Mke wangu anatoka maji ukeni baada ya kutumia Kondomu aina ya Salama

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
413
250
Ndugu zangu nawasalimu nyote.

Wiki mbili zilizopita nilikutana na mke wangu kwa tendo la ndoa na tukatumia kondomu kama kinga kuzuia ujauzito.

Toka tulipotumia Kondomu mke wangu anatokwa na majimaji sehemu za siri. Je, wakuu shida inaweza kuwa nini?

Mimi nimekuwa mwaminifu kwake la ningekuwa nimechepuka ningesema labda inawezekana nimemletea ugonjwa lakini hapana sijatoka nje ya ndoa yangu au Kondomu tuliyotumia ilikuwa na shida?
 

Munambefu

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
1,678
2,000
Kama yeye ndiye katoka nje je?kwanini Unawaza tu kwamba wewe ndiye mwenye uwezo/ujasiri/ujanja wa kuchepuka?

Ni kosa kubwa Mwanaume kusema mke wangu namuamini Sana, Siku utagundua anakupiga kanzu unakufa.
Sisemi mkeo kachepuka Mkuu
 

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
16,829
2,000
Kama yeye ndiye katoka nje je?kwanini Unawaza tu kwamba wewe ndiye mwenye uwezo/ujasiri/ujanja wa kuchepuka?

Ni kosa kubwa Mwanaume kusema mke wangu namuamini Sana, Siku utagundua anakupiga kanzu unakufa.
Sisemi mkeo kachepuka Mkuu
Ila asimuamini 100%

Short and clear
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom