imeletwa kutoka stoo ama naandika majina ya wateja waliokuja kuchukua bidhaa . Naombeni msaada kuibadili iwe kiswahili
  4. R

    JamiiForums Tanzania Utungaji wa Sheria nchini uzingatie Mtiririko Mzuri na Matumizi ya Lugha Rahisi

    Ili wananchi waweze kuelewa vizuri Sheria mbalimbali nchini pamoja na vifungu vyake, kunatakiwa kuwe na mtiririko mzuri katika uandishi wake pamoja na matumizi ya lugha rahisi. Wananchi wanapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa sheria bila kuhitaji msaada wa kisheria au ufafanuzi wa ziada. Hii...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Anayejua hii lugha ya Tanganyika na Zanzibar itatufikia wapi anisaidie

    Siku haipiti bila kusikia malalamiko juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioanzishwa kwa shinikizo la Marekani na tamaa ya madaraka ya Abedi Amani Karume na genge lake la mapinduzi. Je huu mnyukano ulioibuliwa na kutaka kuwekezwa kwenye bandari zetu utatufikia wapi kama taifa? Je muungano...
  6. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu bila Lugha: Mtaala mpya haujatutoa kwenye mtumbwi wa Vibwengo

    Nilipopata habari za mpango wa serikali ya Tanzania wa kupitia upya mtaala wa elimu, nilipata faraja na matumaini. Kuna matarajio makubwa yalianza kujijenga kichwani mwangu – matarajio ya kuondokana na elimu isiyoweza kutafsirika katika uhalisia wa maisha na kazi. Lakini kama wasemavyo waswahili...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Urusi kushirikiana katika kueneza lugha ya Kiswahili

    Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan ambapo wamejadili namna bora ya Tanzania na Urusi kushirikiana katika sekta ya Utamaduni na Sanaa kwa manufaa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mikataba ya kazi iwekwe kwenye lugha mbili

    Katiba ya nchi yetu inatambua lugha ya kiswahili kama lugha rasmi ya taifa la Tanzania, bado inashangaza sana kuona mikataba ya kazi inaandikwa kwa lugha ya kingereza tu, kwa kutumia jicho la kiupembunzi kupitia visa mafunzo kulingana na masuala ya mikataba suala la kuandaa mikataba liwe na...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nilienda ukweni wakidhani sijui lugha yao wakaanza kuniteta, nikaamua kumuacha binti yao

    Kabisa letu niliite kabila X linadharauliwa sana na kabila Y. Sasa nilipata binti wa kabila Y akaniambia kabla ya yote niende kwao kumsalimia mama yake. Nilienda na nikajitambulisha jina na kabila langu, wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi kwa lugha yao! Yalikuwa masimango mabaya nikamtosa...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Wahutu na Watusi? Je, ni maumbile au lugha?

    Ninini hasa tofauti ya hizi jamii mbili wahutu na watusi? Mimi ninavyojua ni haya kama nakosea naomba kuelimishwa! 1. Wahutu ni wafupi watusi ni warefu 2. Kitusi ni lugha na kihutu ni lugha 3. Rwanda wanakaa watusi na Burundi wanakaa wahutu Maswali yangu! 1. Je, Burundi kuna watusi? 2. Rais...
  11. DON YRN

    JamiiForums Tanzania SoC03 Upotoshaji wa kiuandishi unavyorudisha nyuma maendeleo ya lugha ya Kiswahili

    Lugha ya Kiswahili, ni lugha inayokua kwa kasi ikiwa ni miongoni mwa lugha zenye wazungungumzaji wengi duniani. Ni lugha inayozungumzwa sana kwenye nchi za Afrika mashariki na baadhi ya nchi kuifanya kuwa lugha rasmi katika shughuli za kiserikali na katika mazungumzo ya watu yaani lugha ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

    Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia. Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano. Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
  13. MaxAyo

    JamiiForums Tanzania Mtoto akizaliwa wakati wa mvua mnamuitaje kwa lugha yenu?

    Mtoto akizaliwa wakati wa mvua mnamuitaje kwa lugha yenu?
  14. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnataka nitumie lugha gani?

    Kila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi. Kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo. Mwanamke ukimpa hela utampenda. Sasa kuna aina ya wanaume sijui wanakwama wapi, hebu ona huyu anavyo lalamika hapa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Lugha ya Kingereza Kwenye Mtaala Mpya wa ELlimu Tanzania yasipuuzwe

    MBUNGE DKT. ALFRED KIMEA ASISITIZA MATUMIZI YA LUGHA YA KINGEREZA KWENYE MTAALA WA ELIMU TANZANIA YASIPUUZWE Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea tarehe 16 Mei, 2023 amechangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu huku akiainisha matumizi na faida ya lugha ya kingereza Kitaifa na...
  16. Yahaya Abdallah Sadallah

    JamiiForums Tanzania SoC03 Lugha ya Kiswahili katika kanuni ya 'Archemedes'

    Unamkumbuka Mwanafalaki na Mwanahisabati aliyekuwepo zaidi ya miaka elfu mbili na mia mbili iliyopita katika kisiwa cha Sisilia ambacho leo tunaita Italia. Mtaalamu ,huyu alikuwa anaitwa Archmedes mtoto wa Phidias ambaye pia alikuwa Mwanafalaki. Katika kipindi cha uhai wake kabla ya kuja...
  17. dosho12

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwepo wa Vitabu na Makala kwa Lugha ya Kiswahili na Ongezeko la Maktaba Katika Kukuza Maendeleo

    UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya elimu inapatikana kwenye vitabu. Vitabu hubeba historia na mitazamo mbali mbali ya watu ulimwenguni...
  18. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Boksi: Mnara wa Babeli, chanzo cha lugha nyingi duniani

    Ikapita miaka mingi. Wana wa Nuhu nao wakazaa watoto wengi sana. Watoto wao walikua na kuzaa watoto wengi zaidi. Na hapo ndipo kukawa na watu wengi zaidi duniani. Mmoja wa watu hao alikuwa kijukuu wa Nuhu jina lake Nimrodi. Alikuwa mbaya aliyewinda na kuua wanyama na wanadamu. Nimrodi pia...
  19. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kipi muhimu kati ya Lugha au Katiba Mpya?

    Habari wakuu, hamjambo? Kipekee ningependa kuchukua wasaa huu kuwatakia waamini wa dining ya Kiislamu na madheebu yake yote kwa ujumla heri ya sikukuu na kuwakaribisha kuendelea na maisha ya Kila siku katika jamiii. Nimetatizwa na jambo nikaona sio vibaya kama nitapata ufafanuzi kiasi. Hivi...
  20. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Jifunze maneno ya haya ya Kiswahili

    TUJIFUNZE KISWAHILI: 1. Charger - kimemeshi 2. Remote - kitenzambali 3. Password - nywila 4. Akala (bladder shoes) - kirikiri 5. Passion fruit - karakara 6. Kangaroo - bukunyika 7. Fridge - jokofu 8. Juice - sharubati 9. Chips - vibanzi 10. PHD - uzamifu 11. Masters degree - uzamili 12. Degree -...
Back
Top Bottom