Kwanini tumtumie shetani kutangaza neno la Mungu?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,732
Ukikaa ukafikiria karibia vitu vyote vinavotumika kutangaza neno la Mungu vinatengenezwa na watu wasio amini upande wa mungu au wanamwabudu shetani,

Mfano: Magari, vinanda, vipaza sauti, majenereta, magari, kiujumla ni kila kitu mpaka hizo mitambo ya kuchapisha hivo vitabu.
 
Ukikaa ukafikiria karibia vitu vyote vinavotumika kutangaza neno la mungu vinatengenezwa na watu wasio amini upande wa mungu au wanamwabudu shetani,

Mfano. Magari, vinanda, vipaza sauti,majenereta, magari, kiujumla ni kila kitu mpaka hizo mitambo ya kuchapisha hivo vitabu.
Hao ndio watumishi wa Mungu kuliko wewe ambaye hujaweza kutengeneza chochote! Wao wanatimiza kwa vitendo ile amri ya Mungu ya kutumia vipawa vyetu kuitawala dunia. Na wanabarikiwa sana.
 
Back
Top Bottom