life

  1. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Tupumzishane wajameni hakuna aliyerudi duniani mara ya pili, motiveshono spikas wamekuwa wengi kuliko spika zenyewe.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia wimbi kubwa la watu wanaojiita wasemaji wa maisha ya binadamu wenzao. Wengi wao wamekuwa wakitoa maneno mazuri ya kutia moyo, lakini mara nyingi maneno hayo yanakosa mizizi ya uhalisia. Ni rahisi kusimama mbele ya watu na kusema “fanya hivi, acha vile”, lakini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kijana ulieajiriwa bila mkataba wa uhakika, hakikisha una ofisi kabla ya 35, mabosi wanawakwepa 35+, usisubiri kujifunza kwa uchungu life starts at 40

    Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
  3. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Je huu msemo wa "fix your sleep before you fix your life" huwa unamaanisha nini hasa

    Usemi ule maarufu wa Kiingereza unaosema "Fix your sleep before you fix your life" (Tengeneza usingizi wako kabla ya kutengeneza maisha yako) una uzito mkubwa sana wa kisaikolojia, kibiolojia, na kiutendaji. Kimsingi, falsafa hii inamaanisha kuwa usingizi si anasa au matokeo ya kumaliza kazi...
  4. Chris_A

    JamiiForums Tanzania What am I missing?

    My mind is in a mess right now, I think it's because there's a certain kind of clarity that I've been searching for but I just can't seem to find it. 1. Nimejaribu kuitafuta through achievements of different milestones ila still sijaipata. 2. Nimejaribu kuitafuta through self improvement habits...
  5. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania There is no secret societies, There's no dark forces controlling your life. There is no Satan sitting somewhere controlling your life!

    When you make bad choices and you get bad results. This is not because of Satan or any secret society. This is your own ignorance, stupidity, negligence and carelessness in decision making. The reason why the poor stay poor is because they're paranoid. They believe in curses, conspiracies...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Is life a movie or a dream? Which one make sense?

    Kuna theory inasema " Life is a movie about a character in which the actor is not the character. The actor is invisible so you are here on earth to act in the life of an invisible character " Mfano wake ni kama vile movie kuhusu maisha ya Malcolm X... Mtu ana act maisha ya Malcolm X kwenye...
  7. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda EX- UPDF Soldier Michael Katungi Faces Possible Life Sentence in U.S.

    Former Uganda People’s Defence Forces (UPDF) officer Michael Katungi Mpeirwe could face life imprisonment in the United States if he is extradited and convicted on charges linked to an alleged international arms trafficking conspiracy involving a Mexican drug cartel. Katungi, a former Central...
  8. M

    JamiiForums Tanzania What is life?

     Good morning to all JF users all over the universe. This morning as I was about to get ready for work. I found it useful to share with you this piece of information. Most of us are so engrossed in the hectic life of this fast-paced world that we often fail to realize the true essence of life...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums ipige life ban machawa wa ccm

    Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu. Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo Samia atosha tukutane2030
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums ipige life ban machawa wa CCM

    Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu. Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo MamaSamia2025 KERATO MOMBAA Dr wa Manesi Kizibao mdogoee Haya...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Fake life kwa wanaoishi nchi za nje wakiaminisha washafanikiwa

    Kuna watu wakishafika kwenye miundo mbinu mizuri wanaona wamefika kwenye mti wa pesa na mafanikio teyari. Mfano hawa vijana wanaokataa kuuza mitumba na kutembeza sigara Tanzania wanakimbilia South Africa kwenda kushinda nje kuuza sweet. Mwaka jana kuna jamaa yangu anaishi USA sitapenda kutaja...
  12. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Dj waleteeeeee

    Pigaaaa keleeeeleee
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Utaratibu wa Life Insurance uangaliwe tena, nimepata ugumu kwenye maisha ila wamegoma kunipa hata hela kidogo

    Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 40 katika bima ya maisha (life insurance) kupitia Jubilee Insurance, kwa matumaini ya kuwa na usalama wa kifedha wa baadaye. Hata hivyo, kwa sasa sina ajira na sina uwezo wa kuendelea kulipa malipo ya mara kwa mara ya mpango huo. Nimewasiliana nao ili kupata...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Battery Degradation kwenye EV na Hybrid: Sababu, Athari na Jinsi ya Kuongeza Life Span!

    Wakuu, kwema? Leo tuongelee kidogo kuhusu battery degradation za hybrids (HEV na PHEV) na magari ya umeme (EV), especially used tunayonunua kutoka Japan. Ili kuelewa degradation ya hizi battery, tuanze na utangulizi basics wa EV, PHEV na HEV kwa kutumia mifano ya magari maarufu ya hapa...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Toa piece of life advice /ushauri wa kimaisha ambao ni constructive kwa mtu yoyote yule.

  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Life Between Sewage and Survival in Mathare 4A

    Hii ni njia yenye watu wanapitia kila siku kwenda nyumba zao lakini imegeuka sewage line. Maji machafu zinapita katikati ya nyumba, watoto wanacheza hapo karibu na wengine bado wanatumia hiyo njia daily juu hakuna option ingine. Imagine kuweka mtungi ya maji safi steps chache kutoka kwa sewage...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania How is life treating you Mwana JF?

    HOW IS LIFE TREATING YOU MWANA JF?
  18. Red black

    JamiiForums Tanzania Every situations in life is temporary, uvumilivu ni muhimu sana pale mambo yanapokuwa mabaya.

    Everything has a price to pay.
  19. bronze

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa at the lowest point of your life ukahisi kabisa hapo ndio mwisho lakini ukaja kufanya au ikafanyika comeback ya kibabe sana? Tueleze

    Uzi tayari, karibuni kwa michango na wengine tujifunze kuhusu maisha
  20. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania When life favours you dont call others lazy? Ukipata neema ya kufanikiwa kimaisha usiwadharau ambao bado hawajatoboa

    Kama inawezekana kufanyika baraka kwa wengine ikiwemo maneno ya kinywa chako yawe ya kubariki wengine kuliko kuwadharau na kuwakejeli. UNAHITAJI WATU WA HALI ZOTE KATIKA MAISHA. Heshimu watu wa hali zote masikini kwa matajiri,bila kujali tofauti zenu za kiuchumi ,na kijamii. Masikini...
Back
Top Bottom