lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukiunganisha uongozi wa Uganda wanacho kifanya ndio Tanzania wanacho kifanya

    Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala. Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
  2. X

    JamiiForums Tanzania Perfect father, lazima upambanie bao lako

    https://x.com/georgenjoroge_/status/2068291631980167265?t=EOl7LW_2sWQRw-8Wr9m2Kw&s=19
  3. M

    JamiiForums Tanzania Evening Classes Za Postgraduate Studies UDSM Ni Lazima Kufika Darasani Kila Siku Ya Vipindi?

    Habari wanajamii Nilitamani kufahamu kama Zile postgraduate programs ambazo sio blended ama online classess pale udsm ni lazima kuattend vipindi physically au kuna nafasi ya kuhudhulia kwenye platforms kama zoom na e-learning platforms zingine (Moodle) Je kwa mtu ambae anasafiri kila wakati hii...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Atakaye Jaribu Kuandamana Atajuta na Kuilaani Siku Aliyozaliwa. Amani Na Usalama Wa Taifa ni Lazima Vilindwe kwa Jasho na Damu ili Visitoweke

    Ndugu zangu Watanzania, Duniani Kote na Mataifa yote yanayojitambua hulinda Amani Na Usalama kwa nguvu zote na kwa kila njia . Mataifa yote kuanzia yale Makubwa hadi Madogo hulinda Amani na Usalama kwa jasho na Damu. Tangu enzi na Enzi tokea kuumbwa kwa Ulimwengu Huu Usalama wa Himaya ama...
  5. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujitafutia kipato kwa njia ya heshima na halali ni wajibu wa lazima kama mtu mzima

    Siku za nyuma kuna member aliandika kuhusu mabinti wa chuo kikuu ambao wanafanya kazi kwenye mgahawa wa kuuza chakula wakiwa bado wanasoma. Members wengi waliwapongeza lakini ukiangalia cha ajabu haukioni. Kwanza kabisa mabinti wanakosa vipindi. Utaratibu wa wanafunzi kufanya kazi upo hata nchi...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kumbe mimi na wewe hatupo?

    Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo? Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kumkana tamko lake la "Yuda", Simai lazima avuliwe uanachama

    Mambo yanaenda kasi sana. Waswahili wanasema mdomo ulikiponza kichwa. Madsi ya mwanasiasa asiyejulikana na wengi kutoka Zanxibar sitwaye Simai Mohammed, umeleta mtafaruku wa kisiasa ndani ya CCM, na hata Bungeni. Madai yake mazito ati kuna Yuda msaliti ndani ya serikali, si tu yamekosea...
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Kila Rais wa Marekani: Lazima aondoke na kichwa kimoja

    KILA RAIS WA MAREKANI LAZIMA AONDOKE NA KICHWA KIMOJA Unapokuwa rais wa nchi yoyote ile ni kwamba unafuata kile ambacho watu fulani wanataka ukifuate, unaweza kuja na mipango yako na isifanye kazi. Unawekewa mkakati kwamba tunakuweka wewe ila tunataka ufanye hili na lile, unatakiwa kufuata...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kagame alishangaa unawezaje kuua watu ambao kimsingi unapaswa kuwalinda ili kupata madaraka?

    Museveni aliyempa maharamia ya kuja kuua watoto wa Tanganyika yeye alimaliza Uchaguzi uliokuwa na mikiki mikiki yote lakini hakuua hata mbu. Kagame alishangaa unawezaje kuua watu ambao kimsingi unapaswa kuwalinda ili kupata madaraka? Na ndiyo sababu yeye na vijana wadogo wa Rwanda nyakati hizo...
  11. DR VRM

    JamiiForums Tanzania Elimu rasmi sio kigezo pekee au cha mtu kuwa tajiri kihalali, lakini ni nyenzo thabiti sana inayoweza kurahisisha kukuza utajiri

    Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi Kujenga akili ya kifedha...
  12. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama sio lazima usimfanyie hiki kitu Mke wako

    Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000 Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu Ili...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Je Wanaorudi CHADEMA Kutokea CCM , waliwahi kuhusika kwenye Kuteka? kuua? Kufungia CHADEMA ? Kumfunga Lissu??. Wan CHADEMA ni lazima tutumie Akili !!

    Adui yetu ni Genge la Samia , Genge la MAFWELE, Genge la Msoga. Adui yetu ni Mtanzania yoyote ambaye ama kwa Nafasi yake ametumika Kushabikia, Kutekeleza au kufunika Matukio ya Utekaji, Uuaji, Kumfunga Lissu Jelaz Kufungia CHADEMA, Wanaozuia KATIBA Mpya, Wanaosababisha Maisha magumu kwa...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Morogoro Road kuna foleni leo hatari. Kama sio lazima usipite!

    Kuanzia Kibo kuelekea Mbezi foleni mbaya kwasababu ya ujenzi wa barabara. Matrafiki wamekimbia, barabara vurugu.
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Kwa nyomi hii, hata mimi lazima nitishie kukifuta ili bosi aone nafanya kazi

    KATORO next break KAHAMA then KANDA MAALUMU. Lazima waombe poo.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

    Kwema binaadamu wenzangu mliomo humu? Jamani kuna huyu mwanamke naweza sema ni mchumba wangu tuna kama miaka miwili toka tumefahamiana. Tumepitia stages tofauti tofauti, kugombana, kupotezeana, kuumizana, kuenjoy na kununiana kama ilivo kawaida mambo ya mahusiano. Huyu mwanamke ni aina ya...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Leo ni Jerusalem day!!

    Yerusalemu ni zaidi ya mji. Ni moyo wa Wayahudi, mahali ambapo historia, imani, na utambulisho hukusanyika pamoja katika vizazi vyote. Leo tunaadhimisha Siku ya Yerusalemu na miaka 59 tangu kuunganishwa tena kwa mji mkuu wa milele wa Israeli. Kuanzia mawe ya kale ya Jiji la Kale hadi sauti...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wakisikia tu tunataka kujikomboa lazima hawa jamaa wachungulie kinachofanyika.

  19. U

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tanzania ili kufikia Uchumi wa USD Trillion Moja lazima tufikie uwekeezaji wa USD Trillion 3.7 hili haliwezekani kwa Kodi na Mikopo

    === Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema kuwa wakati wa kupitisha sheria za ubia, Tanzania iliruhusu kutatua migogoro kwa mamlaka za ndani. Hata hivyo, pale ambapo suluhu haikupatikana, ama kwa upande wa mwekezaji au taasisi ya umma, kulihitajika haki ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kama mzee Joseph Sinde Warioba anafanyiwa ushenzi huu wa vitisho, Je sisi kwangu kukavu weka mchuzi lazima tufe sana as it is today!

    Ndiyo maana tunasema utekaji, mauaji yote yanafanywa na mamlaka za juu. Kama Warioba anaweza kuwa intimidated kwa kutoa ushauri mwema, je wengine wadogo! si ndiyo maana mauaji ni mengi na vifo vya 29 October, 2025 vitakuwa in terms of millions! All in all washauri wa mama ndio wanamshauri vibaya
Back
Top Bottom