Pata pesa tujue tabia yako

Pata pesa tujue tabia yako

1000002934.jpg
 
hii statement ina ukweli ndani yake mtu akipata pesa kunatabia ambazo zilikuwa zimejificha ataanza kuzionyesha waziwazi

kuna tabia zako huzijui ngoja upate pesa zitajionyesha dhahiri,,
Siyo pesa tu hata akipata uongozi..
Hivyo msemo uboreshwe uwe pata pesa au uongozi tukujue tabia yako ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom