lawama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Diwani

    JamiiForums Tanzania Hili la Bandari, lawama hii iende kwa hayati Magufuli

    Bado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika nchi yetu. Ni nini mzizi wa haya yote? Kisa kilianza Mwaka 2020, wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ulikuwa...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Dola nchini: Badala ya kutupiana lawama tutafute mwarobaini. Tuishauri serikali

    Umofia kwenu. Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni pamoja na mafuta ghafi ambayo yanashikilia sehemu muhimu ya mfumuko wa bei nchini. Nasema yapo...
  3. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Lawama zetu ni kwa Idara ya Usalama wa Taifa kukosa uzalendo, weledi na kushindwa kumshauri Rais

    TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa. Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

    Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu. Pia soma > Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye mkataba wa kuuza bandari hakuna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

    Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
  6. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapa ni kuisumbua Serikali na kuitafutia lawama tu. Waacheni watu wa enjoy

    Mtu anaanzisha uzi kulalamika akitaka Serikali iliangalie hili suala. Iingilie kati n.k suala ambalo ni la mtu binafsi. Mtu analalamika kuwa kuna wanawake wanacheza huku wanaingiza chupa kwenye uchi zao. Serikali iingilie kati. 1. Huo uchi ni wa nani? 2. Hizo chupa wanazoingiza ni za nani...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Soko la Tegeta nyuki, kukizuka kipindupindi serikali ipewe lawama zote na iwajibike!

    Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi! Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi? Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile? Ni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tunduma wabebeshwa lawama za kuua biashara

    08 April 2023 Tunduma, Tanzania BARAZA LA MADIWANI TUNDUMA LAWAMANI KWA KUUA UCHUMI Baraza la Madiwani linaloongozwa na CCM la mji wa Tunduma walaumiwa kuua mzunguko wa biashara na uchumi wa wananchi ktk mji wa Tunduma na matokeo yake sasa wafanyabiashara wanakwepa kununua mizigo ktk mji huo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhilifu wa fedha za vijana, walemavu na wanawake ni lawama kubwa kwa isiyokwepeka kwa ccm

    Tumesikia kiasi kikubwa cha fedha zilizotengwa kwa vijana, walemavu na wanawake zikiwa zimetafunwa ktka halmashauri, na hili limekuwa likifanyika waziwazi kwa makada wa chama kukopeshana kwa kigezo cha vyama badala ya uwezo wa kibiashara. Leo hii ni deni hili linalowalemea Wananchi. Ccm walipe...
  11. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

    Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya. Halafu MASHABIKI mbumbumbu wanamtupia KOCHA LAWAMA. Simba Ina wachezaji WATANO TU. Inonga, Chama, Saido, Manula, Kapombe na Shabalala . WACHEZAJI MIZIGO WENGI MNO. Kanute, Banda, Ottara, Okwa, Onyango Umri, Sawadogo, Baleke. WAZAWA. Nyoni, Boko...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba, Rais hana lawama. Dharau kwa wawakilishi wa wananchi ni dharau kwa wananchi

    Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana. Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi. Kuwadharau wananchi means ni...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Bashe alitupia lawama Bunge kuharibu Kilimo

    Waziri Bashe jioni hii akichangia bungeni ameutupia lawama Mhimili wa Bunge kuwa ndio umesababisha kuharibu kilimo na kusisitiza kuwa kamwe Serikali ya Rais Samia haiwezi kufanya kosa hilo. Pamoja na lawama hizo nzito kwa watunga sheria..Kiti hakijaweza kutoa mwongozo wowote kuhusiana na jambo...
  14. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia si wa kulaumiwa mpaka sasa

    Salamu, Bila kumung'unya maneno katiba yetu ni tatizo la msingi sana, hata huu ugumu wa maisha ni zao la katiba wengi hawawezi kuelewa hapa. Kwa kiwango kikubwa haya magumu tuliyo nayo Sasa ni matokeo ya uvurugaji wa yule aliyepita, na ukweli ni kwamba tutaumia Kwa zaidi ya miaka 15 Wenye...
  15. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ili kuinua ubora wa elimu kila mmoja anapaswa kuwajibika na kucha mchezo wa lawama

    ILI KUINUA ELIMU NCHINI TUNAHITAJI KUWAJIBIKA Ili kuweza kuinua ubora wa elimu tunapaswa kutambua kinaganaga maeneo yote ya uwajibikaji, kutambua wakati maeneo hayo yanapokuwa na tatizo, mahali panapokuwa na tatizo na hatua zinazopaswa kuchukuliwa. Hii ndiyo maana ya uwajibikaji. Kukosekana...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

    Leo niko hovyo sana akili haijatulia kabisa, nimekutana na pisa moja chuo fulani, sura, ipo, shepu ipo, kagawika vizuri, trackoo very standard hana mtrakoo ila trackoo ipo. Katikati ya tracko mstari uko mzuri umegawika, nundu ipo, imevaa blauzi kijani na suruali nyeusi ya kitambaa mrefu 1.68...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njia 8 za Kukabiliana na 'Ndugu Lawama'

    Ikiwa unatatizika kupata wakati mzuri na familia yako kwa sababu ya tabia zao zenye kuumiza, usijali, hauko peke yako. Kutoka kwenye migogoro ya kila mwaka hadi migongano ya utu, na famili zisizofurahi kuwa pamoja. Hapa kuna vidokezo 8 vya kustahimili tabia wanafamilia wenye tabia za kukera...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa linafanyiwa ubadhirifu na wahuni wachache halafu mnabaki kumletea lawama Waziri Majaliwa kisa tu ajali ya ndege Bukoba

    Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa. Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO mbona haijaboresha? Bunge linapitisha kuwa serikali ikope tril 10. Halafu zinakopwa tril 15 bila...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Naona hivi sasa Watanzania (Waswahili) kama kawaida yao wameshahama katika Kuizungumzia Ajali na Mapungufu yake na sasa 97% ya Waswahili (Watanzania) wapo katika Kumzungumzia na Kumzawadia Muokoaji wa Taifa Dogo Majaliwa. Taifa lenye Watu (Raia) makini kamwe hawawezi Kushadadia na Kufurahia...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

    Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine! Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi! Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu! Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
Back
Top Bottom