AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,764
21,237
IMG_20230103_120334.jpg

Miaka mitatu iliyopita tuliweka hili bandiko kwa kinachoendelea pale Mwanza kuhusu RFA, Kiss FM na StarTV palipokuwa na mgomo baridi.

Week hii kabla ya kufunga mwaka nashangaa tena, ni full gospel na muziki aina nyingine ukipigwa non stop na hakuna matangazo, nilimpigia simu mdau wangu pale akanitonya kuwa ni mgomo umeamka tena, wafanyakazi hawana mshahara miezi kadhaa sasa.

Mzee Antony muite huyu mzee-kijana

Pascal Mayalla atakuendeshea kwa ufanisi, kazi yako itakuwa kusuburi mrejesho kila mwisho wa mwaka.

Dialo anaogopa nini kuuza hivi vyombo au kuingia mkataba na wawekezaji?.
 
Dialo sikujua kama ni mpuuzi kiasi kile

Magufuli alimsaidia kwenye mkwamo kuokoa sahara media isifilisike

Magufuli alivyofariki akaitisha Sahara media kumtukana Magufuli

Alijua kumtukana Magufuli kutamfanya apendwe na Samia

Samia amelitupa mbali lipambane na hali yake na limepokonywa uenyekiti wa CCM mkoa
 
Sahara ilichangia pakubwa kumnadi Magufuli kwenye kampeini za mwaka 2015 na ndio ilikuwa ikutumika na CCM kumchafua Lowasa.

Kingine Sahara ilianza kuyumba baada ya Magufuli kiingia madarakani.
 
Kima Yule , ndo atajua hajui
 
Sahara ilichangia pakubwa kumnadi Magufuli kwenye kampeini za mwaka 2015 na ndio ilikuwa ikutumika na CCM kumchafua Lowasa.

Kingine Sahara ilianza kuyumba baada ya Magufuli kiingia madarakani.
Diallo alijipendekeza mwenyewe, mwaka 2015, hakutumwa na Magufuli, Magufuli never had any promise or kind of agreement with Diallo, Kwanza Diallo sio mtanzania, ni Mamluki, apotelee mbali huko
 
Diallo alijipendekeza mwenyewe, mwaka 2015, hakutumwa na Magufuli, Magufuli never had any promise or kind of agreement with diallo, Kwanza diallo sio mtanzania, ni Mamluki, apotelee mbali huko
Mm nilikuwa namjibu huyo mwenzako aliyekuwa anasema eti Sahara iliokolewa na Magufuri wakati sio kweli bali yeye ndo aliye ididimiza.
 
Mm nilikuwa namjibu huyo mwenzako aliyekuwa anasema eti Sahara iliokolewa na Magufuri wakati sio kweli bali yeye ndo aliye ididimiza.
Ni uongo Magufuli hakudidimiza Sahara, Sahara walikuwa wakiishi kwa ujanja wa kiccm CCM kwa Kutolipa Kodi, Magufuli hakutaka huo ujinga, kwa hio Magufuli hana ubaya wowote na Sahara, fikiria awamu ambayo inavamia ofisini za biashara za Diamond awamu hii ya 6, ibebe kinyago kama diallo hio haipo.
 
Dialo sikujua km ni mpuuzi kiasi kile

Magufuli alimsaidia kwenye mkwamo kuokoa sahara media isifilisike

Magufuli alivyofariki akaitisha Sahara media kumtukana magufuli

Alijua kumtukana magufuli kutamfanya apendwe na samia

Samia amelitupa mbali lipambane na hali yake na limepokonywa uenyekiti wa ccm mkoa

Mwana mkaidi
 
Biashara ya redio na TV kwa sasa ni ngumu mno. Hakuna TV wala radio station wanaokula bata. Labda vyombo vya habari vya serikali tu. Huku kwingine mambo yashaharibika kufuatia ukuaji wa social media. Watangazaji na waandishi wa habari wa magazeti hulipwa hela kidogo.
 
Wenye media zao wanatakiwa wabadilike na mabadiliko ya teknolojia.
Wakitaka ku survive wajiongeze sana kwa kubuni products mpya kadri ya mahitaji ya jamii

Wakisema wakae kimya au walalamike tuu wamekwisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom