kutangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

    KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500...
  2. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones ‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na...
  3. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Picha za Rais Samia zimejaa njia nzima KIA badala kutangaza vivutio vya utalii!

    Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania. Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia. Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kutangaza anaoandamana nao ziarani?

    Kwa wale waliokuwapo wakati wa awamu ya kwanza, pili,na tatu kulikuwa na utaratibu ambao naweza kuuita uwazi. Katika sehemu mojawapo ilikuwa ni kutangaza orodha ya waliokuwa wakiandamana na rais kwenye ziara zake iwe nchini au nje ya nchi. Hii ni kwa sababu rais na watu wake hawasafiri kwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nawapa pongezi Mkurugenzi na Wafanyakazi wa TANTRADE kwa kujitahidi kuendana na kasi ya Dunia kutangaza fursa

    TANTRADE ni moja ya taasisi ambazo kwa kiasi kikubwa imeweza kuendana na mahitaji ya biashara kwa Dunia ya sasa. Wameondoka kuendesha maonyesho ya sabasaba na sasa wanaangalia fursa za maonyesho nje na kuwapa opportunity hata wale ambao wanashindwa kuvuka mipaka kupeleka bidhaa zao. Uimara wa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Viongozi wa Dini CPCT watakiwa kutangaza amani na umuhimu wa kufuata Sheria za Nchi kwa waumini wao

    Viongozi wa Dini zote Mkoani Ruvuma wanatakiwa kuwa mstari wa mbele Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kutangaza umuhimu wa amani na kusaidia kutoa elimu kwenye maeneo tofauti tofauti ya nyumba za ibada kupitia mahubiri yao ili wananchi waweze kufuta sheria za Nchi na kuepukana na...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Uthibitisho Mwijaku kutumiwa na TTB kutangaza utalii

  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kampeni kabla ya NEC kutangaza uchaguzi ni uchuro na kuwakosea wananchi

    Nawaandikia wanachama wenzangu wa ccm popote pale mlipo! Kuna ka tabia kame zuka ka hovyo sana ka kuwapigia kampeni viongozi waliopo kabla ya muda wa uchaguzi wakati bado hawajatimiza KAZI waliotumwa na chama kupitia ilani yetu,Tabia hii huwatoa viongozi kwenye Reli na kuanza kufikiria uchaguzi...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Chato yaandaa Tamasha la utalii

    MKUU wa Wilaya ya Chato, Deusdedith Katwale amesema wanatarajia kufanya tamasha la utalii kwa lengo la kutangaza vivutio na fursa mbalimbali za utalii zilizoko katika ukanda huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Dar es Salaam, Katwale, amesema tamasha hilo linatarajiwa kufanyika...
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini tumtumie shetani kutangaza neno la Mungu?

    Ukikaa ukafikiria karibia vitu vyote vinavotumika kutangaza neno la Mungu vinatengenezwa na watu wasio amini upande wa mungu au wanamwabudu shetani, Mfano: Magari, vinanda, vipaza sauti, majenereta, magari, kiujumla ni kila kitu mpaka hizo mitambo ya kuchapisha hivo vitabu.
  11. Mparee2

    JamiiForums Tanzania EWURA waangalie upya kutangaza bei ya mafuta

    nafikiri EWURA waangalie upya huu utaratibu wa kutangaza bei ya mafuta Kila mwezi
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uingereza iko mbioni kutangaza Wagner kuwa ni shirika la kigaidi

    Serikali ya Uingereza inatarajia kuchukua maamuzi dhidi ya Kundi hilo la Urusi ambapo itamaanisha kuwa ni kinyume cha Sheria kuwa Mwanachama au kuunga mkono Shirika hilo. Mapendekezo hayo yakifikishwa Bungeni na kupitishwa itamaanisha mbali na Wanachama, mali pia za kundi hilo nazo...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri. Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku...
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatutaki kutangaza na kujivunia vya kwetu, ni ushamba?

    Kwanza niwapongeze Tamisemi kwa kuja na hii huduma ya kupata leseni mtandaoni. Haya ni mapinduzi makubwa sana kwenye uwezeshaji wa biashara. Lakini nina kero moja amabyo kijuu juu inaweza kuonekana ndogo lakini ni kubwa sana. Kwa nini mmetumia jina na nembo ya ndege tausi. Nilidhani TAUSI ni...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uingereza kuibeba bendera ya Tanzania kutangaza fursa za uwekezaji, biashara zilizopo sekta ya madini

    #Madini mkakati yapewa kipaumbele na Uingereza #Wafanyabiashara wa madini Uingereza kushiriki Jukwaa la Kimataifa Sekta ya Madini mwezi Oktoba Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini zimekutana leo Agosti 1, 2023 katika ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Kutangaza Kauzwa mpaka atujazie Uwanja tarehe 22 July, 2023 kwani tukitangaza sasa Watu hawatajitokeza

    Kwa hii Mbinu Jezi #6 FC nawasifu hakika Marketing mnaijua kuifanya vyema. Mlianza kwa Kumvalisha Jezi yenu mpya ya 'Magemu Magemu' ili Kuwaaminisha Mashabiki. Wafuatiliaji wa mambo tunajua kuwa tayari ni DONE DEAL Uarabuni ila mmeuchuna Kutangaza na mkalianzisha la Chama ili Kufunika bado...
  17. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Mtandao upi mzuri kutangaza kwa kulipia Tanzania, kati ya Facebook na Instagram?

    Habari. Kati ya Instagram na facebook ni upi mtandao mzuri wa kuweka matangazo ya kulipia?
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya huu ushamba wa kutangaza misiba barabarani mmeutoa wapi?

    Kwanza poleni kwa misiba. Japo mpo kwenye huzuni lakini tuongee hili suala la kutangaza misiba barabarani. Mbeya kama msiba unasafiri, basi msafara unakuwa na gari la matangazo ambalo linakuwa na MC akitangaza msiba. Utasikia, "Ni huzuni ni huzuni kwa wafanyakazi wa benki ya NMB kufiwa na...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tutumie Michezo Kutangaza Utalii

    MBUNGE COSATO CHUMI - TUTUMIE MICHEZO KUTANGAZA UTALII "Wawindaji wazawa hawawezi kushindana na wawindaji Wakubwa, nashauri Wizara ya Maliasili na Utalii itenge 70% kwa ajili ya wawindaji wageni na 30% kwa ajili ya wawindaji wa ndani" - Mhe. Cosato Chumi, Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bunge lakaribisha maoni, kuhusu mapendekezo ya kuridhia makubaliano mkataba kati ya Tanzania na kampuni ya Saudia kuendesha bandari Dar es Salaam

    Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
Back
Top Bottom