Afrika Kusini: Waziri wa Afya apewa likizo maalum na Rais Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri wa Afya, Dkt Zweli Mkhize amepewa likizo maalum na Rais Cyril Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi, ikidaiwa wasaidizi wake wawili wamefanya ubadhirifu wa zaidi ya Dola za Marekani Milioni 6 ambazo ni Fedha za Umma kwa ajili ya COVID19.

Kumekuwa na malalamiko kuwa maelfu ya Mikataba inayohusiana na Ugonjwa huo imetolewa kisiasa.

======

South African Health Minister Dr Zweli Mkhize has been placed on special leave by President Cyril Ramaphosa pending a corruption probe.

Dr Mkhize is being asked to address allegations that two of his close aides embezzled more than $6m (£4m) from public coronavirus funds, using a front company that was awarded a contract to run the health ministry's Covid communications.

The minister, whose handling of the pandemic has been praised, denies any wrongdoing and is seeking to state his case to the governing African National Congress (ANC).

There has been public outrage that thousands of Covid-linked contracts have been awarded to politically connected companies.

More than 60 government officials are already set to be prosecuted.

Source: BBC
 
Waziri wa Afya, Dkt Zweli Mkhize amepewa likizo maalum na Rais Cyril Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi, ikidaiwa wasaidizi wake wawili wamefanya ubadhirifu wa zaidi ya Dola za Marekani Milioni 6 ambazo ni Fedha za Umma kwa ajili ya COVID19

Kumekuwa na malalamiko kuwa maelfu ya Mikataba inayohusiana na Ugonjwa huo imetolewa kisiasa

======

South African Health Minister Dr Zweli Mkhize has been placed on special leave by President Cyril Ramaphosa pending a corruption probe.

Dr Mkhize is being asked to address allegations that two of his close aides embezzled more than $6m (£4m) from public coronavirus funds, using a front company that was awarded a contract to run the health ministry's Covid communications.

The minister, whose handling of the pandemic has been praised, denies any wrongdoing and is seeking to state his case to the governing African National Congress (ANC).

There has been public outrage that thousands of Covid-linked contracts have been awarded to politically connected companies.

More than 60 government officials are already set to be prosecuted.

Source: BBC
Imeitwa maalum ili kupunguza ukali wa maneno lkn huyo km sabaya tu kasimamishwa kazi kupisha uchunguz
 
Back
Top Bottom