Jamiiforums ipige life ban machawa wa ccm

Jamiiforums ipige life ban machawa wa ccm

Hao Mafamba wote Mimi nili wa Ignore.

Bibi yao alikuwa anataka Kuifungia Jamii Forum na wao wanalipwa Pale masaki Kupitia Jamii Forum .

Na walivykuwa Mapunguani wanamsifia Tu Bibi yao chura Kiziwi.
 
Kwenye majukwaa ya kisiasa, kuna watu ambao kazi yao kubwa ni kusukuma "narrative" au mtazamo fulani kila siku (iwe ni kuunga mkono serikali au kuikosoa serikali 24/7). Wakati mwingine wanafanya hivyo kwa sababu ya itikadi zao, na wakati mwingine ni mikakati ya kisiasa ya kidijitali na wakati mwingine ni ujinga wao uliokomaa.
Kwenye majukwaa kama Jamii Forum, njia bora ya kukabiliana na hali hiyo bila kujiumiza kichwa ni kutumia zana za kuulia mende kama "Ignore" au "Block" kwa akaunti ambazo unaona hazichangii chochote cha maana kwenye mijadala kutoka kwa watu wanaojenga hoja kwa weledi.
Mbona kama unapiga mawazo rungu jibuni hoja zao kama ni hoja mfu wanyamazieni
 
Ila machwa wa Chadema ndio wana haki ya kubaki humu?

Kumbe JF ni ya Chadema?
 
Lucas Mwashambwa ni sawa na Joti tuu,muhimu ni kutomtilia maanani na kuto comment chochote kwenye utumbo wake.
 
Back
Top Bottom