kuuza

  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kinachokwamisha Simba kuuza hisa zake ni kitu gani?

    Mpaka sasa wana-Simba hawajauziana hisa za klabu yao hiyo. Ni kitu gani ambacho kinakwamisha wana-Simba wasiuze hisa za klabu hiyo?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mataifa yanayoongoza kuuza Silaha Afrika, ndio wanaochochea migogoro?

    Watu wengi wamekuwa wakisema nchi za Afrika zina migogoro na vikundi vingi vya waasi sababu ya biashara ya silaha ya mataifa ya nje ambayo yamekuwa yakiuza silaha kwa vikundi vya waasi Haya ndio mataifa yanayoongoza kwa kuuza silaha za mauaji Afrika
  3. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Nionavyo lengo la wiki ya usalama barabarani ni kuuza stika, anayeamini kupungua kwa ajali anieleze ni kwa vipi

    Kila mwaka polisi huandaa wiki ya usalama barabarani lakini hali ilivyo barabarani ni ileile ya siku zote zaidi ya kuuziwa stika ambazo hazipunguzi ajali! Vurugu za bodaboda na daladala ziko vilevile na pacha wao ajali. Mimi naona lengo si kudhibiti ajali kwa kuwakumbusha madereva juu ya...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Moodys wamekuja nchini kutathmini cha kuuza endapo tutashindwa kulipa mikopo?

    Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje? Kwa uelewa wangu, mtu anaekopesheka ni yule anaeweza kuulipa mkopo tarajiwa, lakini pia anacho cha kuweka ‘Collateral’ endapo atashindwa...
  5. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kuuza vitu kwa wale walio na vitu stoo wanataka kuuza au kitu chochote unataka kukiuza

    Wakuu habari, Kama kichwa cha habari kinavosema. Kuna wale watu humu ndani ambao wana mali zao na vitu vyao wangependa kuuza ili wabadirishe wanunue vingine, au wangependa kuuza ili waviondoe tu visijaze nafasi au havina matumizi tena au wanashida ya kifedha, basi karibu nikisaidie kuviuza...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vijana wengine waibukia hospitalini Dodoma kutaka kuuza figo

    Siku chache baada ya uongozi wa Hospitali ya Bugando Mwanza kuelezea kadhia wanayoipata kutokana na vijana kuulizia iwapo wananunua figo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa Dk Alphonce Chandika naye leo Jumatatu Machi 13, 203 ameeleza kuwepo na wimbi la vijana...
  7. The Eric

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza watu imewapa wengi utajiri

    Hello, Hii biashara imeanza tangu zamani sana, ndiyo imefahamika kama Slave trade. Kuna kitabu kaandika Robert Kiyosaki anasema katika maelezo yake "The High Paid Slave is Still A Slave." Kuuza watu kwa namna moja au nyingine ni aina ya utumwa, au kumuuza mtu kwa yeye kutaka kipato na wewe...
  8. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Video: Tunisia Wanavyojisifu Kuuza Watumwa wa Kiafrika

    Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa Waafrica hawana dhamani kama wao Watunisia na wao wamekuwa wakiwauza tu kama bidhaa. Siku za karibuni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya biashara ya kuuza sukari kwa ujumla

    Wandugu habari za siku, Ninafikiria kufungua biashara ya kuuza sukari kwa jumla, naamini ni bidhaa inayotumiwa na watu wengi kila siku na uhitaji wake hauna shaka, kwa yeyote mwenye ufahamu au anayejuwa changamoto zake naomba mawazo yenu.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kuagiza ama kuuza mizigo (Internatianal trade)

    Habari za muda wanajukwaa. Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade. Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni mtafuta masoko wa kimataifa anatuma mizigo kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ama bara jingine...
  11. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kwanini machangudoa, makahaba, mashoga na malaya hawatajiriki kwa biashara ya kuuza mwili?

    Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi. Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki? Au kazi yao ni ya laana hela...
  12. dracular

    JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kuuza duka la vinywaji (vinywaji vikali na soft drinks)

    Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu🙄. Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm. Sifa za muombaji: 1: Awe na mdhamini mwenye mali zisizo hamishika 2: Awe na elimu angalau kidato cha nne 3: Awe...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea akamatwa kwa kuuza Ndege ya Serikali

    Mmoja wa watoto wa mtawala mkongwe wa Equatorial Guinea amekamatwa na kuwekwa kizuizi cha nyumbani kwa tuhuma za kuuza Ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Taifa kinyume cha sheria. Kw a mujibu wa Kituo cha TV cha Taifa, TVGE, Mamlaka zilifungua uchunguzi mwishoni mwa Novemba 2022 "baada...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wengine baba zao wakiwa Marais tu kazi yao ni kuiba mali, kuuza ngada na kupora hovyo wake za watu

    Mtoto wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, Luteni Ian Kagame amejiunga na kikosi cha ulinzi wa Rais kilicho chini ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF). Kikosi cha ulinzi cha Rais wa Rwanda kinawajibika kumlinda Rais pamoja na familia yake. Ian alionekana hadharani kwa mara ya kwanza akitimiza majukumu...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Jiji la Mwanza ashtakiwa TAMISEMI madai ya kuuza viwanja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni. Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hii biashara imekaaje: Ukraine kuuza damu ya raia wake ili kupata silaha zitakazosaidia kufikia malengo ya NATO dhidi ya Urusi!

    Si siri tena wala siyo madai ya urusi tena, bali ndivyo biashara yenyewe ilivyo. NATO ina malengo yake ya kuidhoofisha urusi, ukraine ikajitokeza na kusema sisi tutatimiza jukumu hilo, tunachohitaji ni kutupatia silaha kwa ajili ya damu ya raia wa ukraine wanayoimwaga ili kufikia malengo ya...
  17. mama D

    JamiiForums Tanzania Mama na binti yake wahukumiwa kwa kuuza viungo vya miili ya wafu

    Mmiliki wa zamani wa Chumba cha kuhifadhu maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jela huko Colorado baada ya kupasua mamia ya miili na kuuza sehemu za mwili. Waendesha mashtaka walisema Megan Hess, 46, na Shirly Koch, 69, walikata maiti 560 na kuuza viungo vya miili bila idhini kati ya...
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

    Miaka mitatu iliyopita tuliweka hili bandiko kwa kinachoendelea pale Mwanza kuhusu RFA, Kiss FM na StarTV palipokuwa na mgomo baridi. https://www.jamiiforums.com/threads/maskini-rfa-ndiyo-kwaheri-hivyo.1594488/ Week hii kabla ya kufunga mwaka nashangaa tena, ni full gospel na muziki aina...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Magereza akutwa akiuza Dawa za Serikali kwenye 'Pharmacy' yake

    Mtumishi wa Jeshi la Magereza wilayani Mafia Mkoa wa Pwani (jina limehifadhiwa) anadaiwa kukutwa akiuza dawa za Serikali katika duka lake binafsi kinyume na sheria, kanuni na maadili yanayohusika na utoaji wa huduma za afya. Hayo yalibainika jana baada ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kuuza duka

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care). Awe anajua...
Back
Top Bottom