lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Slobodan Mirosovich

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Raha, Utukufu, kuogopwa na kunyenyekewa hadi Mbuzi wa Kafara

    Ndugu zangu kamwene, Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu kuwajibika maana kuna uwajibikaji hauna impact hivyo anatafutwa mtu mmoja mwenye uzito wa kubeba...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta

    Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta. Kama kina waharifu na wananchi wamekikataa hakitaweza kusalia kwa muda mrefu kitafutwa sio kwamba mimi nimesema bali kitafutwa kwasababu ya rushwa, uongo, mauwaji na utekaji nyara ili kusafisha nchi upya.
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo. Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni watanzania au samia ? yani mtu mmoja sharti aondoke misaada ifunguliwe na sio kuuza rasilimali zetu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA. Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
  5. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Ili utunishiane misuli na marekani lazima uwe nawewe unatengeneza silaha

    Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua. Lakini kama una technology ya kutengeneza silaha kwakwel Marekani atabaki kukuwekea vikwazo tu na sikutaka kukuvamia kama...
  6. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Sio lazima umalinze ulicho kianza

    My people, Sio Lazima Umalize Kila Ulichokianza: Ruhusa ya Kuacha na Kusonga Mbele Katika maisha, tumefundishwa mara nyingi kwamba “mtu makini humaliza kila anachokianza.” Kauli hii ina ladha ya nidhamu na uwajibikaji. Lakini ukweli una rangi zaidi ya moja . Sio kila kitu kinastahili...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wetu, Si Lazima Bajeti Ya Nchi Iongezeke Kila Mwaka

    Miaka mingi sasa kumekuwa na trend kuwa budget bora ya nchi ni ile ambayo inazidi ya mwaka uliopita. Spending inaongezeka na badala ya makusanyo ya ndani yalioongezeka kutumika kuweka budget isiyotegemea misaada, tunafikiria kuongeza matumizi. 2023/24: TZS 44.4 trillion 2024/25: TZS 49.36...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Leo mtoto akitaka Pera lazima akalinunue sokoni sisi tulikuwa tunapita tu uko msituni na tunakula

    Rais Samia amesema kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha anapanda mti kwa lengo la kurudisha uoto wa asili na kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ili kuweza kuacha urithi kwa vizazi vijavyo. Akizungumza wakati wa zoezi la upandaji miti katika siku yake ya kuzaliwa leo Januari 27...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao

    Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao. Hatutawaacha wala kukubali upumbavu wowote kwa naman yoyote ile.
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia stori za dini zote hapa dunia zilifikishwa kwa watu kwa hiari ila kuna hio moja ilibidi watu wafanyiwe fujo ndio wengine wapokee kwa lazima

    Tena kwa mauaji na unyang'anyi. Nisengependa kuwataja ila mnawajua na watakuja kwenye comment kutisha watu maana wanajijua🤐
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda CDF Muhoozi: Kuanzia sasa, yeyote atakayemtangaza Bobi Wine kuwa kiongozi wake wa kisiasa lazima 'afutwe'

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema Kiongozi wa Chama cha National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu Bobi Wine ameanzisha vita na taifa lake hivyo kwa namna yoyote ni lazima wamkamate. Kupitia mtandao wa X Muhoozi amechapisha akisema kuwa...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kila mwezi lazima mbunge mmoja afariki baada ya uchaguzi wa Oktoba 29,2025, hii ni ishara mbaya kiroho

    Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Hata ipite miaka 10 lazima wahusika wawajibike

    Wameanza kujidanganya na wanamdanganya kuwa hili litapita kama mengine yalivyopita, wana buy time ili jamii isahau, wanasema tugange yajayo. Nawaambia kuwa wasipowajibika wao tutahakikisha watoto wao au wajukuu zao wanaowarithisha uongozi wanawajibika. Matendo yao yako documented, tutatunza...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Haki lazima itendeke bila uchoyo na upendeleo

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Polisi kumshikilia Mwandambo bila kumpeleka mahakamani, kumpa dhamana wala kujulikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki

    Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki. Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ? Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Siri zimevuja kuna wimbi la account fake mpya za wanafunzi wa chuo mitaondoni lazima tujiulize hivi kweli tumefika hapa sisi ?

    :
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kujificha kwenye kofia ya "HII NI NCHI HURU HATUWEZI KUINGILIWA "halafu unaua wananchi wako kama mbwa! Lazima utolewe kwa nguvu tu hakuna namna

    Linaiva jikoni linasubiri kupakuliwa tuu! Hakuna uhuru wa kuua raia wako namna ile tena raia asiye hata na panga halafu usimame kujifanya oooh! Hii ni nchi huru wasitupangie nyokoooo , utatolewa kwa aibu uhuru wa nchi na nchi kuwa huru sio kofia au tiketi ya kuua raia wako hovyo hovyo hata kama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania John Locke: Serikali yoyote duniani inayokiuka haki za binadamu lazima ipinduliwe

    Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza . Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani inatakiwa kulinda haki za msingi za raia wake; Haki za kuishi, uhuru wa kutoa maoni n.k Huu ndio msingi...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kigezo kikubwa kuwa Mwana CCM mzuri ni kwanza lazima ukubali kuliwa

    Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
Back
Top Bottom