Tufikirie nje ya box nipe nikupe ni kamchezo kazuri sana, huyo sponsor wa COP28 ana mambo yake nyeti kwenye nchi mbalimbali hivyo idadi kubwa ya uwakilishi kutoka kwenye baadhi ya Nchi ni kielelezo Cha umuhimu wa nchi hizo katika rasilimali pendwa.
Unapoliwa pakubwa na ushiriki wako wa...
Habar za muda huu ndugu zangu,
Kwa tulipofikia sasa, usijaribu kumuomba namba mwanamke kwa lengo la utani au kujaribu kutest zali, na ukijaribu kufanya hivyo bas ujue atakuganda hadi ujute kwanini ulichukua namba yake.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (SMZ) Mhe. Tabia Maulid Mwita amesema ukarabati unaoendelea kufanyika katika uwanja wa amani una lengo la kuimarisha na kuufanya kuwa wa kisasa na wenye kukidhi viwango vya kimataifa.
Ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa...
Salam wa nyuki wa mama na team kupinga ubadhirifu, unyanyasaji na mikataba yenye kuleta hasara kwa nchi.
Akina Slaa na Mwabukusi safari hii wamecheza kama pele, wametumia mtandao vizuri kucheza na akili za viongozi wa serikali na wamefanikiwa kwenye hilo. Sasa mapambano yanafanywa 'kisayansi'...
Kwema Wakuu!
Kwa jinsi mambo yalivyo ninawasiwasi mkubwa kuwa Hamas sio vile wengi tujuavyo. Wengi tunajua Hamas ni kundi la kiharakati la kupigania haki za Wapalestina ikiwemo haki za kukataa Ukoloni wa Wayahudi katika Ardhi yao. Kwa nje inaonekana hivyo lakini ukichunguza ndani unaona kitu...
Mwaka 2013, rais wa China, Xi Jinping, alitoa Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI), ambalo miaka 10 baadaye, limesifiwa sana na jamii ya kimataifa kama ‘mradi wa karne’.
Likiwa na mtandao mkubwa wa usafiri, nishati, na mawasiliano, unaolenga kuunganisha biashara za baharini na nchi...
Wakati pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” (BRI) la China linatimiza miaka 10 tangu kutolewa, kuna mafanikio mengi yameonekana katika kuhimiza urafiki na ushirikiano kati ya China na nchi zinazoshiriki kwenye pendekezo hilo, na hasa kuleta maendeleo kwa nchi zilizopokea miradi chini ya...
Ni utamduni uliozoeleka na bila shaka ni wa kimagharibi zaidi ingawa uko dunia nzima.
Swali ni je, kwanini uonyeshe kuwa umeoa au umeolewa?
Kuna mahala watu hatambulika kwa ndoa?
Kama ni kulinda ndoa, ndio iwe kwa kuvaa pete?
Je, hii si mbinu ya kulazimisha watu kuheshimu ndoa?
Mfungwa...
Jiepushe kupambana na CHADEMA na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na CHADEMA na wengine katika mapambano.
Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo...
This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo...
Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara.
Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa...
Habari wakuu
Haka ni kastori kafupi namimi niwaambie leo.
Nilipokuwa Nina miaka tisa siku moja jioni wakati naenda ziwani kuchota maji jioni nilikutana na mama mweupe kidogo wa makamo Kama 23 yrs hivi amesimama kandoa ya njia niliyokuwa napita ambapo kulikuwa na kichaka pembeni yake...
Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.
Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai.
Nakala : Maulid Kitenge
Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu.
Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo...
Kwa kawaida charity show yeyote ni kukusanya hela kwa ajili ya kutoa msaada either wasiojiweza, watoto yatima, elimu au matumizi yeyote ya bure kwa jamii flani.
Hivi TFF wanatimiza hili lengo? Au ndio mgeni njoo mwenyeji apone?
Twendeni taratibu lakini.
Kwa sababu kwa asili ilikuwa MSHINDI WA KWANZA WA LIGI NA WA PILI WATACHEZA NGAO YA HISANI...ilikuwa SIMBA NA YANGA zicheze NGAO YA JAMII.
Sasa kulikuwa na haja gani ya mashindano...na huku mmeshapanga fulani ashinde...
Hili suala la kuweka gender balance kwenye baadhi ya mambo ambayo...
Katika siku za karibuni Marekani imekuwa ikiendelea na juhudi zake za kukabiliana na kile inachoita ushawishi wa China barani Afrika, na kutafuta kila njia inayoona kuwa inaweza kusaidia kufanikisha lengo hilo. Hivi karibuni moja kati ya mambo ambayo Marekani imekuwa ikiyataja na kuhimiza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.