Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,328
8,243
Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni.

Elimu yake:
Ana elimu ya kidato cha nne na cheti ya ususi na urembo.

Uzoefu wa kazi:
Amefanya kazi za ususi na urembo kwenye saluni mbalimbali jijini Dar es Salaam.

Pia amefanya kazi kwenye maduka ya kuuza nguo, maduka ya kuuza urembo, maduka ya kuuza cosmetics, viatu na maduka ya kuuza mapochi.

1. Hivyo anauwezo wa kusuka mitindo ya nywele aina zote.
2. Anauwezo wa kuwaremba wateja aina zote.
3. Anauwezo wa kusimamia biashara vizuri, kutangaza bidhaa na biashara kupitia mitandao ya kijamii na sauti.
4. Anauwezo wa kuongea na wateja vizuri kirafiki kwa ucheshi wa hali ya juu.
5. Ni mwaminifu, mcheshi na mwenye hekima ya hali ya juu.

Mwisho: Ana akaunti kwenye mitandao ya kijamii zenye followers wengi anazozitumia kutangaza biashara na bidhaa ili kuwafikia wateja kwa uharaka.

Hivyo kama una duka au saluni au biashara hapa utakua umepata mfanyakazi maridadi sana.

Karibu
 
Si afungue saluni yake tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom