likizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha likizo ya sensa Wazazi wawalinde watoto wao, mitaa imefurika

    kuna likizo ndefu kwa ajili ya sensa ya watu na makazi nchini, ambapo wanafunzi kuanzia ngazi ya chekechea hadi vyuo wapo mtaani, na kiukweli mitaani pamefurika kuna kila aina ya makundi na watu wa rika tofauti tofauti. Sasa huu ni muda wa wazazi kuchukua kila aina ya tahadhari kwa ajili ya...
  2. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Likizo imeanza, tulia kwako kina junya wapo makwao

    Wakuu sina haja ya salam. Huu ni ushauri tu kwa nyie mnaopenda visafari vya hapa na pale. Watumishi wa kada ambazo zipo likizo kama walimu nawashauri mtulie tu makwenu. Kwanini nasema hivo, hii likizo ni ndefu kina junya nao hawaendi shule wapo tu wanaangalia katuni nyumbani kwao, ili...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Utalii kwenye bustani ya wanyamapori Beijing wapamba moto wakati likizo ya majira ya joto inaanza

    Wakati likizo ya majira ya joto inakuja, wazazi wengi pamoja na watoto wao wanatembelea bustani ya Wanyamapori ya Beijing, China. Kuanzia tarehe 15 Julai, wanafunzi wapatao milioni moja wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing wameanza mapumziko yao ya majira ya joto.
  4. E

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Watumishi wa umma wapewe likizo miaka 3 wakajiajiri

    Kuna watumishi wa umma wenye ujuzi na uzoefu wa mambo mbalimbali, na wangependa wawe wajasiliamali wapewe likizo ya miaka mitatu wajiajiri na wakifanikiwa basi wapewe mikopo ya 100M ya kuendeleza biashara zao. Hawa watumishi wakifanikiwa watuajiri vijana wengi
  5. msovero

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai apinga agizo la Serikali kuzuia wanafunzi kusoma wakati wa likizo, aahidi kulifikisha Bungeni

    Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo. Spika Ndugai amesema wananchi...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ukimaliza likizo ya Sikukuu tembelea vibanda vya chips Dar na Dodoma ujionee maajabu!

    Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira. Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi yako Nimetembelea Dar na Dodoma Naona kwenye vipanda vya chips wameanza kufungia mifuko ya plastiki...
  7. May Day

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono Serikali kutaka Watoto wapumzike wakati wa likizo lakini....

    Mimi ni miongozi wa Wazazi nisiyefurahishwa kabisa na namna tunavyowachosha Watoto wetu kwa ratiba ngumu wakati mwingine kuliko hata tulizonazo sisi Watu wazima. Kuhusu likizo nadhani twaweza kuja na namna nyingine ya kwenda na Watoto wetu hawa bila kuendelea kuwaumiza...maana pia kama lengo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Akwilapo: Kwanini wathibiti Ubora wa Elimu Mashuleni hamvai barakoa?

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo ameshangaa kuona watu kwenye Mafunzo na Semina Wizara ya Elimu hawavai Barakoa wala kufuata kanuni za afya za kujikinga na Covid-19. Ameonge hayo wakati akifungua Mafunzo ya Uthibiti Ubora kwa Maafisa Elimu Kata na Wakuu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilidhani mnaomjibu Waziri Ummy Mwalimu na Hoja yake ya 'Likizo na hakuna Twisheni' mna jipya, ila naona mnamjibu 'Utumbo' tu

    Kwa hili la Waziri Ummy Mwalimu la Likizo na hakuna Twisheni Mimi kama GENTAMYCINE naungana nae tena kwa 100% zote tu. Hivi Wataalam wa Taaluma, Elimu na Saikolojia walioweka Kipindi cha Likizo kwa Watoto ( Wanafunzi ) walikuwa Mazuzu ( Majuha ) kama wengi wenu mnaompinga? Kuna Mzazi Mmoja...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse katika mjadala wa wazazi na walimu kuhusu kuwapa wanafunzi kazi za shuleni wakati wa likizo

    Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse. Kushiriki mjadala huu bonyeza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ummy: Wanafunzi wote waende likizo mwezi Desemba, masoma ya ziada no

    ||Sitaki kutia neno, Msikilize hadi mwisho Waziri wa TAMISEMI Mhe Ummy Mwalimu,
  12. To yeye

    JamiiForums Tanzania natafuta kaz ndan ya likizo

    Samahani kama nitawavuruga vichwa,,ila naomba mnielewe . Mwez wa 12 nina likizo ya mwez 1 means hadi januari,nataka ndani ya kipindi cha likizo hiyo mpaka shule zinafungua niwe nimeingiza at least laki 3 au 4.Naombeni vibarua hivyo bas wandugu...badala ya kulala tu na kuzunguka mwez mzima...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba sample ya barua ya likizo isiyo na malipo

    Habari za usiku waungwana? Ninataka kupumzika kazi kwa muda wa angalau mwaka mmoja au miwili. Kuna jambo nataka kulifanya la kibinafsi. Mimi ni mtumishi wa serikali. Aliyewahi kuomba likizo isiyo na malipo au anayefahamu kwa undani hili jambo anipe mwanga. Thanks
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ya China yawapa nafuu wazazi wakati shule zinapofungwa kwenye likizo ndefu ya majira ya joto

    Majira ya joto yamefika na tunapozungumzia majira ya joto, huwa mara nyingi kwa wanafunzi wa nchi mbalimbali pia wanazungumzia likizo yao ndefu hasa kwa nchi zile zenye misimu ya joto, baridi, mpukutiko na spring au mchipuko. Katika kipindi hiki baadhi ya wanafunzi huwa wanajiunga na kambi za...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Serikali ikubali uraia pacha na kutoa likizo ya kodi kwa wawekezaji wazawa ili kuchochea ajira

    Nchi yetu imebarikiwa maji, ardhi yenye rutuba, watu wenye afya, Rasilimali lukuki lakini 60% ya raia wanaishi katika umasikini wa kutupwa. Kitu kinachowashinda wengi ni mitaji ya kuanzisha biashara. Hili si tatizo kubwa kama tukiwashirikisha diaspora. Diaspora anaweza kupata mtaji wa...
  16. tamsana

    JamiiForums Tanzania Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Waziri wa Afya apewa likizo maalum na Rais Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi

    Waziri wa Afya, Dkt Zweli Mkhize amepewa likizo maalum na Rais Cyril Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi, ikidaiwa wasaidizi wake wawili wamefanya ubadhirifu wa zaidi ya Dola za Marekani Milioni 6 ambazo ni Fedha za Umma kwa ajili ya COVID19. Kumekuwa na malalamiko kuwa maelfu ya Mikataba...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Shule Binafsi ziheshimu likizo za watoto wetu

    Imekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo? Likizo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

    Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao. Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
  20. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
Back
Top Bottom