lawama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mkija kwenye miji yetu msitutafute lawama tafadhali

    Kasumba ya kwamba wewe ukija niliko basi muda wote nitakuwa na wewe ondoa kabisa akilini. Huo ni upuuzi. Mtu analalamika kuwa kaja town kakaa 2 weeks eti tumeonana mara 3 tu. Sasa uliambiwa kuwa mimi ni tour guide? Mtu akitoka bush akaja town anataka akatembelee maeneo yote aliyowahi yasikia na...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

    Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

    Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine. Eeeehh mara hivi mara vile. Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani. Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana. Ni biashara ya upande mmoja.
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wahindi waliharibu kizazi cha 90-2000, ila kuanzia kizazi cha sasa lawama tuwatupie serikali au wasanii kwa ujumla wao

    TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa 'lakini tumejitahidi' usianze Kuimbwa kwa Taifa Stars baada ya Kuaga Mashindano bali lawama ziende kwa Wachezaji kwa Kutopambana hasa

    Na tayari nimeshaanza Kuusikia huu Wimbo ukianza Kuimbwa na Watangazaji kadhaa wa Redio Asubuhi hii na najua kwa sasa baada ya Bahasha za Pesa za Makusanyo za Saidia Taifa Stars kupenyezwa kwa Wahariri, Watangazaji na Wachambuzi na ili Kujikomba kwa Mheshimiwa Rais huu Wimbo utaimbwa kila mara...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Sakata la Katiba: Mzanzibar amtupia lawama Rais Samia

    Mzanzibar akionekana kumlaumu Rais Samia kutokuwajali watu wa Zanzibar kwa kutokuwaruhusu kujitawala. Katika maongezi yake Mzee huyo amerejelea katika na kumueleza kuwa Rais Samia hazingatii wanufaika wa kwanza wa katiba hiyo ambao ni Wazanzibar. Nini maoni yako kuhusu hoja za mzee huyu...
  7. ward41

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanatuibia nini?

    Kila siku najiuliza kwanini tunapenda kuwalaumu western countries hasa USA wakati wezi ni wa Hindi, waChina, Wa Arab. Nchi za ki Africa zimejaa wa Hindi, waChina na wa Arab. Huwezi kuona sana Wazungu wakiwekeza Africa. Wazungu wamewekeza Asia, Latin America lakini Sisi kila siku tunasema...
  8. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Lawama zote za umeme ziwaendee Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu

    Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo. Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu. Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?

    Kulikoni? Au ni yale ya mkuki kwa nguruwe? Izingatiwe: 1. Binadamu wote ni sawa. 2. Suala la dini ni binafsi na la hiari. 3. Dini Kwa wenye nazo, kila mtu ana yake japo na wasiokuwa nazo pia wapo. 4. Unaongelewa je mgogoro kidini wakati kila mtu ana yake na imani disjoint, yaani zisizokutana...
  10. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ugumu wa maisha, kila mtu anatafuta kibonde wake wa kumuangushia zigo la lawama

    Vijana wanawalalamikia wazazi! Wazazi wanawalalamikia watoto! Wananchi dhidi ya serikali na viongozi! Mbaya zaidi wadangaji kulalamika hakuna wanaume wa kuoa siku hizi! Waafrika kulalamikia wazungu waliowaletea dini! Hayo yooote tisa, mbaya ni wale wanaoingia kwenye mahusiano wakidhani kuna...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, watu wa Hanang wanahitaji misaada sio lawama zenu

    Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli. Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko. Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda. Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
  13. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji na mashabiki wa Simba wanastahili lawama

    Kitendo cha Mo kusema ametumia bilioni 3 kuleta kipa bomu, ni utapeli wa waziwazi, matokeo yake kipa hapangwi, anachezeshwa mgonjwa! Utashangaa hakuna shabiki anaeuliza hili kisa ni Mo! Watasingizia lawama hata kwa Mwenyekiti Mswahili mradi Mhindi huyu asiguswe! Halafu wale mashabiki...
  14. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Suala la miradi kusuasua, wote tubebe lawama maana tulipaswa kubeba jukumu kwanza

    Miradi mikubwa kwa midogo inaposuasua utasikia; Kiongozi ametupa lawama kwa mkandarasi/mzabuni Mwananchi anamlaumu kiongozi Mkandarasi anamlaumu serikali Yaani ni vurugu tu kila mmoja anarusha lawama kwa kutokamilika kwa mradi. Japo lawama kwenda kwa mkandarasi/mzabuni ndiyo huwa kubwa zaidi...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

    Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa kishindo kwenye Hospitali ya Al-Mamamani na kusababisha mlipuko, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Starlink yatupiwa lawama Zambia. Nape aliona mbali

    Nadhani ni wakati sahihi kwa watanzania wote waliowahi kumlaumu Nape kuhusu kampuni ya Starlink kumuomba msamaha na kuungama makosa yao. Hawakufanya vyema. Pamoja na mapungufu yake ni kuwa Mheshimiwa Nape aliona mbali katika hili. Ndani ya muda mfupi sana wananchi wa Zambia wameshaanza...
  17. Brightly

    JamiiForums Tanzania Kufungwa leo kwa Yanga kocha anastahilii kupewa lawama zote

    Haina haja ya salamu,Yanga Leo kufungwa ni uzembe wa kocha mkuu wa yanga,. Kufanya rotation ya kikosii ni jambo nzurii kwenye football ila kwa akilii ya kawaidaa ukizingatia ushindanii uliopo kwenye ligi msimu huu unaendaa kucheza na timu kama Ihefu ambayo...
  18. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta?

    Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
  19. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Pira Burudani Vs Pira Lawama

    Wakati mbususu za Kigali zikichakatwa usiku huu, huko Ndola ni usiku wa lawama. Kipa la CAF limegoma kuingia kwenye mfumo.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Nishati ya Mafuta Nchini: Makamba kakwepushwa na lawama makusudi

    Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
Back
Top Bottom