kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tukiacha kutumia akili zetu tutaongeza umri wa kuishi duniani

  2. Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?

    Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
  3. Mwanamke kutumia sabla dakika chache kabla ya tendo

    Habari wanaJF, kwa wajuzi wa mambo ntaka kufahamu kitu katika hili kama ilivo kwa title hapo juu. Yaam mke alitumia soap kujpaka maeneo yake ya siri then dakika chache akaingia kwenye tendo na mpenz wake. Maanake nini kwa kitendo hichi.
  4. Mke wangu anatoka maji ukeni baada ya kutumia Kondomu aina ya Salama

    Ndugu zangu nawasalimu nyote. Wiki mbili zilizopita nilikutana na mke wangu kwa tendo la ndoa na tukatumia kondomu kama kinga kuzuia ujauzito. Toka tulipotumia Kondomu mke wangu anatokwa na majimaji sehemu za siri. Je, wakuu shida inaweza kuwa nini? Mimi nimekuwa mwaminifu kwake la ningekuwa...
  5. Mara yako ya mwisho kutumia tovuti hizi ni lini, nini unakumbuka?

    Kwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano 👉Waptrick 👉Toxicwap 👉Redwap Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
  6. R

    Halmashauri ya Wilaya Muheza na urasimishaji makazi kutumia kampuni ya Makazi Solutions

    Hawa Makazi solutions waliingia makubaliano na Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya kufanya kazi ya kurasimisha makazi ya iliyokuwa shamba ya Geiglitz Muheza. Watu wamelipai (baadhi) na kuahidiwa kupewa hati za umiliki kama ilivyo kawaida. Kinachoonekana sasa ni kuwa ni UTAPELI kwani hakuna hati...
  7. Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua mabomu kimataifa

    Panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini. Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia. Katika kazi ya...
  8. Nani umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa?

    Habari wadau wa jamiiforums Habari zenu, Naomba kujuzwa Kama umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa. Napenda kuomba kujua ulikusaidiaje kiafya? Au una uonaje? Tafadhali wadau nisaidieni.
  9. K

    Matapeli kutumia utambulisho wa vyombo vya dola kunathibitisha udhaifu wa vyombo au mazoea yamezidi?

    Sabaya aliwahi kutumia kitambulisho Cha TISS akabainika ila kesi yake ikafutwa akateuliwa kuwa DC Shinyanga amekamatwa Mwalimu mwenye kitambulisho Cha JWTZ pamoja na official documents za chombo hiki nyeti akituhumiwa kufanya utapeli. Uhamiaji tumeona hivi karibuni wakitoa adhabu huku...
  10. Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...

    Wanabodi, kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa nawaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huandikwa kwa swali, na kukuachia wewe msomaji uhuru wa kuchangia na kutoa jibu lolote. Makala hizi zitakuwa zinatoka kwenye Gazeti la Nipashe, kila siku za Jumapili. Makala...
  11. L

    Ni bora kutumia njia nyepesi kupambana na corona kabla hatari kuwa kubwa na kulazimika kutumia njia ngumu

    Janga la COVID-19 limesababisha vifo vyamaelfu kwa mamilioni ya watu nchini China naduniani kwa ujumla, na hadi sasa ugonjwa huubado unaendelea kusomba maisha ya watu katikanchi mbalimbali ambapo serikali zimeghumiwana kutojua la kufanya kutokana na kuzidiwa amakushindwa kuudhibiti kwa urahisi...
  12. Nina kawaida ya kutumia sana peke yangu

    Ni kawaida kukosea kwa mtu yyt.kwangu mm nikikosea naumia sana. Ikiwa nimefanya jambo nikakosea nikiwa ni mwenyewe na give up. Napotezea, Gharama nabeba mwenyewe.. katika Jamii ikiwa kosa limetokana na 3330 napata mateso makuu ......mods tafadhali nirekebishie.. title kuumia sio kutumia...
  13. Tubadilishane Uzoefu: Siku Ya Kwanza kutumia Condom ilikuwaje?

    Habari za Jumapili wadau? Naomba tupeane uzoefu wote humu, men & women, siku ya kwanza unaanza kutumia mpira kufanya mapenzi ilikuwaje, ulipata changamoto zozote ?! Zipi? Ulifanyaje/ mlifanyaje kuzitatua na mwenzako mkiwa eneo la tukio. Naanza kusimulia kwa upande wangu, mimi nilikuwa kidato cha...
  14. J

    Mbunge Stella Manyanya ataka Walemavu nao waingizwe jeshini wakasaidie maeneo ya kutumia akili kama IT

    Mbunge wa Nyasa Stella Manyanya amemuomba Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taif mh Kuandikwa kuwafikiria walemavu ili nao watumike jeshini katika maeneo ya kutumia akili kama Tehama Manyanya amesema ajira za jeshi huwa haziwafikirii walemavu na amemwomba Waziri awasaidie. Chanzo: ITV...
  15. Unahitaji kutumia Clubhouse?

    Habari zenu wana JF. Kama ulishawahi ku download Clubhouse ila hukuweza kutumia kwa sababu hukuwa invited. Nina 10 invites kama utahitaji nijulishe niku invite for free. Kizuri kula la mwenzako.
  16. TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  17. Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

    Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na Kuaminishwa mno na Kauli Mbiu za Kibabe za Kuujaza Uwanja ili Mapato yapatikane wakati wenye Kuujua...
  18. Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

    "Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo." -- Issa...
  19. Ili kutumia vyema rasilimali za taifa letu ilipaswa ijengwe Hospitali kubwa Mkuranga kumuenzi Mzee Ally Hassan Mwinyi

    Nimeshangazwa sana na uamuzi wa kumzawadia mzee Ally Mwinyi gari aina ya Mercedes lenye thamani ya mil 450. Kwani kwa umri wake huyu mzee anahitaji gari kama hilo la nini? Kama magari aliyashayatumia sana tena ya kila namna. Kwanini ili kuenzi utumishi wake uliotukuka usingejengwa hospitali...
  20. TAHADHARI: wimbi la wizi wa Mtandaoni kutumia simu

    habari za leo. Nawataarifu kuwa kuna wezi wanazunguka kwenye vituo mbalimbali wakidanganya watu kuwa wanawarekebishia vifurushi vilivyotajwa na Mh Raisi. Wana swap simcars kuchykua taarifa za akaunti za benki na za mitandao ya simu na kuiba fedha. na kama huna fedha wanakopa kutumia salary...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…