kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hii ngoma nimeisikiliza leo kutoka Moro mpaka Dar, inahamasisha na kutia hasira za kupambana, Isikilize !!

    Ni ngoma fulani hivi ina mdundo wa pekee niliokuwa nausikia kwenye spika za gari yangu, kubwa zaidi ni uzuri wa mirindimo ya vinanda uliokwenda sambamba na sauti za wasanii hawa zilizobeba ujumbe fulani very inspirational(wale wapambanaji wataelewa nachomaanisha); Ngoma inaitwa HAYATABIRIKI...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka chuo kikuu hadi kuuza dagaa

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo tena nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania JF wakosoaji sana

    JF Members mmefanya niende shule this year bila kupenda kisa matus yenu ya hapa. Ngoja niende nikaongeze elimu af nitarudi JF tena
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wafanayakazi wa ndani kutoka mikoa baadhi tu wakati watu wote wa vijijini nchini ni masikini?

    Wafanyakazi wengi wa ndani maarufu kama beki tatu asilimia kubwa wanatokea Iringa, Kigoma na Chato. Ni vigumu sana kusikia mfanyakazi wa ndani katoka Tarime, Bariadi au Moshi. Imekuwaje trend ya wafanyakazi wa ndani kutokea baadhi ya maeneo wakati pengine pakiwa hakuna uzalishaji mkubwa wa...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi 2 wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan nchini Tanzania Mhe. Siraji Ahamad Khan, na kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone nchini Tanzania aliye na Makazi nchini Kenya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Mimba za utotoni zimepungua kutoka asilimia 27 ya mwaka 2015/16 hadi asilimia 22 kwa mwaka 2022

    SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAMWA KATIKA MASUALA YA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO. Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika kupambana na kutoa elimu juu ya masuala ya Afya ya Uzazi Mama na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wahitimu kutoka kaya masikini wapewe kipaumbele kwenye soko la ajira

    KUCHOCHEA USAWA WA AJIRA: WAHITIMU MASKINI WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE SOKO LA AJIRA. KWA KUIGA MFANO WA TASAF UTANGULIZI: Katika juhudi za kujenga jamii yenye usawa na maendeleo, ni muhimu kuangalia njia za kuwezesha wahitimu kutoka kaya maskini kupata fursa sawa za ajira. Programu ya Tanzania...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya kutoka 80% hadi 50% ifikapo 2030

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya ikiwemo dawa kutoka zaidi ya asilimia 80 hadi chini ya asilimia 50 ifikapo mwaka 2030. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo kwenye hafla fupi iliyofanyika Hoteli ya Johari Rotana na kuwakutanisha Wadau pamoja...
  9. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa elimu ya Tanzania una cha kujifunza kutoka mitaala ya kimataifa?

    Kutoka katika fukwe za Bahari ya Hindi hadi katika kilele cha mlima Kilimanjaro, Tanzania imejawa na utajiri wa asili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye upeo mkubwa. Lakini katikati ya haya yote, kuna hazina isiyoweza kulinganishwa na chochote: elimu ya Tanzania. Elimu, kama msingi wa maendeleo...
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25. Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani? =======...
  11. Scars

    JamiiForums Tanzania Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

    Hatimaye Club ya Yanga imefanikisha kunasa saini ya mchezaji kinda kutoka Afrika Kusini anayeitwa Mahlatsi Makudubela (33) almaarufu kama Skudu. Mchezaji huyo kinda (33) alikuwa anakipiga kwenye timu ya Marumo Gallants ya Afrika kusini iliyofika nusu fainali kombe la shirikisho Africa. Kwa...
  12. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Slaa na wenzake huenda watazuiliwa makwao ili wasifanye mkutano

    Duru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dkt. Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI. Nukuu: "....Mkutano wao kina Dk Slaa sidhani kama utaruhusiwa na wakubwa. Yapo maelekezo japokuwa hayajawa bayana mkutano ule uzuiliwe...
  13. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

    Habari wadau. Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank. Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. . Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
  14. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Napataje Konyagi kutoka kiwandani?

    Napataje Konyagi kutoka kiwandani? Nipo DSM, mwenye namba za hawa jamaa. Sitaki agent
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 16 wafariki katika ajali ya gari walipokuwa wakirejea kutoka msibani

    Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi. Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya, ambao wote wanaripotiwa kuwa walikuwa wakirejea kutoka mazishi. Kaimu afisa wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Damu kutoka puani mara kwa mara

    Hello, Mtu mzima umri miaka 50+ anasumbuliwa na kutoka damu puani inatokea mara mbili hata zaidi kila wiki. Nini kifanyike kutoweka kwa hari hii, msaada tafadhali!
  18. R

    JamiiForums Tanzania Taifa limepasuka; wanaopata mkate kutoka serikalini wapo kushiba; wasiopata mkate wanatafuta pakupata mlo

    Kama Taifa hatupo pamoja; wazee wamegawanyika; huu siyo uhuru wa kuongea ni hasira ya kuyumba kwa misingi yetu. Mwalimu alituambia tinaweza leo tunaambiwa hatuwezi; wakati tunaamini tunaweza. Tunaamini hatuna mlo tunalazimishwa tumeshiba. Jk amekwenda kutalii kuvuta attention ya watu kila mtu...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

    Mkutano mkubwa wa Injili uliokuwa ukiendelea katika viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha na Mhubiri maarufu toka Kenya Nabii Ezekiel Odero umepigwa marufuku na serikali mchana huu. Wakiwa katikati ya mahubiri ghafla ilitangazwa kuwa ni marufuku kuendelea na maombi hayo jambo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
Back
Top Bottom