Miaka 11 ya kupambana kuelekea uhuru wa kifedha

FEARLESSMOM

Member
Feb 17, 2021
7
45
Mwaka 2009 ndipo nilianza rasmi ujasiliamali..hii ni baada ya kutoka chuoni na mbaya zaidi na kujigundua mjamzito.

Sipo hapa kuelezea nilipotoka kwasababu nataka privacy na sipend kujulikana kupunguza usumbufu.

Leo nipo hapa kuwatia moyo especially wale wenzangu na mimi wenye ari ya kupata mafaniko na kuwa na uhuru wao wa kifedha...
Nimeanguka mara nyingi zaidi kuliko kufanikiwa ikiwemo kudhalilishwa kabisa. Nimefanya biashara zaidi ya 6 ikiwemo kuuza juisi na mamalishe.

Nimeanguka sana na kuanza na moja nilikuwa na ndoto kubwa sana maishani mwangu( ndoto sio ile unayoota ukilala ndoto ni ile inayokunyima usingizi mpaka ukashindwa kulala).

Hatimaye mwaka jana 2020 nikaanza kuona matunda ya uvumilivu nimejifunza kwa njia ngumu sana jinsi ya kuwa na kipato endelevu siri niliyoiona had leo hii ni kuwa na DISCPLINE ya hali ya juu sana.

Niliamua mwaka jana nianze kutunza sana fedha kwa hali na mali..nikafanikiwa kutunza kiasi cha milioni 13( hii niliipata kupitia biashara 2 )...Mungu mwema mwaka huu nimeona mafanikio zaidi biashara ninazofanya zinanipa turnover nzuri.

Hatimaye naitwa Mkurugenzi kwenye biashara Mama ni jambo la kumshukuru sana Mungu pray hard work smart be consistency
Nawamegea tu hii ishu kuwa tayari kupambana mwenyewe usitegemee ndugu, rafiki au mume au nani.

Jilipue mwenyewe (take a big risk) simamia ndoto yako uliyonayo akili mwako mimi nimesumbuka na maisha toka 2009 had leo hii 2021 naanza ona mwanga mzuri. Hatimaye nimeweza kusimama kwa miguu yote kuwa financially stable.

Na nimeamua kurudi shule kuongeza elimu ya Biashara, (how to manage money & investing).

Usikate tamaa.
 

FEARLESSMOM

Member
Feb 17, 2021
7
45
Mwaka 2009 ndipo nilianza rasmi ujasiliamali..hii ni baada ya kutoka chuoni na mbaya zaidi na kujigundua mjamzito. Sipo hapa kuelezea nilipotoka kwasababu nataka privacy na sipend kujulikana kupunguza usumbufu

Leo nipo hapa kuwatia moyo especially wale wenzangu na mimi wenye ari ya kupata mafaniko na kuwa na uhuru wao wa kifedha...
Nimeanguka mara nyingi zaidi kuliko kufanikiwa ikiwemo kudhalilishwa kabisa. nimefanya biashara zaidi ya 6 ikiwemo kuuza juisi na mamalishe. nimeanguka sana na kuanza na moja

Nilikua na ndoto kubwa sana maishani mwangu ( ndoto sio ile unayoota ukilala ndoto ni ile inayokunyima usingizi mpaka ukashindwa kulala).

Hatimaye mwaka jana 2020 nikaanza kuona matunda ya uvumilivu ... nimejifunza kwa njia ngumu sana jinsi ya kuwa na kipato endelevu... siri niliyoiona had leo hii ni kuwa na DISCPLINE ya hali ya juu sana. Niliamua mwaka jana nianze kutunza sana fedha kwa hali na mali..nikafanikiwa kutunza kiasi cha milioni 13( hii niliipata kupitia biashara 2 )... Mungu mwema mwaka huu nimeona mafanikio zaidi ...biashara ninazofanya zinanipa turnover nzuri.. hatimaye naitwa Mkurugenzi kwenye biashara Mama ni jambo la kumshukuru sana Mungu. pray hardwork smart be consistency.

Nawamegea tu hii ishu... kuwa tayari kupambana mwenyewe.. usitegemee ndugu, rafiki au mume au nani.

Jilipue mwenyewe(take a big risk) simamia ndoto yako uliyonayo akili mwako..mimi nimesumbuka na maisha toka 2009 had leo hii 2021 naanza ona mwanga mzuri.

Hatimaye nimeweza kusimama kwa miguu yote...kuwa financially stable. Na nimeamua kurudi shule kuongeza elimu ya Biashara,(how to manage money&investing).

Usikate tamaa.
 

Van Pauser

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
393
500
( ndoto sio ile unayoota ukilala ndoto ni ile inayokunyima usingizi mpaka ukashindwa kulala.)

Umenena vyema.... Pongezi kwako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom