Tofauti kati ya making a living & make a life ni ipi?

Tofauti kati ya making a living & make a life ni ipi?

Malaika Gabrieli

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2020
Posts
3,556
Reaction score
6,689
Nimeshindwa kung'amua vizuri tofauti kati ya making a living Vs make a life

Msaada tafadhali...
 
Makes one's living ni hasa kuhusu jinsi unavyopata ruzuku yako; make your living as a farmer, au repairing cars, robbing banks (or running a bank)....

make a life . . . - hii inategemea ni nini inayofuata: I can make a life easy or difficult (my own, yours, for xyz...)

Iko pia: "that makes my life", ukifurahia sana jambo fulani. kama kusema "That made my day!"
 
Back
Top Bottom