Mpira wa 'Adidas Euro 2024' itatumia "Microchip" kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
'Microchip' ilitumika katika mfumo wa 'semi-automated offside decision-making' katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka jana nchini Qatar.
skynews-adidas-ball-euro-2024_6382677.jpg


'Microchip'
ndani ya mpira wa Adidas wa Euro 2024 itatumika kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono kwenye michuano ijayo ya majira ya joto.

'The German sportswear brand' inasema Fussballliebe yake itakuwa na microchip inayoweza kuchajiwa ambayo inaweza kutuma data sahihi ya mpira kwa maafisa wa mechi kwa wakati halisi.

Chanzo: Skynews
 
Natamani NBC walau iwe na VAR tu, lakini ubaya wa mtu mweusi ni huu, hata ukimpa Tec bado ataitumia hovyo tu, haiwezi msaidia.
Hata ikiwepo Bado maamuzi ya ajabu ajabu yatakuwepo... Sana sana labda inapunguza Zile rafu mbaya ambazo Huwa naona kama marefa wetu wanazichukulia kawaida, mechi nyingi za NBC ukiziangalia utaona mara chache sana zinastahili kuisha bila redcard.
 
Back
Top Bottom