life

  1. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

    Habari za siku, hope ya’all good. Ladies nasikia March 8 ilikua ni siku ya wanawake Duniani, hongereni hata sikujua nimesikia tu kwenye radio. Nawapongeza pia kwa kupewa hadhi kubwa hapa duniani kuliko kiumbe yoyote, na aliyewaumba amewapa hadhi ya uungu maana kupitia nyie mungu anakamilisha...
  2. N

    JamiiForums Tanzania CARTOON: Hakika nchi imefika mahali pazuri mno. Katuni mpya ya Gado imemaliza kila kitu. Magufuli for Life

    Kama una nyongeza ongezea mwenyewe.
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania How easy life can become by using simple tools

    Make a machine your slave
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania The life of Lena Tungo Moi

    The Bometts liked Moi, the tall, handsome and well-mannered orphaned boy who would stay with them during school holidays. Moi was to later marry their daughter, Helena Bomett (above centre with handbag), better known as Lena. The two started growing apart as Moi got deeply engrossed in politics...
  5. DaveSave

    JamiiForums Tanzania What are some harsh realities of Life?

    By: Nadishi Ghali It was 1945, in the final hours of the WWII. The Nazis were losing ground, and the fate of Germany had been decided. But if you walked through the streets of Berlin, you wouldn’t see liberations, you’d see some of the most horrific images known to man. Mass suicides. All at...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania election: Life has got worse under Magufuli we need change...

    POLITICSTANZANIATOP STORY Tanzania elections: Life has got worse under Magufuli. We need change. BY ZITTO KABWEJANUARY 8, 2020 SHARE: Opposition leader Zitto Kabwe says the past four years of CCM rule have been disastrous and lays out his vision for a thriving and happy Tanzania. Opposition...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wadada wakiona life gumu ndio wananitafuta

    Habari wana jukwaaa #member mpya Kuna tabia ya mabinti niliotokanao kimapenzi Nyakati za nyuma kidogo hisusani wanafunzi tuliosoma nao. Takribani miaka 10 nasota chuo kutafuta shahada ya uuguzi chuo flank. Kuna mabinti flani nilitoka nao bahati nzuri walinikimbia kitokana na maisha kuwa magumu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Success at school vs success in life

    Hivi kwa nini mara nyingi sana wale waliokuwa hawana uwezo kielimu wanafanikiwa Kimaisha na wale waliokuwa wanaakili mnoo ndio wanakazi za kielimu Lakini can’t make money .
  9. ubongokid

    JamiiForums Tanzania A Tribute to Ali Mufuruki-A Life of Ambition, Patience, Intellect and Patriotism

    First of All I should make it clear that my knowledge of Mufuriki is no different from my knowledge of any popular Tanzania neither is it different from what most people know about him and possibly I may have little knowledge of Ali than any one reading this tribute. The Ali I knew and admire...
  10. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Simplify your life | Rahisisha maisha yako

    Je, una malengo? Kama unayo, basi jaribu kurahisisha maisha yako. Kivipi? Jaribu kupunguza mambo ambayo yataathiri hayo malengo yako. Mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine hayana mchango wowote ule katika malengo uliyojiwekea. Mambo kadha wa kadha ambayo uwepo wake katika mwenendo wa...
  11. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Scientists find a place on earth, where there is no life

    It is one of the most torrid environments on Earth. What makes the Earth habitable? It has the right chemical ingredients for life, including water and carbon. But European scientists have recently discovered a place on Earth where no one can live. Scientists have confirmed the absence of...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ipo siku life span ya binadamu itakuwa miaka 20, 'trend' inaonyesha hivyo

    Nafahamu ipo siku life expectancy ya binadamu itashuka toka miaka 100 hadi miaka 20. Ni suala la muda tu. Yaani mtu kaishi na kuzeeka sana ni miaka 20. Nini mawazo yako?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kutumia dhana ya " product life cycle" kwenye siasa CCM na Chadema ziko katika hatua gani?

    Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie maana hivi vyama vya siasa vinajiuza kwa kunadi sera zao nasi tunanunua sera hizo kupitia mfumo wa ruzuku. Mimi siyo market researcher lakini nimeona graph moja ikielezea stages katika product life cycle kama R&D, Introduction, Growth, Maturity na Decline...
  14. Alvin A.

    JamiiForums Tanzania Westlife, NSYNC na Backstreet Boys

    Kuna haya makundi yalichuana saana kwa sababu aina ya uimbaji wao ulifanana. Waliuteka sana ulimwengu wa muziki hasa wadada ndo walipenda sana nyimbo japo na wanaume na tulikuwepo kuwasindikiza Kundi gani lilikubamba na kwanini? NSYNC walitamba na ngoma nyingi ila huu wa THIS I PROMISE YOU...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wewe sio mtu wa kufeli siku zote, ni kipindi cha kupita tu

    Bila kujali kiwango cha Elimu yako, mali na pesa zako au idadi ya watu wanaokuzunguka. Kuna nyakati unaweza kuzipitia na kujiona wewe ni mtu wa kufeli zaidi kuliko wote duniani. Sio wewe pekee, bali kila mtu unaemuona, anaweza kupita katika nyakati hizo pia; Na katika uhalisia, asilimia kubwa ya...
Back
Top Bottom