kutangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako

    Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako Tatizo kubwa linalowakumba wengi ni hili: wana bidhaa au huduma nzuri, lakini hakuna anayejua inapatikana. Siku hizi kelele ni nyingi sana unahitaji visibility. Hakikisha jina lako linaonekana popote mitandaoni, mitaani, na kwenye vinywa vya wateja wako. Hizi...
  3. 2070

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania kutangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu

    https://www.youtube.com/live/G7yv_AM6JAA?si=n0iy7ZZrOM3x13x- Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania: Tume imekamilisha uboreshwaji wa daftari la wapiga kura kwa awamu mbili, awamu ya kwanza ilianza tarehe July 20 2024 na kukamilika March 25, 2025, na awamu ya pili ilianza May 1...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

    Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha. - Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki. - Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

    Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au apewe life ban
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Radio na TV sasa zitarudi katika ubora wake ikiwa wamewazuia watu ambao hawajaenda shule kutangaza

    Kwa hili Serikali imefanya jambo jema Sana . nasikia Chumvi amelimwa kichwa.
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PM Kutangaza bungeni kuwa angechukua fomu halafu leo kaogopa: Hivi Majaliwa alikuwa hajui au alikuwa anatikisa kiberiti?

    Hatimaye kila kitendawili cha hatma ya kisiasa ya Majaliwa katika nafasi ya waziri mkuu kimehitimishwa rasmi leo baada ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwa 'masikitiko' makubwa kutangaza rasmi kuwa hatachukua tena fomu za kugombea ubunge wa jimbo la Ruangwa, na hivyo kufuta ndoto zote...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Haikuwa halali Zanzibar kuanza kutangaza kusogeza mbele kuvunjwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Samia kusogeza mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August

    Nchi hii bwana inaendeshwa kinyume sana, yaani vurugu tupu. Sasa Raisi wa Zanzibar anatangaza kusogeza mbele kuvunjwa kwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Raisi wa Tanzania Samia kutangaza kusogezwa mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August. Hivi nani hasa ni Raisi wa Tanzania hapa, au ipi ni mamlaka...
  9. D4wn

    JamiiForums Tanzania App ya kutangaza kazi na kutoa huduma

    Nimezaliwa na kukulia Tanzania, lakini kwa sasa ninasoma Computer Science huku Marekani. Nimekuwa nikijifunza mambo ya software development kwa muda, na baada ya kufanya majaribio kadhaa, niliona nianzishe kitu ambacho kinaweza kusaidia nyumbani. App ninayoileta inaitwa Nuru. Ni jukwaa...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kitu cha kushangaza mnafungia mtandao wa X ila bado mnatumia serikali kutangaza habari zenu kutumia VPN

    Hii mada sitaki kuunganishwa mods wa JF. Mnapenda kuhamisha mada ili kukosa nguvu ya ukweli. Wanayofanya serikali ya Tanzania kupitia CCM ni kama akili za watu wenye upeo mdogo sana. Wanafanya hivi ni kwamba mtandao wa X una nguvu kubwa ili mambo yao ya wasiojulikana ili wasijulikane. Mbona...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

    Kama tunajua Nyeti za Mzanzibari Myemeni ndiyo tushindwe kuzijua zenu tena za hapo jirani tu Karume Ilala? Hovyoooo!!!
  12. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Trump effect: Je, kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada

    Je kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada. Inajulikana madhara ya haraka ni wenzetu wengi kusitishiwa ajira zao. Je kwa upande wa utoaji huduma hali ikoje huko uliko? Naskia kuna wanaoambiwa watapewa dawa za mwezi kwa mwezi badala ya miezi 3 au 6. Hali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya LISSU na HECHE ijizuie Mikutano yake kuwa mikutano ya kutangaza Injili

    Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho. Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao. Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Afghanistan ni nchi moja safi sana kibinadamu kama mgeni japo vyombo vya habari kutangaza vibaya

    Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa. Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
  15. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania NECTA kutangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024 kesho

  16. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

    Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu Anakubalika CHADEMA Kwanini Sasa Wafuasi Wake Wanalialia Na kupiga Mayowe Baada ya Mwamba Mbowe kutangaza Kugombea?

    Ndugu zangu Watanzania, Kweli Dunia ina maajabu yake,kweli kuna watu wana matatizo sana vichwani Mwao,kweli kuna watu hawajitambui,kweli kuna watu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kupambanua mambo. inasikitisha ,kushangaza na kufikirisha sana kwa mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Tuache kutangaza dosari za wanawake zetu

    Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi wanaume,watusaidia mambo mengi sana
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chongolo awavuruga vigogo CCM asema sijaja kutangaza nia yoyote

    Wakati joto la Uchaguzi Mkuu katika nafasi za Udiwani na Ubunge unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani 2025 likiendelea kupanda, imeelezwa kuwa baadhi ya wanasiasa waliopo madarakani wameanza kupata shida kwenye maeneo yao kutokana na vigogo waliowahi kushika nafasi mbalimbali na wengine ambao bado...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa. Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi ==================================================== Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake...
Back
Top Bottom