kuwasaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshaanza kuwasaidia Big Bullets FC ya Malawi ili Waifunge Simba SC ya Barbara na Matola tarehe 10 Sept 2022

    Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia. Na nikiona bado Kocha Msaidizi Matola hajatimuliwa Simba SC na Barbara nae hajatuachia Simba SC naahidi...
  2. Joseph Brighton Malekela

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uanzishwe mfuko wa kuwawezesha kiuchumi Wahitimu wa Elimu ya Juu ili kuwasaidia kutegua kitendawili cha kujiajiri

    Nimejaribu kujielimisha kidogo kama kuna ugumu wowote kwa wahitimu wa elimu ya juu kujiajiri. Nimejifunza kwamba, vikwazo vikubwa kwa wahitimu kuhusu kujiajiri ni mfumo wa elimu kutokuwajengea tabia ya kujiajili, pamoja na changamoto ya kupata mitaji ya kujiajiri. Wahitimu wa elimu ya juu...
  3. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu kwa Watoto wenye Usonji na kujua namna ya kuwasaidia

    UTANGULIZI. Asilimia kubwa ya jamii inayotuzunguka imekuwa na uelewa mdogo juu ya watoto wenye usonji hivyo kupelekea watoto kunyanyasika na kutojua haki zao na pia kutopewa kipaumbele katika nyanja mbalimbali Kama upande wa afya na elimu pia. MAANA YA USONJI/AUTISM. Ni Changamoto inayompata...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida Serikali kuwasaidia wananchi wake hali ya maisha inapokuwa ngumu

    Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao. Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo. Misaada hii ililegwa kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni upi wakati sahihi wa kuwasaidia wazazi wako?

    Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika. Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo. Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Aliens inasemekana kuwasaidia sana jeshi la Marekani katika teknolojia ya silaha

    wanaoaminika kuwazidi binadamu akili ,marekani baada ya kushindwa kuunda kombola la hypasonic wanahaha kuwapata Hawa viumbe VITABU vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana,inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkitaka Kagame na Museveni 'wasiishambulie' Congo DR na nyie acheni 'Unafiki' na kuwasaidia 'Waasi' wa 'Kihutu' na Burundi

    Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa'...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe na Sera ya kuwasaidia wakulima

    Kilimo ndicho utu wa mgongo lakini Serikali naona haina msaada wowote wa kuwasaidia wakulima. Nitoe mifano michache tu. (1) Wakulima tunahimizwa kulima pamba (2) Wakulima tunahimizwa kulima kahawa (3) Wakulima tunahimizwa kulima mahindi (4) Wakulima tunahimizwa kulima maparachichi (5)...
  9. mama D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huwezi pata mwanaume anayekupa mahitaji yote muhimu; na mwanaume huyohuyo aweze kula bata, kujiselfisha na kujipostisha na wewe kila wakati

    Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta Kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kipi kifanyike ili kuwasaidia watu wenye vibamia?

    Hakuna watu wanaojichukia kama hawa waafrika wenzetu waliozaliwa na vimkuyange vifupi(below 4inches) Wanapata taabu sana kwenye mahusiano na wanakuwa hawajiamini kabisa hata kwenye kula tunda kimasihala Sasa ni kipi tukifanye ili kuwasaidie hawa jamaa zetu ambao hawakupenda wazaliwe hivyo
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Serikali, wadau waombwa kuwasaidia wanaohudumia watoto wenye kiharusi na kupooza

    Mkurugenzi wa Sadeline Health Care, Bi Sara Kitainda akizungumza katika Mchana wa Tabasamu, leo Februari 26, 2022. Serikali na wadau wameombwa kuwawezesha na mitaji ya kibiashara akina mama na walezi wenye watoto wenye kiharusi na waliopooza kwani hutumia muda mwingi kuwahudumia watoto hao na...
  12. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuwasaidia ndugu na jamaa zako pale kipato chako kinapokuwa chini ya mahitaji yako ya muhimu?

    Heshima kwenu Wakuu. Nimebahatika kuishi Nchi za wenzetu kwa Mabeberu, kiasi fulani nimejifunza mambo kadhaa. Sisi Wabongo tunaishi maisha ya ujamaa, yaani kugawana kidogo tunachokuwa nacho ili kila mtu apate japo mkate. Hali hii inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya sisi wabongo bado...
  13. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania

    *Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania . Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Donald Wright ameahidi kusaidia programu mbalimbali za habari ili kulinda uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari Tanzania. Balozi Wright amesema hayo wakati alipotembelea klabu ya...
  14. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Singida: DC Muragili awasihi wazazi kuwasaidia watoto wa kike kujikwamua kiuchumi wanaposhindwa kuendelea na masomo

    Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba. Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
  15. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Facebook yazindua "tools" kuwasaidia Wananchi wa Afghanistan wanaofuta taarifa zao mtandaoni kwa hofu ya kukamatwa na Taliban

    Vipengele vipya vya usalama vimekusudiwa kusaidia Waafghan kufunga akaunti haraka na kupunguza nyayo zao katika mitandao ya kijamii. Alhamisi Facebook ilisema inaanzisha udhibiti mpya wa watumiaji kwa watu nchini Afghanistan ambao wanakimbilia kufuta nyayo zao za kidijitali kwa hofu simu zao au...
  16. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri: Jinsi ya kuwasaidia wanawake waliotelekezwa na waume zao kulea watoto

    UTANGULIZI SMART MOTHER (SM) ,kabla ya kutafuta kwa kina ni jina gani zuri la kumpatia mama huyu ambaye anaangaika na kupambana hili motto wake awezi kupata mahitaji muhimu kama Elimu(Kwenda shule),chakula na mahitaji mengine,huyu ni mama ambaye yeye ndiye kichwa cha Familia anaye ongoza...
  17. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Dunia ingeamua kuwasaidia walemavu, watu hawa wasingekuwa na shida

    Hiv ushawai jiukiza sku1 hawa walemavu tunaowapita barabarani kila siku wanaish maisha gani? Kula, kunywa, mavazi, afya nakadhalika. Unakuta mtu barabaran anaomba hana mikono, miguu; anaendeshwa kwenye wheelchair. Wapo walemavu wa aina nying ila kuna wale extreme yani. Hiv kweli serikali, well...
Back
Top Bottom