life inataka uwe as cooperate business.

life inataka uwe as cooperate business.

Joined
Oct 25, 2017
Posts
45
Reaction score
34
life inataka uishi as cooperate , ukijifanya as individual lazima ufeli vibaya sana . mafanikio lazima ujue how cooperate life ikoje . hata ukija katika mahusiano napo rules ni hiyo hiyo. ukienda alipo legend mwenyewe lucifer nako ni hivyo . ukienda kwa mwenye mamlaka ya mwisho nako ni hivyo.ukienda jeshini ni hivyo hivyo. ukija katika science nako ni hivyo hivyo. makampuni yanayolipa house allowance zaidi y $1000 hata kama ni start up ni wana cooperate skills nzuri za fanya hiyo rent ipatikane . owner wa jamii forum ana brand ndio ila ana poor cooperate skills ndoo maana gen z wengi hawatumii jamii forum .naleta hoja taja umri wako na nini shida hupati cooperate support nzuri sana na wataka kufikia target gani. nahitaji watu wanaotumia upwork or related site brand cooperation . number yangu ni 0685350950. iko whatsapp . pls share your profile link
 
Una hoja usikilizwe

Ingawa akasema JF sio kwa ajili yao (sio targeted audience) lakini ukweli mchungu huu

Niliifahamu JF kabla ya Facebook
 
Back
Top Bottom