FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.
Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.
Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna "reforms" zitakazofanyika na kuwaokowa Watanzania na janga la umeme?
Sababu kila namna zitatolewa, lawama zitapelekwa kila mahala, sababu za kujitetea zinazoingia akilini hatzitokosa kuwepo, lakini ukweli ni kuwa Tanesco limekuwa ni shirika kubwa sana lisilo na faida (Huge White Elephant".
Ushauri na nyinyi kifanyike hatraa sana? Hakuna zaidi ya kulikata kata shirika na kulipunguza ukubwa wake.
Tanesco ianze kubomolewa kimikoa. Kila mkowa uwe na shirika lake la Umeme la kujitegemea, tuuziane umeme kimkoa. Simple and straight foreward solution.
Tuanza na mkoa mmoja mmoja hataka sana. Kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.
Nje ya hapo, hata mabwawa yote, pamoja na bwawa jopya la Steigler, yazalishe umeme kwa 100% pamoja na vinu vyote vya Kinyerezi na IPtL na majenereta ya kizamani yazalishe, bado tatizo litakuwepo na pengone litazidi.
Kila mkoa ujipatie shirika lake la umeme na watendaji wake, ndiyo njia pekee iyayowezesha "monitoring and evaluation" ya ufanisi. Nje ya hapo tutapigana porojo kila siku.
Kitila na mchehu na ujanja wenu wote wa maneno, mmeshindwaa kuliona hilo? Au mmefungwa mikono? Mnalo la kujibu kwa Watanzania. Au mtueleze wazi kuwa TANESCO haipo chini yenu?
Kuilaumu serikali yote na kuilaumu tanesco yenyewe, ambayo haijuwi la kufanya utabaki kuwa ni ujinga tu. Wenye dhamana ya mashirika ya umma kwa sas ni hao watu wawili. Waje watueleze wamefanya, wanafanya nini kuhusu tatizo la daima la TANESCO?
Kuendelea kulilea shirika la TANESCO, unakuwa ni uongozi wa zima moto, utazimwa moto unapowaka lakini baada ya muda unaanza tena. Ukweli ni kuwa Reforms zimeshindikana Tanesco, tuingie kwenye Rebuilding ya Tanesco. Uta Rebuild bila kubomowa? Mawee.