Mwanamke kutumia sabla dakika chache kabla ya tendo

Unstate Bug

Member
Aug 16, 2015
79
85
Habari wanaJF, kwa wajuzi wa mambo ntaka kufahamu kitu katika hili kama ilivo kwa title hapo juu. Yaam mke alitumia soap kujpaka maeneo yake ya siri then dakika chache akaingia kwenye tendo na mpenz wake. Maanake nini kwa kitendo hichi.
 
Huo ukebona utakuwa na matatizo sanam yaani kabla ya kufanya anapaka sabuni? Au sijaelewa
 
Itakuwa alikuwa anasafisha sperm au anapaka sabuni kama kilainishiii
 
Wadada wa siku hizi huko kwenye magroup yao ya whatsap wanaelekezana vitu vya ajabu sana na ukizingatia wengi ni illiterate ko wao wanachukua kama walivyosoma
Kiufupi wanafanya vitu vya kuhatarisha afya zao bila kujua,maybe muulize hiyo sabuni ni kwa ajili ya kazi gani
 
Back
Top Bottom