••Kwenye uwazi na ukweli ndipo tunapokosea,
••Mambo ya siri,mikataba ya siri ndilo tatizo kubwa.
••Wakati taifa letu likielekea kwenye uchumi mkubwa the way ndipo tunapojiongezea maadau wengi zaidi wa kiuchumi,maadui hawa wengi ni miongoni mwetu sisi wenyewe kwa kutumika na walio nje wenye...
Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa.
Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba...
Video ya Pasta Ng’ang’a akiwa mbele ya waumini imezua mjadala mitandaoni baada ya kuonekana akiwaomba kila mshiriki kuchangia KSh1,000 kwa ajili ya kugharamia tiketi yake ya ndege.
Katika video hiyo, pasta anaonekana akizungumza na waumini kanisani huku akisisitiza umuhimu wa kila mmoja kutoa...
Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane.
Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani...
Mzee Nchimbi, sio lazima utafute Mawazo kwa Wazeee katika suala dogo kama hili..
Kimàhesabh, Ukijiuzulu wewe mwenyewe kama Alivyofanya Lowassa, Utaonekana wewe ndio Snitch, Mkorofi, uliyekua unamfitinisha Samia , na Genge la Samia wanaweza kutengeneza Picha ya Wananchi kuamin kua "Wewe ni mmoja...
Wakuu natoka msibani kwa mjomba wangu muda huu
Mjomba alikua mfanyabiashara alikua na upepo wa biashara ogopa,
Alikua akija kununua mzigo hadi yeye amalize ndo wengine wenye mitaji midogo midogo mtafafa
Alikua kwenye biashara kwa miaka zaidi ya kumi
Mala gafla kaanza kuumwa,peleka vipimo...
Kamishna wa IEBC Ann Nderitu amesema kuwa kwa sasa hakuna sharti la jumla linalomtaka aspirant kuwa na degree ili kuwania nafasi hizo katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Ufafanuzi huo unatokana na maamuzi ya mahakama yaliyobatilisha baadhi ya vifungu vya Section 22 of the Elections Act vilivyoweka...
Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .
Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo...
Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥
Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali.
Hakuna mchezaji wa...
BINTI; SIO LAZIMA MAMA MKWE AKUPENDE.
anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wakati nampeleka Mchumba wangu nyumbani kwa mara ya kwanza. Tukiwa Dodoma nilimwona akiwa katika hali ya hofu na wasiwasi.
Alikuwa ni binti mdogo, ndio kwanza chuo mwaka wa pili, hukuwahi kupelekwa ukweni.
Nimdodosa...
Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha.
Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya...
Nimeona mwalimu kafungwa maisha Kwa kosa la kuchapa mwanafunzi, huwezi kumsikia mkurugenzi, afsa elimu au mtu yoyote anaehusiana na mwalimu kufika mahabusu kumsalimia au kumtia moyo ukizingatia hiyo mwalimu alikuwa anafanya kazi ya mkurugenzi.
Siku zote nawashauri walimu nenda shule kazuge...
Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..
Ndugu zangu Watanzania,
Nenda Sehemu yoyote ile Ya Dunia hii,Nenda kila pembe ya Dunia, nenda Ulaya ,nenda Marekani,nenda Afrika ,nenda kwenye Tawala za kifalme au Kichifu Hakuna ambako utakuta Dola ikichezewa na mtu Akachekewa tu na kuachwa aendelee kuyumbisha Dola na Usalama wa Taifa.
Hata...
Huu ndiyo ukweli uliopo
Chawa mpoo!!
2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama!
TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
Nimeguswa sana na kifo cha kikatilli cha mwalimu huyu ambaye alipigania "standards" kuhakikisha kuwa eneo la shule ni eneo kama yalivyo maeneo mengine yanayotambulika kama "smart area"
Mwalimu huyu amedhulumiwa uhai wake na wanaojidai kuwa ni wafugaji wenye fedha na wasioguswa au kuheshimu...
Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.