Life ngumu mwanangu, lakini kesho yetu ipo

Rebuild

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
3,664
Reaction score
7,258
Katika haya Maisha kuna up and down nyingi saana.

Unajikuta unapata Hela lakini mwisho wa siku inapotea unaanza upya Tena na kujipa Imani utatoboa Tena.

Huwa simcheki bro anaekoto makopo ili aende akauze kwajili ya kupata mkate wake.Kumbuka hela haitaki mwanaume muwoga kwahiyo bro acha uwoga kwenye kutafuta Huu mchezo wa Maisha.

Wewe ambaye umefanikiwa katika harakati zako basi usinicheke Mimi sababu Sina Hela ukaona sina akili mana always meza inageuka isafishwe kwajili ya wateja wengine.

Bro kama huna Hela utapitia vitu hivi katika Maisha na lazima uvikubali Tu.

Usaliti
Maumivu
Upweke
Kudharauliwa
Lakini badae unakuja kuwa MONSTER 💀.

hii hatua Sasa inamuondoa kutoka kuwa Kijana na kuwa MWANAUME mwenye misimamo Yake.

Tupambane kaka.
 
Kwenye dunia sio kila mtu atakuwa na hizo mnaita hela sijui kutoboa. Wengine watakosa hela mpaka kufa. Furahia maisha yako,jikubali.
 
Katika haya Maisha kuna up and down nyingi saana.

Unajikuta unapata Hela lakini mwisho wa siku inapotea unaanza upya Tena na kujipa Imani utatoboa Tena.

Huwa simcheki bro anaekoto makopo ili aende akauze kwajili ya kupata mkate wake.Kumbuka hela haitaki mwanaume muwoga kwahiyo bro acha uwoga kwenye kutafuta Huu mchezo wa Maisha.

Wewe ambaye umefanikiwa katika harakati zako basi usinicheke Mimi sababu Sina Hela ukaona sina akili mana always meza inageuka isafishwe kwajili ya wateja wengine.

Bro kama huna Hela utapitia vitu hivi katika Maisha na lazima uvikubali Tu.

Usaliti
Maumivu
Upweke
Kudharauliwa
Lakini badae unakuja kuwa MONSTER 💀.

hii hatua Sasa inamuondoa kutoka kuwa Kijana na kuwa MWANAUME mwenye misimamo Yake.

Tupambane kaka.
meza inageuka isafishwe kwaajili ya wateja wengine🤔
Noo usije kuwa monster, pambana, be humble, Hate no one, cherish every moment cause this life is all we have! We'll one day perish like any other being,
this is our hope.
 
Shukran bro.
Lakini Maisha ndio hubadiri mtu kutoka Ile Hari Yake ya upole
 
Back
Top Bottom