What am i missing?

What am i missing?

Chris_A

New Member
Joined
Jun 23, 2026
Posts
1
Reaction score
6
My mind is in a mess right now, I think it's because there's a certain kind of clarity that I've been searching for but I just can't seem to find it.

1. Nimejaribu kuitafuta through achievements of different milestones ila still sijaipata.
2. Nimejaribu kuitafuta through self improvement habits ila still sijaipata. (reading books, reading the bible, working out, meditating and journaling)

Nilivyokua Sekondary, i used to think through graduating and passing that milestone nitaingia chuo and all will be well in a sense kwamba vitu vilivyokua vina nisumbua akili vitaondoka na ill be free and at peace at last. Lakini hapana.

Nimeingia chuo vitu vipya vikawa vinanisumbua akili, nikajiambia ya kwamba all will be well once i graduate and maybe through passing this new milestone, maybe then ill find freedom and clarity.
Ila hapana,

Nimemaliza chuo, vitu vipya vinanichosha akili. Nimejishtukia nipo kwenye loop ya kusema maybe nikipata tu kazi, all will be well.....ila nishaona uongo huo.

The sad part about all of the above ni kwamba, through that journey of finding clarity nimetumia weed, pombe and i was a womanizer/ player..........nilikua nikifanya yote hayo hoping nitapata the satisfaction and clarity am looking for, ila sijapata.

Najua kua kuna tragedies kubwa sana watu wanazopitia katika haya maisha, ila still that doesnt take away the curiosity of me asking.

What am i missing? kuna mtazamo wa maisha sioni au?
 
"Wale walioamini na zikatulizana nyoyo zao kwa kumkumbuka Allah, hakika kwa kumkumbuka Allah ndio nyoyo hutulizana!."

Qur'an 13:28

Imagine umekaa mahali pa peke yako, usiku wa giza moyo wako umeyaweka matatizo yote na tabu za dunia pembeni, macho yako yanatiririsha machozi, unamuita Allah bwana wa walimwengu wote kwa sauti ya chini:-

"Ee mola wangu! dunia imekuwa ngumu kwangu, moyo wangu unakaribia kupasuka kwa matatizo ya kila namna yanayoniandama, nisogeze kwako ee mola wangu! na unitajirishe nisimtegemee yeyote ila wewe.."

Imagine the feeling!? haijui hali hiyo isipokuwa yule aliyewahi kuipitia, sikiliza ndugu yangu Chris_A utafanya mambo yote wala hutopata hicho unachokitafuta, nyoyo zina ufakiri wa milele kwa kumkosa yule aliyeziumba.

Asante.
 
Najua kua kuna tragedies kubwa sana watu wanazopitia katika haya maisha, ila still that doesnt take away the curiosity of me asking.

What am i missing? kuna mtazamo wa maisha sioni au?
Mwishoni kabisa -tuliza ball, ndio mchezo wa Maisha ulivyo unaishi km unashindana kwenye mchezo fulani sasa huu mchezo wa maisha kuna wakati inakubidi utulize mpira chini ili uone vizuri unapotoka na unapoelekea ukiende enda tu unapotea na unapoteza kila kitu ni km vile mtu anaechezea -kindege
 
My mind is in a mess right now, I think it's because there's a certain kind of clarity that I've been searching for but I just can't seem to find it.

1. Nimejaribu kuitafuta through achievements of different milestones ila still sijaipata.
2. Nimejaribu kuitafuta through self improvement habits ila still sijaipata. (reading books, reading the bible, working out, meditating and journaling)

Nilivyokua Sekondary, i used to think through graduating and passing that milestone nitaingia chuo and all will be well in a sense kwamba vitu vilivyokua vina nisumbua akili vitaondoka na ill be free and at peace at last. Lakini hapana.

Nimeingia chuo vitu vipya vikawa vinanisumbua akili, nikajiambia ya kwamba all will be well once i graduate and maybe through passing this new milestone, maybe then ill find freedom and clarity.
Ila hapana,

Nimemaliza chuo, vitu vipya vinanichosha akili. Nimejishtukia nipo kwenye loop ya kusema maybe nikipata tu kazi, all will be well.....ila nishaona uongo huo.

The sad part about all of the above ni kwamba, through that journey of finding clarity nimetumia weed, pombe and i was a womanizer/ player..........nilikua nikifanya yote hayo hoping nitapata the satisfaction and clarity am looking for, ila sijapata.

Najua kua kuna tragedies kubwa sana watu wanazopitia katika haya maisha, ila still that doesnt take away the curiosity of me asking.

What am i missing? kuna mtazamo wa maisha sioni au?
It's not what are you missing? It's what do you want in life? Try to know what do you want in life... Starehe zitakupotezea resources tu, hazitasaidia kufahamu your purpose in life.
 
There is nothing on this earth that will satisfy us completely: no thing, no pleasure, no relationship.

Elon Musk kwa sasa ni Trillionaire ila bado anapambana awe Quadrillionaire.

Nothing will satisfy us completely.
Nakubaliana na wewe,
kuna msemo mmoja upo kwenye series ya Game if thrones ulisemwa na peter baelish " it doesn't matter what we want because once we get it we want something else"
 
There is nothing on this earth that will satisfy us completely: no thing, no pleasure, no relationship.

Elon Musk kwa sasa ni Trillionaire ila bado anapambana awe Quadrillionaire.

Nothing will satisfy us completely.
Satisfaction isn't an object my friend.
 
Sidhani kama hapo kazungumzia satisfication kama object nahisi utakuwa umemuelewa vibaya sababu kataja pleasure na relationship na hizo ni feelings
Alicho fanya kasema we can't find satisfaction kwenye objects like money and things... Ndo Alicho maanisha hapo Sema ameongea indirectly
 
Back
Top Bottom