life

  1. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania It's My Life then I live by My Rules...

    Hahaaaaa the brain is getting hold of the heart.... JE KUNA UMUHIMU WA KUPENDA NA KWANINI UNAPENDA
  2. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Turbo-charge your life for Success

    Karibuni tuendelee na mijadala midogo midogo yenye lengo la kuchangamsha Fikra na kuongeza Upeo.Leo nataka tujadili namna ambavyo mtu anaweza kuongeza performance yake katika maisha ambapo nitatumia neno TURBOCHARGE kama ile hali ambayo mtu anakuwa na tuned for high performance. Kwa wale...
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Your Life is a Conspiracy

    Maisha ni Njama, Maisha yako ni Njama, Life is a Conspiracy. Nikitazama maisha yangu kwa kipindi chote nilichokuwepo hapa duniani nimegundua kwamba Maisha ni Njama, Maisha yangu ni Njama. Labda kwa wale ambao hawaelewi nifafanue kidgo kuhusu dhana ya njama, njama ni mpango au mkakati wa mtu au...
  4. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Katika kitabu chake cha "My life, My Purpose" Marehemu Mzee Mkapa alikiri kuzushiwa kifo akiwa madarakani

    Haya mambo ya kuzushiana ugonjwa na vifo hayajaanza leo, yalikuwepo enzi na enzi. Kuzushiana vifo sio jambo geni katika Ulimwengu huu, kuna mlolongo wa matukio mengi ya watu mashuhuri na watu maarufu waliowahi kuzushiwa kuumwa au vifo. Sababu mojawapo hutokana ama na siasa zenye chuki na uadui...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Lokichar Lamu Crude Oil Pipeline roars back to life after all underlying issues solved

    Kenya's Crude Pipeline Project has roared back to life with new timelines set for the completion of the Ksh121 billion line. Referred to as the Lokichar Lamu Crude Oil Pipeline (LLCOP), the proposed pipeline will stretch 892 kilometres connecting the Lokichar oil fields in northern Kenya to the...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Furaha ni nini? Nitaipataje furaha?

    Habari wanabodi Mimi ndugu yenu naishi maisha ya kawaida tu, ashukuriwe muumba nina kipato cha kuweza kubadili mboga na kadhalika, naamini nimependelewa kuliko wengi wanaonizunguka, sitaki kujikweza lakini si haba (ashukuriwe aliye juu). Naishi maisha ya kawiada (common man life), tatizo...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Jennifer Gates (24) is the eldest daughter of the billionaire philanthropists Bill and Melinda Gates

    Jennifer Gates, 24, is the eldest daughter of the billionaire philanthropists Bill and Melinda Gates She has two younger siblings, Rory and Phoebe. While their father might be famous for founding Microsoft, Entrepreneur reported that the Gates kids had a "cap on screen time" growing up...
  8. mwathadan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania New Multi-Billion Roads Breathing Life into Quiet Kenyan Towns

    Kenya's little-known towns are turning into business hubs with accelerated infrastructure development by the government over the past years. According to the Kenya National Highways Authority (KeNHA), there are 40 ongoing road projects in the country under the agency. All these projects...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Looking for life partner - Wife

    Hi I am Jophy, Christian, 29yrs of age, degree holder and I am at Dodoma doing my staff. I am looking for girlfriend who is not occupied, God fearing woman, Confident very focused and lovely one aged 21-25yrs. I will accept you and wont judge you negatively. Will be happy if you will be from...
  10. L

    JamiiForums Tanzania I'm looking for wife

    I'm Tanzanian, 41yrs of age, christian, black in color, Midiam height, employed. My preference is a girl/ woman of the following characters/look: - Aged 28-32 years -Beautiful with attractive figure - Deep christian -Educated ( at least with a degree/ degree on progress) - With...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kufanya biashara bila mke kujua?

    Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo. Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, Waziri Mwinyi na Vyombo vya usalama vimejipangaje kuepuka Majuto kama Yale ya Mkapa kwenye Confession yake "My life my Purpose"?

    Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani. Rais Magufuli bado ni Amir Jeshi Mkuu mpaka hapo tar 28 siku ya uchaguzi na mpaka kuapishwa kwa Rais mpya tar 30...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Your Children May Never Make Progress In Life If You Don't Tell Them These 4 Things

    The gift of children is unarguably one of the best gift giving to humanity by God. It is the prayer of every married woman on earth for God to bless her with her own children, it is equally a man's prayer to have something he will provide for. Children gives a lot of respect to parents, gives...
  14. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Life has challenges

    You told us you don't have a family. Now, you tell us you have a family
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dating tips that will change your life for good

    LADIES & GENTLEMEN PLEASE DATE TO MARRY NOT JUST FOR FUN. ● Dating with no intention to marry is like going to the shops without money; you either leave unhappy or take something that isn't yours.. ● When you're real and ready for each other, no time is too long and no distance is too far. ● The...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Psychological Fact: Why are those who spend much of their free time (after work) on social media platforms, less talkative in real life environment?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi. Ndugu zangu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania 12 things you must let go if you want a happy life

    Almost every one of us have one common goal in life - to achieve real happiness. The greatest factor holding us back from reaching our dreams is, sadly, ourselves. Stop making life more complicated and just live your life Let's look at what you need TO LET GO of to become a happier person. 1...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Update: Halima Hussein has come back to my life as Fatma Mohamed

    Niliwahi kuandika Uzi kuhusu kisa hiki. In case hukupata bahati ya kusoma uzi huo then let me refresh ur memory. Ni hivi nilifahamiana na Halima Hussein in 1995. I was 10 and she was 9. I was @ Std 4 & she was @ std 3. Nilipo muona Halima Hussein kwa Mara ya kwanza, macho yangu...
  19. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya making a living & make a life ni ipi?

    Nimeshindwa kung'amua vizuri tofauti kati ya making a living Vs make a life Msaada tafadhali...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Is Human Life a mistake? Or are Humans a God's mistake?

    Anyways ,Karne hii ya 21 idadi ya watu wanao jiuliza maswali kuhusu Mungu na maisha ya mwanadamu nje ya vitabu vya dini kama vile Bile,Quoran, na Talmud inaongezeka kila uchwao. Kati Yao wapo na Atheist wapo wale wanao amini kwamba maisha ya mwanadamu is a result of God's mistake na wapo wale...
Back
Top Bottom