Rais wa zamani wa Comoro afungwa maisha kwa kuuza 'Passport' kwa wasio raia

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,355
8,043
1669640948413.png
Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi.

Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni 4.2.

Sambi ambaye ni Mpinzani Mkuu wa Rais Azali Assoumani tayari amekaa gerezani kwa miaka 4. Mwaka 2008 alisaini Sheria inayoruhusu uuzaji wa Pasipoti za Taifa kwa wasio na Uraia.

===================

A court in the Comoros on Monday handed down a life sentence for high treason to ex-president Ahmed Abdallah Sambi, who was convicted of selling passports to stateless people living in the Gulf.

Sambi, 64, an archrival of President Azali Assoumani, was sentenced by the State Security Court, a special judicial body whose rulings cannot be appealed.

"He betrayed the mission entrusted to him by the Comorians," public prosecutor Ali Mohamed Djounaid told the court last week as he requested a life sentence.

Sambi, who led the small Indian Ocean archipelago between 2006 and 2011, pushed through a law in 2008 allowing the sale of passports for high fees.

The scheme aimed at the so-called bidoon -- an Arab minority numbering in the tens of thousands who cannot obtain citizenship.

The former president was accused of embezzling millions of dollars under the scheme.

The prosecution said the cost was more than $1.8 billion -- more than the impoverished nation's GDP.

"They gave thugs the right to sell Comorian nationality as if they were selling peanuts," said Eric Emmanuel Sossa, a lawyer for civilian plaintiffs.

But Sambi's French lawyer Jean-Gilles Halimi said "no evidence" of missing money or bank accounts had been put forward to suggest a crime.

Sambi refused to attend the trial after a brief appearance at the first hearing, as his lawyers said there were no guarantees he would be judged fairly.

He was originally prosecuted for corruption, but the charges were reclassified as high treason, a crime that "does not exist in Comorian law," Halimi said.

Sambi had already spent four years behind bars before he faced trial, far exceeding the maximum eight months. He was originally placed under house arrest for disturbing public order.

RFI/NATION/BBC
 
It's more than a treason, how can someone with higher authority tarnish the image of the country simple like that..with all the danger of terrorism around the world yet the man decided to sell the country identify,Wonders will never end..
 
It sounds so weird indeed.
 
It's more than a treason, how can someone with higher authority tarnish the image of the country simple like that..with all the danger of terrorism around the world yet the man decided to sell the country identify,Wonders will never end..
I've worked with those bedui people or Bidoon (stateless) in one of the Gulf countries

Hawa bidoon walikuwa wakiishi mipakani wakichunga mbuzi zao na ngamia huko uarabuni
Maisha yao ni kutangatanga kama wamasai tu

Wengine wakabahatika kupewa kazi jeshini kama Kuwait na Saudia na Emirates lakini hawapewi uraia bali wanapewa vitambulisho tu. Yaani mimi nilikuwa bora kuliko wao maana naweza kusafiri ila wao hawawezi kwenda popote zaidi ya nchi walipo ndugu zao pia kama Syria na Iraq.

Hawana madhara yoyote kihivyo ila Saddam alipovamia Kuwait wengi wao walirudi Iraq na Syria bila kupigana against Kuwait kwa sababu ndio waliowalea miaka nenda rudi.

Ila swali je huyu Rais aliwezaje kupata uwezo wa kuwaaminisha kuwapa passports hao Stateless?
 
Haya mambo yangekuwepo na huku kwenye nchibya kusadikika, hakika jamaa yangu naye mpaka muda huu angekuwa anaozea jela.
 
Huyu nakumbuka kabisa vita ya comoro pale Anjouan akiwa amevalia kijeshi na kutembelea mstari wa mbele vitani na alikua muungwana fulani alikuja mpaka tz kuja kuhani msiba wa wale askari waliofariki nchini kwake tunakumbuka kamsemo ka waComoro"sebo sebo menji militie Tanzanie"
 
Sebo Sebo, menji milite Tanzanie,
C’est bon ,c’est bon menji Militaire Tanzanie
 
Back
Top Bottom