Jamiiforums ipige life ban machawa wa CCM

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,115
Reaction score
2,804
Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu.
Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo
Mnalilia haki kila siku ila ndo wa kwanza kutaka kupora haki za wengine wenye maoni tofauti na yenu. Sisi tutaendelea kusimama na CCM na nyie endeleeni kusimama na chama chenu. Kutaka tupigwe ban ni upuuzi wa hali ya juu sana katika ulimwengu wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
 
Nilisahau kukuweka kwenye list. Kumbe unajijua kuwa ni mpumbavu. Haya nimekuongeza ujumuike na mazezeta wenzio
 
Kwenye majukwaa ya kisiasa kama hapa Jamiii forum, kuna watu ambao kazi yao kubwa ni kusukuma "narrative" au mtazamo fulani kila siku (iwe ni kuunga mkono serikali au kuikosoa). Wakati mwingine wanafanya hivyo kwa sababu ya itikadi zao, na wakati mwingine ni mikakati ya kisiasa ya kidijitali na wakati mwingine ni ujinga tu.
Kwenye majukwaa kama JF, njia bora ya kukabiliana na hali hiyo bila kujiumiza kichwa ni kutumia zana za kazi kama "Ignore" au "Block" kwa akaunti ambazo unaona hazichangii chochote cha maana kwenye uelewa wako, ili uweze kujiepusha na visokonoko vinavyoshindwa kujenga hoja kwa weledi.
 
Mnalilia haki kila siku ila ndo wa kwanza kutaka kupora haki za wengine wenye maoni tofauti na yenu. Sisi tutaendelea kusimama na CCM na nyie endeleeni kusimama na chama chenu. Kutaka tupigwe ban ni upuuzi wa hali ya juu sana katika ulimwengu wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
kwa alivyo lofa hivyo,
I'm not sure kama anaweza kuelewa kitu cha maana sana ulichoeleza kwa kifupi mno.
 
Kwenye majukwaa ya kisiasa kama hapa Jamiii forum, kuna watu ambao kazi yao kubwa ni kusukuma "narrative" au mtazamo fulani kila siku (iwe ni kuunga mkono serikali au kuikosoa). Wakati mwingine wanafanya hivyo kwa sababu ya itikadi zao, na wakati mwingine ni mikakati ya kisiasa ya kidijitali na wakati mwingine ni ujinga tu.
Kwenye majukwaa kama JF, njia bora ya kukabiliana na hali hiyo bila kujiumiza kichwa ni kutumia zana za kazi kama "Ignore" au "Block" kwa akaunti ambazo unaona hazichangii chochote cha maana kwenye uelewa wako, ili uweze kujiepusha na visokonoko vinavyoshindwa kujenga hoja kwa weledi.
sasa hapo si ni sawa na kuwahifadhi kwenye library yako salama, akilini na moyoni mwako tu?

yaani utakua unatembea nao kwenye kifaa unachotumia kuingia JF maisha yako yote. Huko si kujipa kazi ya kukutesa mwenyewe kisaikolojia gentleman?

kila ukichungulia ignore au block list yako unamuona uliemblock, si ndio atakua anakuchefua zaidi?

kazi nyingine bana ni ngumu mno aise, halafu ni za kujitesa zaidi 🤣
 
Ndugu zangu wanajukwaa,

Ninaelewa kabisa hisia kali na shauku kubwa iliyopo kwenye mijadala ya siasa, ni jambo la kawaida na linaonyesha jinsi tunavyojali mustakabali wa nchi yetu. Ni muhimu sana kuwa na uhuru wa kutoa maoni na kujadiliana.

Hata hivyo, tukumbuke kuwa lengo la mjadala ni kubadilishana mawazo, kujifunza kutoka kwa wengine, na hata kubadilisha mitazamo yetu wenyewe tunapopata hoja zenye mashiko. Tunaweza kuwa na tofauti kubwa za kisiasa lakini bado tukahishimiana kama binadamu na wanajukwaa wenzetu.

Tujitahidi sana kujikita kwenye hoja na mawazo badala ya kushambuliana binafsi au kutumia lugha isiyofaa. Kila mmoja ana haki ya kusimamia anachokiamini, na kukisema kwa heshima. Tufanye Jamiiforums sehemu salama na yenye tija kwa mijadala ya kila aina, hata zile zenye hisia kali.

Tupunguze jazba, tuongeze hoja. Najua tunaweza!
 
Kwa nini unajiita jina la mwanamke wakati wewe umezaliwa mwanaume? Au niulize hivi: kwa nini utamani kuwa mwanamke wakati Mwenyezi Mungu kakuumba mwanaume?
Ninadhani haya maswali ukimuuliza mama yako mzazi utapata majibu mazuri zaidi. Kimsingi mimi ni baba yako halisi. Nilimtia mama yako mimba nilipomkuta anatoka kilabuni miaka kadhaa iliyopita. Tutapima DNA jumatatu ijayo.
 
Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu.
Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo MamaSamia2025
Haya mashetani hayana ubinadamu kabisa. Yanafurahia mauaji ya watanzania. Kwanza inaonekana kama vile hayana hata elimu maana nyuzi yanazoleta ni kichefuchefu kwa dunia iliyostaarabika
Naunga mkono hoja kwa ni wanachochea hasira kwa watu pengine bila hata ya wao kujua
 
Mbona hujibu swali? Umeniambia nikamwulize mama angu, kwa hiyo mama angu anajua sababu inayokufanya utamani kuwa mwanamke?
Wewe kama una nia ya dhati kupata jibu lako nitumie namba yako ya simu PM ili nikutafute tuonane upate majibu yaliyonyooka zaidi. Kinyume na hivyo nitakudharau na kukuona keyboard warrior vilevile shoga kama ulivyojitambulisha.
 
Kwenye majukwaa ya kisiasa kama hapa Jamiii forum, kuna watu ambao kazi yao kubwa ni kusukuma "narrative" au mtazamo fulani kila siku (iwe ni kuunga mkono serikali au kuikosoa). Wakati mwingine wanafanya hivyo kwa sababu ya itikadi zao, na wakati mwingine ni mikakati ya kisiasa ya kidijitali na wakati mwingine ni ujinga tu.
Kwenye majukwaa kama JF, njia bora ya kukabiliana na hali hiyo bila kujiumiza kichwa ni kutumia zana za kazi kama "Ignore" au "Block" kwa akaunti ambazo unaona hazichangii chochote cha maana kwenye uelewa wako, ili uweze kujiepusha na visokonoko vinavyoshindwa kujenga hoja kwa weledi.
Hiki ndicho ninacho kifanya kwa sasa, nikishaona mtu uwezo wake wa kujenga hoja ni hafifu yani badala ya kujenga hoja anani -attack, namu-ignore tu ili niendelee ku-interact na watu wenye akili timamu kwa ajili ya kulinda afya yangu ya akili.
 
Back
Top Bottom