kuwasaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pato la taifa Israel kwa mwaka ni $ bilioni 500 (shiling trilioni 1,200), Marekani kuwasaidia $bilioni 3 ni msaada mdogo tu, sio kama unavyokuzwa

    Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki. Pato la taifa ni Dola bilioni 500+ sawa na shilingi zetu trilioni 1,250, Naomba nieleweke kwamba kiasi hiki hakihusisiani na chochote...
  2. Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

    Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE. Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na...
  3. Mjadala: Je, serikali inaweza kuwasaidia vipi vijana kujiajiri?

    Karibu mdau tujadili nafasi ya serikali katika kuwezesha vijana kujiajiri.
  4. Tume ya Madini Yatakiwa Kuwasaidia Wajasiriamali Kupata Teknolojia Zenye Gharama Nafuu

    TUME YA MADINI YATAKIWA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUPAYA TEKNOLOJIA ZENYE GHARAMA NAFUU Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amewaasa Watanzania kutumia fursa za kiuchumi zinazopatikana nchini zikiwemo za kilimo, mifugo, uvuvi na madini katika kujiongezea kipato pamoja na kukuza...
  5. Nisiwe Mnafiki kuna Timu ikishinda leo naingia Msituni rasmi Kimafia kuwasaidia Wasudani ili Wafuzu

    Ni Timu moja mbaya na nisiyoipenda si tu Tanzania bali hata duniani ila kwa sasa nimeisahau Jina.
  6. Sisi kama Jamii tujadili namna ya kuwasaidia vijana wanaofeli shule na kuachwa mitaani

    Umuofia kwenu, Nguvu ya Taifa lolote ni vijana. Nchi inaweza kuwa na advancement kubwa kwenye teknolojia na sekta zingine lakini kukiwa na ombwe la vijana kwenye jamii ama nchi hiyo ni kujiweka rehani. Vijana wa jamii yeyote huandaliwa kushika hatamu pale wazee ama wazazi wao wanapoishia...
  7. Wataalamu 132 wa HDU Muhimbili wapatiwa mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa

    Wataalamu 132 wamepatiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa (Highly Dependent patients) yaliyotolewa na wauguzi bobezi wa wagonjwa mahututi (Critical care nurse specialist) na Madaktari bobezi wa mahututi. Katika hatua nyingine madaktari na wauguzi 40 wa...
  8. SoC03 Uongozi wa Kweli: Uwajibikaji, Kujenga Mtazamo Mzuri wa Uongozi, na Kuwasaidia Wafanyakazi Kujifunza na Kukua kiutendaji

    UONGOZI WA KWELI: UWAJIBIKAJI, KUJENGA MTAZAMO MZURI WA UONGOZI, NA KUWASAIDIA WAFANYAKAZI KUJIFUNZA NA KUKUA KIUTENDAJI Imeandikwa na: MwlRCT Picha | Kwa hisani ya superbeings UTANGULIZI Mada yangu ni "Uongozi wa Kweli: Uwajibikaji, Kujenga Mtazamo Mzuri wa Uongozi, na Kuwasaidia Wafanyakazi...
  9. Tumeenda kuwasaidia Rwanda na DRC waliopigwa na Mafuriko?

    Wema unaanzia nyumbani. Hapa EA tumekumbwa na majanga huko Rwanda na East DRC. Watu wamepoteza maisha na makazi. Tumepeleka msaada wowote?
  10. Benki ya CRDB, Silent Ocean zaingia makubaliano ya kuwasaidia wafanyabiashara

    Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya Silent Ocean, Salah Mohammed, muda mfupi baada ya kuzisaini. Ikiwa ni makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao...
  11. Changia elimu kuwasaidia wengine

    Habar wakuu humu ndani... Mimi ni mdau wa elimu katika shule ya sekondari kwemdimu iliyopo wilaya ya Korogwe. Tuna shida ya vitabu upande wa somo la elimu ya dini ya kiislamu kwani tuna idadi ya wanafunzi zaidi ya mia tatu lakini tuna vitabu vinne tu kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha...
  12. M

    Chongolo tambua kubeti kupo halali kisheria

    Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria. CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha. CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa vijana. Hata kama wakimaliza Veta. Sasa unategemea nini? Biashara zinakufa tu. Acha vijana wabeti
  13. M

    Zitto wewe ni kibaraka wa CCM, hakuna siasa mpya utakazowaletea Watanzania

    Eti kutatua kero za watanzania. Mpyu.... 👇
  14. Magufuli alijitoa nafsi yake kuwasaidia Watanzania. Rais Samia anajitoa nafsi ili achaguliwe tena 2025

    Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa...
  15. L

    Mjumbe wa CPC ajitolea kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu

    Mwaka 1995 ulikuwa ni mbaya sana katika maisha ya Zhang Guimei, kwani ni mwaka ambao alimpoteza mume wake mpenzi aliyefariki kutokana na kuugua saratani, baada ya kutumia akiba yao yote kumpatia matibabu. Zhang Guimei ambaye amechaguliwa kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha...
  16. Nawapa Siri wazazi kuhusu kuwasaidia watoto wenu

    Habari zenu Watu wengi wanalalamika kuhusu watoto wao kuwa wanafanya Sana Uzinzi, uchafu, ushoga, wizi, tabia zote chafu chafu wanafanya wao tu. Jambo la kuwa nalo makini hata Kama wewe husali au huamini uwepo wa Mungu hiyo Ni wewe tu. Watoto ukitaka wawe mfano Bora katika jamii na wapate...
  17. Hersi hizo pesa ambazo unatumia kuwasaidia waandishi wa Habari si tungewekeza kwa Wachezaji wetu?

    Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza. Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka...
  18. M

    Nimeshaanza kuwasaidia Big Bullets FC ya Malawi ili Waifunge Simba SC ya Barbara na Matola tarehe 10 Sept 2022

    Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia. Na nikiona bado Kocha Msaidizi Matola hajatimuliwa Simba SC na Barbara nae hajatuachia Simba SC naahidi...
  19. SoC02 Uanzishwe mfuko wa kuwawezesha kiuchumi Wahitimu wa Elimu ya Juu ili kuwasaidia kutegua kitendawili cha kujiajiri

    Nimejaribu kujielimisha kidogo kama kuna ugumu wowote kwa wahitimu wa elimu ya juu kujiajiri. Nimejifunza kwamba, vikwazo vikubwa kwa wahitimu kuhusu kujiajiri ni mfumo wa elimu kutokuwajengea tabia ya kujiajili, pamoja na changamoto ya kupata mitaji ya kujiajiri. Wahitimu wa elimu ya juu...
  20. E

    SoC02 Elimu kwa Watoto wenye Usonji na kujua namna ya kuwasaidia

    UTANGULIZI. Asilimia kubwa ya jamii inayotuzunguka imekuwa na uelewa mdogo juu ya watoto wenye usonji hivyo kupelekea watoto kunyanyasika na kutojua haki zao na pia kutopewa kipaumbele katika nyanja mbalimbali Kama upande wa afya na elimu pia. MAANA YA USONJI/AUTISM. Ni Changamoto inayompata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…