life

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania 7 tips to b happy n life

    Ty
  2. A

    JamiiForums Tanzania How to conquer life easily

    Believe in God
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Life linaweza kukutandika hadi wadudu wadogo kama nzi wakawa hawana adabu mbele yako

    Utasifika kwa uchapakazi ila utaheshimika kwa mafanikio
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huu ukakasi umenikumbusha huu msemo: "Nilipokuwa mtoto nilikuwa masikini ila baada ya muda mrefu wa kufanya kazi kwa bidii mimi sio mtoto tena"

    Maisha yamekuwa corrupted, njia zimekuwa reshaped, yani kila hatua ya uthubutu na ueledi unachoambulia kufuga ndevu na mzunguko wa kifedha ambao ukipata tsh 10,000 muda sio mrefu unarudi kuwa tsh 0 ulio kuwa nayo Ofcourse maisha hayajawai kuwa marahisi, ila maisha ya bongo haya faidishi tena...
  5. maranguvillage

    JamiiForums Tanzania In My Life

  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Lige is more spritual than physical

    Though we live in a physical body, the essence of who we are goes beyond flesh and blood. Our thoughts, emotions, conscience, values, love, and sense of purpose all stem from the spirit, not the body. The body can be strong, but without hope, it collapses. The body can be full, but without...
  7. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Best life Advice from elderly people

    Whose advice was your favorite?
  8. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Binti! Jioneshe kwa uhalisia wako! Be natural! Don't fake life! Utaishia kwa fake guys!

    Leo kama zilivyo siku nyingi natumiaga pia usafiri wa umma. Leo nikapanda daladala za mlandizi wakati mimi natelemkia katikati kabla ya kufika mpaka wa Dar na Kibaha. Si unajua kwa mtu anayejielewa kubana matumizi?😏 Pale nilipopanda Mbezi mwisho, alipanda mdada mmoja umri wake yuko chini ya 20...
  9. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Special Branch, Naomba Mfanye Life Style Audit ya Mawaziri Wafuatao na Kisha Mmpe Report Mheshimiwa Rais

    Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais. 1...
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuishi na mwanamke ambaye anazaa nje ya ndoa akiwa ndani ya ndoa ni kujipunguzia life expectancy kwa mwanaume

    Nashangaa huko Instagram mwanamke anajitapa kuzaa inje ya ndoa watoto watatu halafu ndani ya ndoa mtoto mmoja Nini hiki wakuu mbona hatari sana. Najiuliza inakuwaje wanaume uendelee kuishi na mwanamke ambaye amezaa inje ya ndoa watoto wote hao au ni limbwata hilo Nini 🤣🤣🤣, Tatizo SS wanaume...
  11. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hata life likipiga u-turn usikubali kukaa kwa mwanamke

    Ushauri wangu kwa wanaume: hata maisha yakuchapa vipi, usikubali kukaa kwenye nyumba ya mwanamke wako Hata kama anakupenda kwa dhati, ipo siku utakumbushwa kuwa si kwako Jitahidi ujipange, hata kwa kidogo, ili ujenge heshima yako na nafasi yako kama mwanaume Mwanaume anatakiwa kuwa kichwa cha...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Yamkini Wabunge wa hovyo hovyo watapitishwa ili waingie bungeni kuipeleka ajenda ya Samia for life

    Huenda Ndicho kinacho sukwa kwa sasa. Mtazinduka mmesha jikojolea tayari.
  13. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Life Lesson: Usifanye deal na Mwanamke

    Kwema wakuu? Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera. Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
  14. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

    Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara. Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina...
  15. Stability

    JamiiForums Tanzania Watu mliozaliwa 1985-1995, how is life?

    Mishe mishe, mitikasi, mapambano, maono, mafanikio, matatizo, matarajio, mafundisho?.
  16. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Dah, life is not fai. Wale washikaji ambao walikuwa hawana akili kichwani tukiwa darasani Leo wanamaisha mazuri

    Wale washikaji ambao walikuwa hawana akili kichwani tukiwa darasani Leo hii wanakazi zao za maana na biashara za kutisha. Sisi ambao darasani tulikuwa na akili na morality ya kufatuta maisha lakini mpaka Leo maisha hatuna ajira hatuna. Kila siku tunaona watu wapo kwenye magari makali nyumba...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Newton 3rd law of motion: "For every reaction there is an equal and opposite re-action". How this is applicable in our daily life?

    Newton 3rd law of motion iko very clear kusema "......for every action there is an equal and opposite re-action...." Kwa ufafanuzi rahisi kwa Kiingereza hichohicho, maana yake ni kuwa👇; "......for every force or beating or torture or kindness etc exerted on one object or person, there is an...
  18. Bueno

    JamiiForums Tanzania Fast life, fast cars, ain't no slowing down

    [Hook - The Cataracs] [x2] I bet you think cause you saw me on the TV That you know my whole life story Let me tell you something you might not know Forget what you're talking bout, chick I get doe [x3] I get doe I get doe I get doe, I get doe, I get doe Bitch I get doe [Verse 1 - Glasses...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Silver Cord of life ni nini?

    Nilishawahi kukutana na huo msamiati humu JF. Lilihusushwa na utokaji nje ya mwili. Leo nimekutana nao kwenye Biblia! "Yes, remember your Creator now while you are young, before the silver Cord of life snaps and the golden bowl is broken. Don't wait until the water jar is smashed at the spring...
  20. Hharyson

    JamiiForums Tanzania 🏡 Build Your Dream Home with a Reliable Partner! Looking for a trustworthy construction company to bring your vision to life?

    🏡 Build Your Dream Home with a Reliable Partner! Looking for a trustworthy construction company to bring your vision to life? Mkuzibuilders is here for you — reliable, professional, and committed to quality. 📍 Visit us: Sinza, Dar es Salaam 📞 Call us today: +255 624 004 6
Back
Top Bottom