Habari wana jukwaaa
#member mpya
Kuna tabia ya mabinti niliotokanao kimapenzi Nyakati za nyuma kidogo hisusani wanafunzi tuliosoma nao.
Takribani miaka 10 nasota chuo kutafuta shahada ya uuguzi chuo flank. Kuna mabinti flani nilitoka nao bahati nzuri walinikimbia kitokana na maisha kuwa magumu...
Hivi kwa nini mara nyingi sana wale waliokuwa hawana uwezo kielimu wanafanikiwa Kimaisha na wale waliokuwa wanaakili mnoo ndio wanakazi za kielimu Lakini can’t make money .
First of All I should make it clear that my knowledge of Mufuriki is no different from my knowledge of any popular Tanzania neither is it different from what most people know about him and possibly I may have little knowledge of Ali than any one reading this tribute.
The Ali I knew and admire...
Je, una malengo?
Kama unayo, basi jaribu kurahisisha maisha yako.
Kivipi?
Jaribu kupunguza mambo ambayo yataathiri hayo malengo yako.
Mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine hayana mchango wowote ule katika malengo uliyojiwekea.
Mambo kadha wa kadha ambayo uwepo wake katika mwenendo wa...
It is one of the most torrid environments on Earth.
What makes the Earth habitable?
It has the right chemical ingredients for life, including water and carbon. But European scientists have recently discovered a place on Earth where no one can live.
Scientists have confirmed the absence of...
Nafahamu ipo siku life expectancy ya binadamu itashuka toka miaka 100 hadi miaka 20. Ni suala la muda tu. Yaani mtu kaishi na kuzeeka sana ni miaka 20.
Nini mawazo yako?
Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie maana hivi vyama vya siasa vinajiuza kwa kunadi sera zao nasi tunanunua sera hizo kupitia mfumo wa ruzuku.
Mimi siyo market researcher lakini nimeona graph moja ikielezea stages katika product life cycle kama R&D, Introduction, Growth, Maturity na Decline...
Kuna haya makundi yalichuana saana kwa sababu aina ya uimbaji wao ulifanana. Waliuteka sana ulimwengu wa muziki hasa wadada ndo walipenda sana nyimbo japo na wanaume na tulikuwepo kuwasindikiza
Kundi gani lilikubamba na kwanini?
NSYNC walitamba na ngoma nyingi ila huu wa THIS I PROMISE YOU...
Bila kujali kiwango cha Elimu yako, mali na pesa zako au idadi ya watu wanaokuzunguka. Kuna nyakati unaweza kuzipitia na kujiona wewe ni mtu wa kufeli zaidi kuliko wote duniani. Sio wewe pekee, bali kila mtu unaemuona, anaweza kupita katika nyakati hizo pia; Na katika uhalisia, asilimia kubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.