lawama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kisiasa, lawama zote ni kwa Kikwete kwa kuvuruga uteuzi wa mgombea Urais, lakini TUJISAHIHISHE

    Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete. Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa. Suala la kumteua mgombea wa kiti cha urais NJE ya utaratibu na katiba ya chama lilikuwa kosa kubwa. Na hili limemjengea Mwenyekiti wa...
  2. Candela

    JamiiForums Tanzania Mgeni lawama

    Hivi juzi nilipokea simu kutoka kwa ndugu huko mkoani. Akisema amepata kibarua mkoa nilipo hivyo anaomba aje akae kwangu. Nilimkaribisha lakini nikamwambia mimi naishi kibachela nyumbani sipiki akasema ye anataka pa ku lala tu. Alipofika akaanza kusema vyakula vya hotel hivi mara vile bora awe...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uko sahihi Lusinde makosa mengine ni yetu Wenyewe halafu tunamtupia Lawama Rais Samia na CCM yake, tubadilike tafadhali bado hatujachelewa

    Kuna jamaa namfahamu ni Mlinzi na anapokea Mshahara wa Shilingi Laki Moja na Elfu Themanini za Kitanzania ila ana Watoto Sita na Mahawara Watatu halafu Kutwa tu ukikutana nae Kijiweni ndiyo Mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Rais Samia na Kukilaani Chama Cha Mapinduzi (CCM) utadhani Samia na CCM...
  5. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Lawama katika Maisha

    Kweli tunapitia nyakati ngumu na kweli kuna wakati ulinisaidia salio kidogo nikanunua LUKU lakini msaada huo uliambatana na masimango. Naam na kwa kumbukumbu zangu baada ya hapo si kwamba nilikutupa... la hasha nilikuwa pamoja nawe katika shida mbali mbali,,,, Pamoja na hayo bado unaona...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Raisi hana uwezo wa kuongelea au kukemea mauwaji na utekaji na ufisadi yeye ni kuwatetea watu hao na kurusha lawama kwa wanao shauri.

    Nimemfuatilia hotuba zake sioni hoja za msingi wala sera zenye tija kwenye nchi yetu. Raisi hana uwezo wa kuongelea au kukemea mauwaji na utekaji na ufisadi yeye anaonekana kuwatetea watu hao na kurusha lawama kwa wanao shauri na kukemea mambo hayo. Nashauri raisi samia asigombee miaka mingine...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Muhogo mchungu kweli... Kama wizara mngekemea madudu ya TFF na bodi ya ligi kwa mechi na Simba mngejua hakuna lawama mechi ya jana

    Nimeshangazwa kama sio kusikitishwa na andiko la Naibu Waziri Kilocho nishangaza Naibu Waziri anashangaa na maamuzi ya mwamuzi , lakini katika Ligi yake ya ndani maamuzi kama hayo yamekuwa yakifanyika na Simba amekuwa amekuwa kimyaaaaa , Mechi ya mashujaa inatosha kabisa kuonesha kuwa huyu...
  8. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Mbowe anapaswa kubeba lawama ndio chanzo cha yanayoendelea CHADEMA

    Bonjour wanabodi! MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA. Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

    Duniani hakuna kitu ambacho hakina side effects. Mlevi mmoja huko nchini Uingereza, aliejulikana kwa jina la Isack Newton, siku moja baada ya kumaliza kufanya masterbation, alitamka maneno yafuatayo:👇👇 " To every action there is an equal and opposite reaction ". Na hii ndio wasomi wa...
  10. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, lawama zinazoelekezwa kwa wali, ugali, nyama, kitimoto nakadhalika kuhusu kuleta maradhi zina kweli!?

    Thread Kwa miaka mingi sasa, watu wengi wameanza kulaumu vyakula kama wali, ugali, nyama, na kitimoto kuwa chanzo cha maradhi kama kisukari, presha, na saratani. Lakini je, ni kweli chakula chenyewe ndio tatizo? Tuchukue mfano wa Wamasai wa Tanzania na Kenya. Hawa ni jamii inayojulikana kwa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa najiuliza ni kwanini Watu wameumia sana na Mechi kutochezwa na mpaka sasa wanahaha kutoa Lawama kumbe hizi ndizo sababu? Poleni sana...!!

    1. Okra anatudai 2. Mkude anataka kulianzisha kwa Deni lake 3. Baleke anadai 4. TFF kuna Kesi Kenda (9) za Wao kudaiwa na Wachezaji 5. Kocha Mgeni na Kocha Mzawa wanadai 6. Waganga wetu hasa yule wa Mtwara anadai hadi anataka kuhamia kwa Mahasimu 7. Tumefukuzwa Kigamboni kwa Deni Kubwa na...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Haifai kuwa mtu wa lawama kila unapopiga au kupigiwa simu

    Mtu anakupigia simu au umempigia simu unaanza, "Oooh simu zangu hupokei siku hizi, umenitupa. Hunitafuti mpaka nikutafute." na maneno mengine kama hayo ya kutaka kumfanya mtu ajihisi guilt. Hiyo ni tabia mbaya na roho mbaya. Haifai. Kuwa na mazungumzo ya shangwe utaona watu wanavyokupigia na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wana simba tuache lawama...

    Tuache lawama wana lunyasi... Kilichotokea jana ni tafsiri halisi ya ligi yenye ushindani... Si hivyo tu, matokeo ya jana yanaondoa uvumi kuwa Azam hucheza kwa low intensity ili kuifaidisha Simba... Binafsi najua hata Uto anaenda kukutana na moto wa Azam na ataangusha alama.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sasa lawama kwa GSM na kujidunga sindano zitaanza rasmi

    Kuanzia sasa Hawa wajukuu wa Rage wataanza zile kauli zao pendwa za GSM anaharibu ligi na SINDANO. Uzi tayar
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ken Gold FC tafadhali msitupotezee muda kwa lawama zenu dhidi ya ''maudhi'' ya Bernard Morrison mliyemsajili Kimhemko

    Yaani kama Yanga SC na Simba SC wamemshindwa kwa tabia zake nyie ndiyo mtamuweza? Na mlivyo Wapuuzi nyie wenyewe ndiyo mmempa Mkataba 'Maalum' kuwa awe anakuja tu huko Mkoani kwenu mliko Siku Mbili kabla ya Mechi yoyote na akimaliza Kucheza Siku hiyo hiyo anarudi Dar es Salaam kuendelea kula...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump atupiwa lawama ajali ya ndege Marekani

    Lawam nyingi zimeelekezwa kwa Donald Trump Rais wa Marekani kufuatia ajali mbaya ya ndege iliyotokea jimbo la Virginia ambapo ndege ya abiria imegongana na helicopter ya jeshi na kuua watu zaidi 60. Hata hivyo Trump mwenyewe amekwepa uwajibikaji na kumtupia lawama mtangulizi wake Biden. Watu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

    Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK. 1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM. Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika...
  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

    Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza Marekani yote na ulimwengu mzima! Wanasema ni moto wa nyika lakini hapana California inachomwa na Mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali! Magorofa makubwa na mall pamoja...
  19. wasumu

    JamiiForums Tanzania Vyovyote anavyokuwa mwanamke akishaolewa lawama na pongezi ni kwa mumewe huu ndio ukweli

    Du jamaani wanaume kama bandiko linavyosema mwanamke akishaolewa wewe ndie mwalimu wake hivyo vyovyote atakavyokuwa akiwa malaya akiwa na tabia mbaya yeyote wewe mumewe ndie umemfanya awe hivyo akiwa na tabia njema wewe ndiye wa kupongezwa. Wanaume wote waliooa kamwe usije ukaandika bandiko...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mashujaa,,wanafanya huku wakiwa gizani,,wabeba lawama waliofungwa midomo

    Hawa ni wale jamaa ambao jamii imekua ikiwategemea kwa usalama wao lakini inapotokea tatizo au sintofahamu basi Hawa makamanda huwa lawama zote hubebeshwa wao,na hata ikitokea wametatua tatizo hawatangazwi Wala kusifiwa😁😁😁. Matukio matatu kati ya Mengi ya ukamanda wa makamanda...NILIYOYASIKIA...
Back
Top Bottom