kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mkimbizi wa kitanzania kutoka Ukrain kurudishwa Afrika

    Zimedondoka kutoka huko Udachi kuwa mwamba ni miongoni mwa wakimbizi Jero kati ya buku mbili na jiti tatu waliokimbia vita nchini Ukraine. Hawa jero hawana vinyago vya Ukraine, yaani ni raia kutoka nchi nyingine ambao mambo yaliposanuka huko Ukraine, wakaona hii ni golden chance, harudi mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Haya ni machache kati ya mengi niliyoyasikia au kuyaona kutoka kwa maustaz, wachungaji na waganga wa kienyeji. Je, na wewe ushashuhudia lipi?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe. 1. Mnamo mwishoni...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuziamini ndoto baada ya kuota nipo na Rais Samia kisha nikapata kazi

    Habari za mchana, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja. Mimi nilihitimu chuo kimoja maarufu hapa nchini mwaka 2015. Tangu mwaka 2015 nlikuwa naishia tu kupata viajira vya kubangaiza bangaiza. Sasa mwaka huu mwezi wa nne tarehe 3 niliota ndoto ambayo nlivyoamka nikaitafakari sana sikupata...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Dollar inapanda kila siku Nchi huwa inalipaje Mikopo kutoka Mashirika ya Kimataifa

    Nimejaribu kufuatilia trend ya kupanda kwa dollar inshort inasikitisha na sijui tunaelekea wapi.... Wakubwa fedha zao nyingi zipo interms of dollars ko wanazidi kufurahia tu. Na pale awamu mmoja ya uongozi inapoingia na nyingine kutoka kuna uchakachuaji mkubwa sana wa kupanda kwa dollar...
  6. JamiiForums Tanzania Maji ya Bomba Kutoka Ziwa Victoria Yaendelea Kusambazwa Musoma Vijijini

    MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21, Vijiji 68 na Vitongoji 374. Vijiji vyetu vyote vina miradi ya maji ambayo iko kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji. Miradi ya maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria inatekelezwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu kesi ya kupinga mkataba kuhitimisha mjadala wa DP World

    Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World. Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
  8. JamiiForums Tanzania China na Urusi waizungukia Marekani kutoka Alaska

    Wakati Ukraine ikishughulika na kudondosha vibomu vidogo vidogo kwenye daraja na meli za Urusi na hii ni baada ya kushindwa kurejesha jimbo lolote lililotekwa.Mwenzake Urusi amefikiria mbali sana katika kushinda vita vinavyoendelea. Mbinu muhimu ni kupambana na wale wanaompa nguvu Ukraine nje...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini demokrasia ya vitabuni haina mchango kwa nchi kutoka kwenye umasikini na kupata maendeleo?

    Swali ubaoni: Kwa nini demokrasia ya vitabuni haina mchango kwa nchi kupata maendeleo ya kiuchumi kutoka katika hali duni( umasikini ) kwenda hali bora ? Mifano: Russia U.S.A Europe Arab nation's China Korea Japan Singapore Taiwan Turkey Iran and so on.
  10. B

    JamiiForums Tanzania World Muslim Link yatoa msaada wa kilo 3 za Maharage kwa yatima kutoka Serikali ya Saudia, Mstahiki Mayor wa Temeke awashukuru

    Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida. Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika...
  11. JamiiForums Tanzania Kutoka kwa muigizaji maarufu John Sins

    KUIGIZA FILAMU ZA NGONO NI KAZI NGUMU SANA Muigizaji maarufu Mr John moja ya interview yake kubwa aliyowahi kufanya na muandishi wa habari wa india aliwahi kusema. " Kuigiza filamu za ngono ni kazi ngumu sana tofauti na watu wanavyozani kuwa ni nyepesi, napokea tons za email kila siku kwa watu...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Yannick Bangala, kutoka Avic Town hadi Mbagala

    KAMA kuna mchezaji ambaye alikuwa anapendwa na Wanayanga miezi 12 iliyopita mmojawapo alikuwa Yannick Bangala. Watangazaji wa Azam TV walimuita Mzee wa Kazi Chafu. Kuna wachezaji walionekana kufanya kazi nyingi ambazo zingeonekana kiurahisi. Yeye alikuwa anafanya kazi nyuma ya pazia. Usingeweza...
  13. JamiiForums Tanzania Leseni za Biashara kukwama kutolewa Songea, wahusika wanatengeneza mazingira gani?

    Manispaa ya Songea inashindwa kutoa leseni za biashara kwa wakati, kumekuwa na tatizo hilo yapata mwezi sasa wafanyabiashara wanalalamikia Ofisi ya Afisa Biashara Manispaa ya Songea kushindwa kuwapa leseni za biashara zao. Maafisa Biashara Wasaidizi wamekuwa wakiwajibu Wafanyabiashara...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina "Mhelela" ni kabila gani na kutoka mkoa gani?

    Wakuu, kama mada hapo juu naomba nisaidiwe jibu. Tafadhali kama hujui naomba ukae kimya.
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala wa Uadilifu na Uwajibikaji: Kujifunza kutoka Methali ya ‘Kiti Kikubwa Hakimfanyi Mfalme’ Tanzania

    Utawala wa Uadilifu na Uwajibikaji: Kujifunza kutoka Methali ya ‘Kiti Kikubwa Hakimfanyi Mfalme’ Tanzania Mwandishi: MwlRCT UTANGULIZI a) Muktadha wa mada na umuhimu wake: Tanzania ni nchi inayojitahidi kufikia maendeleo endelevu kwa wananchi wake. Ili kufanikisha hilo, ni muhimu kuwa na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali na jamii kwa ujumla tuwasaidie bodaboda Arusha kutoka kwenye mtazamo usiofaa

    WanaJF ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kuhusu kinachoendelea huko Arusha. Kwanza kabisa niseme mimi ni mzaliwa wa Arusha na nimekulia huko. Kilichonitoa Arusha ni elimu ngazi ya chuo kikuu. Nitakachoandika hapa sio stori za kuhadithiwa au kuona kwenye media. Kwa miaka...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nimepokea matusi ya nguoni kutoka kwa ma ex zangu baada ya kumpost my wife kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii.

    Habari zenu watanzania bara wenzangu. Nimeoa miaka mitatu iliyopita,ila bahati nzuri au mbaya nilikua vizuri kifedha kwa wakati huo hivyo sikutaka kuchangisha mtu pesa,hivyo shughuli ya sherehe ya harusi ilifanyikia huko Bush kwetu,watu walikula,kunywa na kusaza( si mnajua maisha ya Bush tena...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu Mzee mwana CCM Kutoka Mbeya ni nani?

    Nimeikuta Mahali. Anaonekana alikuwa MTU Mkubwa Serikalini.
  19. JamiiForums Tanzania Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY === Kamishna wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam lengo la ni kusajili wachezaji wazuri au lengo lao ni kuchukua wachezaji wa Yanga?kwanini hawatafuti wachezaji bora kutoka nje?

    Unawezaje kuwa tajiri halafu ukasubiri wachezaji wazuri kutoka timu za ndani ndio uwasajili badala ya kutumia hela zako kusaka wachezaji wa kimataifa moja kwa moja kutoka huko nje? Japo kuna wanaowsajili moja kwa moja kutoka nje ya nchi, lakini ni wazi wanangoja vilabu makini(na hapa Yanga)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…