Is life a movie or a dream? Which one make sense?

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,773
Reaction score
3,878
Kuna theory inasema " Life is a movie about a character in which the actor is not the character. The actor is invisible so you are here on earth to act in the life of an invisible character "

Mfano wake ni kama vile movie kuhusu maisha ya Malcolm X... Mtu ana act maisha ya Malcolm X kwenye movie. Yeye mwenyewe sio Malcolm X. .. Malcolm X is invisible in that movie.. So ndio maisha tunayo ishi binadamu.. Hiyo ni theory. Je inaweza kuwa ina make sense kwa kiwango gani?

Theory namba 2 : " Life is a dream" Kwamba haya maisha unayo ishi sio maisha yako halisi, ila ni ndoto unaota na siku utakayo kufa kwenye ulimwengu huu ndio siku utakayo fufuka kwenye ulimwengu mwingine.. Hii nadharia inapendwa na watu wengi sana.

Je inaweza kuwa na ukweli kwa kiasi gani? . Tujadili bila kuhusisha mafundisho ya dini. Tujadili kwa kutazama uhalisia katika maisha yetu ya kila siku
 
Kuna theory inasema " Life is a movie about a character in which the actor is not the character. The actor is invisible so you are here on earth to act in the life of an invisible character "

Mfano wake ni kama vile movie kuhusu maisha ya Malcolm X... Mtu ana act maisha ya Malcolm X kwenye movie. Yeye mwenyewe sio Malcolm X. .. Malcolm X is invisible in that movie.. So ndio maisha tunayo ishi binadamu.. Hiyo ni theory. Je inaweza kuwa ina make sense kwa kiwango gani?

Theory namba 2 : " Life is a dream" Kwamba haya maisha unayo ishi sio maisha yako halisi, ila ni ndoto unaota na siku utakayo kufa kwenye ulimwengu huu ndio siku utakayo fufuka kwenye ulimwengu mwingine.. Hii nadharia inapendwa na watu wengi sana. Je inaweza kuwa na ukweli kwa kiasi gani? . Tujadili bila kuhusisha mafundisho ya dini. Tujadili kwa kutazama uhalisia katika maisha yetu ya kila siku
Infropreneur
 
Nothing makes sense
But as soon as you cum
You come to your senses.
 
Back
Top Bottom