lawama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Mbona nchi nyingine za Afrika haziruhusu mimba shuleni, na hakuna lawama za mataifa ya nje?

    Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha) Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito. Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba Sc, Lawama hazitawasaidia, Mamilioni ya fedha anazotoa Azam kila mwezi kwa kila timu zimefanya ligi iwe na ushindani kuliko miaka iliyopita

    Kila timu inapokea si chini ya Milioni 40 kila mwezi kwajili ya kujiendesha, Hivi kwa akili ya kawaida tu unategemea ubora wa hizi timu uwe vilevile kama miaka ya nyuma?? 🚨 Simba SC lawama haziwasaidii, wekezeni uwanjani zaidi kuliko nje ya uwanja !! - Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CCM inahusika na deni la Trilioni 70+ au lawama zinabaki kwa Marais tu?

    Watu wanaojadili deni la Taifa hasa baada ya JPM kufariki wanamtupia lawama yeye kwamba alikopa Zaid ya Trilioni 29 kwa miaka mitano tu akiwa ndiye Rais aliyekaa madarakani Muda mfupi Tanzania lakini akiongoza Kwa ukopaji kuliko Marais wore waliokaa miaka kumi na Mwalimu zaidi miaka kumi. Wana...
  4. Mbomozo

    JamiiForums Tanzania Urafiki na Ushemeji wa hivi Mimi siwezi na nimeujivua SITAKI LAWAMA

    Salaam ndg zangu rehma za mwenyezi mungu ziwe nanyi... Kufupisha maneno mwaka 2017 kuna rafiki wa mke wangu automatically ni shemeji yangu tulikuwa tunapanga nyumba moja nitamuita XY. Sasa familia yake especially mumewe alikosa kazi halikuwa yy mjamzito, akaja home analia kuhusu Huduma zake za...
  5. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Makamba, unatumia muda mwingi kujibrand kuliko kupambana na mgao umeme

    Abuu Kauthar Huku ninapoishi, Mburahati Barafu, katika wiki moja, umeme ulikatika siku sita kwa saa kuanzia sita hadi 14. Katika baadhi ya siku, umeme ulikatika mara kadhaa. Kukatika huko kwa umeme sio tu ni kero kubwa, lakini pia kumeongeza umaskini wa wananchi wanaotegemea nishati hiyo...
  6. Etwege

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

    Mbunge wa zamani wa Arusha mjini aliyetimkia Ulaya baada ya maisha kumpiga kwa kuzidiwa na madeni Godbless Lema amefichua mbinu chafu za kutaka kumsingizia kila kitu na kumtafutia lawama aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli. Lema amefunguka zaidi kwa kusema Rais Samia na waziri wake...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao 1. William Lukuvi Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

    By Zitto kupitia twitter: Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi? Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

    Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji. Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku. Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo, Geofrey Mwambe; pokeeni lawama hizi kisha mjipime

    PROF. MKUMBO, MWAMBE, POKEENI LAWAMA HIZI KISHA MJIPIME Na Bollen Ngetti SIJUI kama kuna ukweli katika usemi huu. Kwamba "kenge hasikii hadi umtoe damu au aone kwa macho". Eti hata kama anaona na kukutazama usoni lakini ni kiziwi asiyesikia hata jambo la hatari. Naam. Vivyo hivyo katika...
  11. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya za wanasiasa lawama kwa polisi.

    Hivi sasa polisi wanalaumiwa Kila sehemu, Hivi sasa polisi wanadharaulika kika sehemu, Wanaonekana kwamba kumbe hata wao huwa hawafuati Sheria kwenye ukamataji,lakini wao humtaka raia atii Sheria Bila shuruti. Imebainika kwamba hawafuati PGO kwenye ukamataji. Imebadilika kwamba kumbe hawana...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usije ukalaumu kuwa hukujua

    Rais Samia, anatakiwa kutambua kuwa nje ya Serikali (TISS), kuna supper intelligence ambayo TISS haipo. Huku nje ya Serikali, kuna wataalam wa uchumi ambao kwenye Wizara ya mipango na uchumi, hawapo. Huko nje ya Jeshi la Polisi, kuna watu wanajua nadharia ya usalama ambayo ndani ya Jeshi la...
  13. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanalaumiwa Polisi na siyo Hamza?

    Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida...
  14. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Nani wa kulaumiwa Madudu haya ya TAZARA?

    Wakuu hivi tangia Mh Magufuli afondoke hivi kuna shirika limekua la ovyo kuzidi hili TAZARA. Just imagine tupo stesheni toka saa 9 mchana lakin tren kuondoka saa 5 usiku. Mama Samia pamulike kwa jicho la tatu Sana hapa. Wafanyabiashara tunaotegemea huu usafiri unatutesa sana.
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Naitupia lawama Simba kwa kumliza Messi hadharani

    NAITUPIA LAWAMA SIMBA "WEKUNDU WA MSIMBAZI" KWA KUMLIZA MESSI HADHARANI. Baadhi ya vyombo vya habari vya Hispania na Argentina vimedai kama Leonel Messi wa PSG angekubaliwa kujiunga na Simba SC "wekundu wa Msimbazi" hakika kile kilio chake tusingekiona. Lile chozi ni baada ya kukosa nafasi ya...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, tuache kulaumu wanaume

    Mwanamke anataka jamii imtambue kama mtu dhaifu anaehitaji kulishwa, kutunzwa na kutunduliwa na mwanaume, anaona ni sawa lazima atolewe mahari na kuhurumiwa sana na kupewa upendeleo na wanaume. Mwenyezimungu amewaumba viumbe wake wote sawa bila upendeleo wowote ila tofauti unazoziona baina ya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19: Watanzania hatujawahi kuchomwa chanjo kwa kujaza fomu kuiepusha Serikali na lawama za madhara

    Leo katika uzinduzi wa chanjo. Waziri wa Afya kaongea mambo mengi ili kuhalalisha mchakato huo. Ameenda mbali na kushawishi watu kuwa kujaza fomu ya kuridhia kuchanjwa ambayo inasema ukipata madhara serikali haitawajibika ni jambo la kawaida kitabibu na hata ukifanyiwa operation basi wewe au...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia hawezi kukwepa lawama kuhusu kukamatwa kwa Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe. "Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
  19. Dejane

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

    Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda. Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
  20. 2019

    JamiiForums Tanzania Video: Kinachoendelea Ujerumani watanzania tupunguze lawama kwa serikali

    Hapa nimejifunza kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe,uwe makini kwenye miundombinu au uwe mzembe lazima likukute tu. Nchi makini kimpango na kimiundombinu inapigwa na mafuriko je sisi ni kina nani? Hayo mafuriko yangetokea Tanzania saivi mitandao ishajaa lawama kwa serikali.
Back
Top Bottom