kuweka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bashungwa na Mavunde Wakutana Kuweka Mikakati ya Kusimamia Utekelezaji wa Miradi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa Malighafi za ujenzi wa miundombinu itakayosaidia Makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati na ubora...
  2. JamiiForums Tanzania Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

    Duniani kuna mambo Sana, watu wengi wakiangalia mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa wanaamini kuwa dunia sasa imekwisha. Sasa Mimi ngoja niwaeleze dunia ndio Kwanza inaanza, utakwisha wewe tu. Je unazijuwa sarafu za dollar ya Marekani prulibus unum ambayo ndio Motto wa Marekani kwenye National...
  3. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko...
  4. JamiiForums Tanzania Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza. Sifa ya Playlist Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza. Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako. Piga hii namba...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuige mfano wa Ujerumani, tunapaswa kumsahau Magufuli na kuweka bidii kusonga mbele

    Sidhani kama kuna Mtanzania ambae hajui mazuri ya Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, atapinga kwamba Magufuli hakuwa na roho ya uzalendo kwa Tanzania, alichukia ufisadi, alichukia watu ambao anawaona walikwamisha bidii zake za kuindeleza Tanzania. Hakuna Mtazania atakaepinga kwamba Magufuli...
  6. JamiiForums Tanzania Ukifanya biashara hizi na kuweka nguvu haswa uhakika wa kufanikiwa ni 100%

    Mafuta Vyakula Madini Usafirishaji Fedha Media Elimu Afya Dini/kanisa Michezo Utalii Mifugo Vifaa vya ujenzi Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
  7. JamiiForums Tanzania Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

    Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji ======= Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada...
  8. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

    WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status. WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30! Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
  9. JamiiForums Tanzania Je unaweza kuweka feni kwenye ceiling baada ya kufanya finishing?

    Habari ndugu zangu Moja kwa moja kwenye mada! Kuna nyumba bi mkubwa amejenga karibuni ila changamoto ni kwamba mkoa aliojenga una joto kali sana! Nilikuwa naomba kuuliza hivi nyumba ikishafanyiwa finishing inaweza kuwekewa feni ile ya juukwenye ceiling??? Au kuna kifaa gani kingine cha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

    Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii... Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa. Wananchi hawakuona hizo kama ni changamoto wakamuingiza madarakani aliyekuwa mtoza ushuru, Faye...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

    Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko. Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc. But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuweka Mipaka na Wazazi kwa Vijana

    Ninafahamu kuwa kila familia ina utamaduni wake na maoni yake kuhusu jukumu la watoto kwa wazazi wao. Hata hivyo, binafsi ninaamini kuwa wazazi wanabidi wajue kuwa sio rahisi kuwahudumia, au kuhudumia familia nzima hasa pale unapojikuta hali yako ya Uchumi ni tete, au ajira imekuwa changamoto...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Namna gani naweza kuagiza vitu mtandaoni?

    Wadau wa JF, Naomba kupitia thread, watu mtupe elimu na watu wajifunze namna ya kuweka order, kulipia, na kusafirisha (shipping) bidhaa kutoka kwa manufacturer kwenda Dar kwa usalama zaidi. Tafadhali tuweke ma consideration kwa mtu anayechukua pisi zaidi ya 10 kwenda juu kupitia Alibaba...
  14. JamiiForums Tanzania Baraza la Kiswahili nini kimewashinda kuweka Kamusi ya digitali hadi leo ikiwa ndio taifa tuliokishikiria Kiswahili?

    Nimekua nikipata tabu sana kujua maana ya maneno mengi ya kiswahili na nikisearch google siyapati napata mitandao ya nje kama wikipedia wakitafsiri ambayo mara nyingi siwaamini kulingana na aina na ufasaha wanaoandika. Kwanini Baraza la kiswahili mnashindwa kuweka KAMUSI YA KISWAHILI ONLINE...
  15. JamiiForums Tanzania Kero ya wauza maziwa Arusha kuweka maji na unga wa ngano

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Hili ni janga la muda mrefu na hali hii inazidi kukomaa hali inayopelekea maziwa kutokuaminika kabisa. Wauzaji kuanzia wafugaji wanao kamua maziwa hadi wenye maduka wanaouza rejareja, wengi wao wanaweka maji ili maziwa yawe mengi na kisha kuweka unga wa ngano ili...
  16. JamiiForums Tanzania Tutakua na kazi ya kufanya installation ya softwares za kufanya citation na kuweka references kwenye report

    Kuna wakati mwingine unaweza ukawa unaandika report na ukatakiwa kuweka citation na references. Lakini kwa kutokujua ukajikuta unaanza kufanya citation na references manually. Kwa dunia ya sasa kila kitu kinafanyika automatically. Kufanya citation na kuweka references manually kunakufanya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuweka fixed deposit ya dhahabu benki

    Ninatarajia kununua dhahabu ya Tshs.500 millioni na kuiweka kama fixed deposit katika Benki yeyote tutakayokubaliana nayo. Je huu utaratibu unakubalika?. Na je huu utaratibu una madhara yeyote(risk)?. naomba ushauri.
  18. JamiiForums Tanzania Je, Serikali haioni umuhimu wa kuweka wabunge maroboti ili kupunguza gharama za kuendesha bunge?

    Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

    Habari! Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma. Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo. Kuna ugumu gani...
  20. JamiiForums Tanzania kodi ya jengo kuweka kwenye malipo ya kununua umeme ni kumuonea mpangaji

    huku tukisubiria chuo cha uchambuzi wa michezo ,leo kwa wale tulioponga kwenye biashara ua makazi swala la mpangaji kuwajibika kodi ya jengo kwenye umeme ni kama walijifikiria wao wenye nyumba zao ambao ndio wapo bungeni na mishahara minono. mnakamua 1500
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…