life

  1. idiomer

    JamiiForums Tanzania Dereva akienda safari 150k kwa siku mwalimu 50k ...Dar life is not fair.....tutegemee elimu ipande kweli ???

    Tuheshimu walimu kwa kweli. Haya ni masihara
  2. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Live in a way that your name survives your grave

  3. Mallerina

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa spiritual life sogelea hapa

    Habari zenu Wana jf 🔴Ni Mimi peke yangu naogopa kuaga mwili wa marehemu au ni wengi wetu humu 🔴Leo nimeshangaa chakula cha msiba kimeshindwa kupita kwenye koo(wali nyama cabbage) Kuna baadhi ya mazishi nimehuduria ikiwemo Leo Kuna mambo flani nimegundua yanayotokana na Imani ya watu...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fatal Multi-Vehicle Accident Claims Life, Leaves Several Injured Along Thika Road in Muthaiga

    A tragic road accident occurred on the busy Thika Superhighway near Muthaiga on Tuesday February 2026, leaving one person dead and several others injured following two closely linked crashes. According to eyewitnesses, the first incident involved a boda boda rider who was hit by two vehicles...
  5. Red black

    JamiiForums Tanzania What separates you from financial increase inyour life?

    swali gumu linalohitaji majibu rahisi,
  6. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Boy child, no girl owe you a better life.

    If a woman is supporting you, support her .If she loves you, love her . No man who sits and gets gift or support from a woman will fold his arms and not treat her right . My fight is against people who dump their responsibilities on a struggling young man and make it look normal . Young...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania A woman with beautiful body and face is good for a night but a woman with beautiful mind is good for a life time

    Sasa wewe endelea kuchagua makalio na sura nzuri badala ya akili
  8. Palac

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka siku umeanza kujitafuta ukaona uhame nyumbani uamie kwa ndugu ukiamini itakua vyepesi kutoboa je ilikuaje ulipofika kulisaka life

    Wakuu ni usiku sasa nipo mahali kuna jambo nimekumbuka tu hapa kuhusu mimi ilivyokua kuanza kusaka life nilipoenda kwa ndugu nikiamini itakua vyepesi kutoboa Ilikua nimemaliza diploma tu nipo naplani naishi vp mjini ghafla bi mkubwa akanisihi nirejeshe mpira kwa kina ili tuanze upya nikawa...
  9. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania January in a confused Generation!

    T. It's the same old theme since 1916, They are still fighting, with their #Tanks, #Guns and #Bombs 🐾 The #zombies in your Head! @Mg 💕🫂 #CHEM 🌎 📍MORE blessings to family, friends & X 🙏🏿 Let's complete the game 💰📶🛣️
  10. M

    JamiiForums Tanzania If resources are the price to pay for improving the quality of life and ending the dictatorship, the oppressed will gladly welcome Foreign powers

    As of recent to what happened in Venezuella, People are concerned with Uncle Sam preying on Venezuela's oil but we all know that the alternative to that is NOT better Greedy politicians cry "they are jealous of OUR resources" when they face opposition, but in reality the country's resources are...
  11. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Life struggle confession By falcon q

    We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to fall! Funny right, yes it is then why they helped you to the point, a point that will light Avery...
  12. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Farm life ☺️☺️☺️

  13. heartbeats

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Death line and life line on 29 October ukumbusho wangu ni huu

    Kama Sio Mungu na akili za kusurvive basi nisingekuwapo Nyumba yetu imetawaliwa na matobo ya risasi, kibaraza watu walichokuwa wanaketi watu ilibaki kidgo wamwagwe utumbo. Nilikuwa mlangoni getini majirani walikuwa nje wameketi wala hawakuwa na nia ovu , nageuza shingo naona umbali wa mita 60...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Why Good Things Never Last in Your Life, Here Is What Could Be Happening To You

    Life can feel unfair when good moments never seem to last. You may experience joy, success, or progress, only to see it quickly fade. A business that starts well suddenly struggles, a relationship that feels perfect falls apart, or financial stability slips through your hands. At first, it may...
  15. Foffana

    JamiiForums Tanzania Akaunti za watu watata zilizopigwa life ban

    Hawa jamaa walikuwa wanatema madini sana hata ukipitia michango yao linajidhihirisha hilo greybakuza Uguswelana Mpendakukimbiakimbia Misrecodius vulutus Naby Keita Tanganian
  16. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania I'm not happy with my life

    Sijui ni lini na mimi ntakuwa na furaha maishani, Furaha yangu ilitoweka pasipo kujua baada ya kumpoteza mama yangu miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana. Maisha niliyopitia kutoka kwa ndugu, mama wa kambo pamoja na baba asiyejali yananipa hasira sana, sijui hata nimlaumu nani kuzaliwa...
  17. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Life lessons: Kwa muda uliokuwepo hapa duniani umejifunza nini Katika mapito yako!?

    Iwe mahusiano, uchumi utawala, sayansi na teknolojia nk. Funzo bora katika maisha ni lile linalokupata ukahangaika nalo mwisho wa siku ukavuka "tunajifunza Kutokana na makosa etc." sasa je wewe umepata funzo gani hapa duniani? Tizama hii video na karibu utushirikishe kwa chochote kile
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania 11 things you should consider before choosing a life partner

    11 THINGS YOU SHOULD CONSIDER BEFORE CHOOSING A LIFE PARTNER 1. CHOOSE SOMEONE WHO RESPECTS YOU It is difficult to lead your life with someone who disrespects you, your personality or downplays your ambitions in life. When choosing a life partner be sure to select someone who will respect all...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Life imekuwa bored. Nataka nirudi Bongo. Huku wazungu hawana Time kabisa na mimi

    Najaribu kutafuta mtu wa kugombana naye sipati. Nimezoea humu JF atajitokeza mtu tutatukanana siku au weeks hapo najisikia saaaaafi kabisa. Hawa jamaa kwenye forums zao na maofisini wapo busy. Tunakosa muda wa kujamiiana na kusababishiana matatizo. Mi napend sana ku socialize(kujamiiana) ila...
  20. haszu

    JamiiForums Tanzania Online dating ni kwa ajili ya wenye muonekano mzuri na stylish life.

    Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu. Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga. Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal...
Back
Top Bottom