F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,570 Reaction score 36,306 Nov 8, 2022 #1 Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari wanaopaki jirani na Ubungo anisaidie. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije.
Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari wanaopaki jirani na Ubungo anisaidie. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije.
M Mkalapa JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 268 Reaction score 839 Nov 8, 2022 #2 Kamisheni yangu sh ngapi jamaa akuletee maji hapo
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,645 Reaction score 14,809 Nov 8, 2022 #3 Umeme na maji Tanzania ishakuwa kero watu kero keroo hyo nyimbo ni ya mda sana lakini mpaka leo umeme na maji bado ni changamoto
Umeme na maji Tanzania ishakuwa kero watu kero keroo hyo nyimbo ni ya mda sana lakini mpaka leo umeme na maji bado ni changamoto
C chrstopher JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 275 Reaction score 562 Nov 8, 2022 #4 0710203321 sinza kijiweni